travis retweeted
Jana nimepanda ndege ya Amsterdam vizuri kutoka JKIA
lakini kufika hio corner ya Mogadishu nkakumbuka sjabeba tools za jaba
Ikabidi nimeambia pilot asimamishe ndege nshuke juu jaba like reggae shouldn't be stopped
Wakidhani ntadedi angani sema matawi za jaba kugeuka wings💀💀💀
travis retweeted
Kuna apartment nimekuwa nikiishi bure since Nov 2019 iko huku Pioneer, Eldoret.
So it happened hapo ivo late 2019 landlord aka disapper all of a sudden.
Na haikuwa na caretaker na pia hatukuwa tunajua watu wao. We only knew he was a guy from Marakwet....
travis retweeted
Tbh maisha ya west ni tamu sana ukicompare na ya eastlando bana. West mambo imejipanga vile inafaa

























