Pinned Tweet
Leo nimemaliza kuangalia episode ya mwisho ya series bora kabisa ya "the good doctor"
Ni miaka saba yenye seasons saba zenye historia kubwa.
Hii movie imetupa kila kitu, tunashukuru.
Ukiwa hujui hesabu unaeza hisi ni kweli 😂
Juzi bhna kwenye uni colleague show ya Charles mtasha kuna janja kashinda laptop anaitwa KAJUNA. Janja ni pre form 5,ni genius kweli kweli alikuja na hesabu yake
0÷0 =2 😂😂watu wengi walimbishia lakini janja aliprove na kuwaambia musikariri 🔥🔥
Video clip kwa chini hapo
2
87
Marcel retweeted
Tupatane kesho saa 3-4 asubuhi kwenye Fact 10 za Je wajua? #ElimikaWikiendi
Hii picha pekee haitoshi kwa kuwa umeonyesha ni wengi.
Kama wamevimba macho pia hiyo ni CRD moja kwa moja.
Kama hawajavimba macho hiyo inaweza kuwa dalili ya ndui (fowl pox)
Ila kama ni huyo mmoja tu basi hiyo ni secondary infection baada ya kuumia.
129
Mwamba anatafuta maokoto ya elon kwa lazima😁
Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu..
Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma. Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu.
Kwaresma eti wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema..🙏
1
1
88
Story yako ni nzuri ila ya uongo😂
Hao hapo ni safari ants wala hawali sukari😂 bora ungetumia picha nyingine.
Ni imani ya mtu na mtu ila haimaanishi kuwa ukimuua mantid nyumbani kwako utakuwa unajiua.
Cryptic coloration ndo adaptation yao ndo maana unawaona wana rangi mbalimbali.
Wanakuja home kufuata wadudu lakini pia kama kuna majani mengi. Ukiwaona haimaanishi wameleta ujumbe flani
Bado kidogo tu nipatie😁
Kabyudi is there but kuna wizara zenye maingizo mapya mmoja akiteleza tu shwaa anapelekwa huko anawaachia akina konda na msanii wizara.
Au asipoharibu mtu huko kwenye hizo wizara hasa ile ya katyiba na shyaria basi iyo iyo waliyomo mtu tatu itagawanyishwa ili konda apate yake😁
31
Mimi sio nabii ila ninajua kuwa hata vipofu leo wamewaona kumbikumbi😁
Na ni ukanda mzima wa pwani na katikati mwa nchi.
1
42
Unamuongelea @JamesNdalu ?😆
Wanaume naombeni kuuliza swali hivi inakuaje unakuta mtu amevaa boxer pens alafu anakuja kumalizia na surual nikwanini hamuskiagi joto
1
86
After Breaking bad na Game of thrones nahisi Mayor of kingstown inataka kuingia kwenye list ya GOATs.
It is special🙌
42
Inaonekana kijana haujafika kijijini muda sana ee😁
Kuku wa kienyeji kijijini huko ndanindani sana huko singida na morogoro wa kawaida ni 12k hadi 15k.




























