Erick | Creative Designer🎨 retweeted
The process began as hand-drawn sketches by @Hedwige_art, followed by multiple checks, edits, and colour choices before the digital transformation by @bistcreative
The original sketches were framed and gifted to the following individuals:
🔥
Replying to @LukizaAutismFdn
The process began as hand-drawn sketches by @Hedwige_art, followed by multiple checks, edits, and colour choices before the digital transformation by @bistcreative
The original sketches were framed and gifted to the following individuals:
43
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
🌤 Ready to Run 4 Autism, TEAM SKY BLUE? Let’s light it up blue for Autism!
Our bright and bold SKY BLUE t-shirt is perfect for the Run 4 Autism Tanzania Half Marathon and beyond!
@HNkabe @ajmynah @LukizaAutismFdn @MtawalaRadio @Blackfox_models @bistcreative @tukiioTZ
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Zimebaki siku mbili kuelekea kwenye jambo letu. Mafunzo haya ni ya wiki mbili. Hata kama hujawahi kabisa kutumia hizi ad0be programs hii inakufaa na utaweza kumudu mara baada ya kumaliza. Kindly help me share this mwenye uhitaji anaweza kufikiwa🙏🏾🙏🏾
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
February imeingia . Mwezi wa program yetu ya mafunzo. Karibu ujiunge nasi ili uanze safari yako ya kuwa graphic designer. Nafasi ni 10 tu, wahi kujisajili kuchukua nafasi yako mapema.
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Sisi ni Familia sisi ni ndugu hii haitakiwi iwe kwa Sativa tu tutafanya kwa kila mtu.
Hii ni kubwa sana sio kitu kidogo kabisa watu walikuwa wanatuma mpaka Tsh 100 Finally We Made It.
Retweet bila sababu kusherehekea umoja wetu.🙏🙏
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Save the date 📌 Hii si yakukosa, Wadau wote wa Tasnia ya Chai mnakaribishwa sana katika Mkutano huu.
@HusseinBashe @WizaraKilimo
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Mary Kipeja, Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Chai Tanzania akizungumzia fursa mbalimbali zinatokana na Mnada wa Chai wa Tanzania ambao unaendelea na kufanyika kila wiki nchini Tanzania. Makampuni na Wadau mbalimbali wanakaribishwa katika fursa hizi.
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Hizi kozi zote ni PAID COURSES💰
Nitakupatia free leo
✅Affiliate Marketing
✅Amazon FBA
✅Copywriting
✅Email marketing
✅Google & FB Ads
✅Cryptocurrency
✅Dropshipping
✅ Audiobooks
1. Nifollow (Ili niweze kutuma DM)
2. Like & Repost
3. Komenti neno DM nikutumie zote Inbox
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Tunatambua na kuthamini mchango wa kipekee wa Mwanamke katika jamii yetu, Tunawatakia wanawake wote heri ya siku ya wanawake Duniani 🫶
#InspireInclusion
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara




























