Erick | Creative Designer🎨 retweeted
The process began as hand-drawn sketches by @Hedwige_art, followed by multiple checks, edits, and colour choices before the digital transformation by @bistcreative
The original sketches were framed and gifted to the following individuals:
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Zimebaki siku mbili kuelekea kwenye jambo letu. Mafunzo haya ni ya wiki mbili. Hata kama hujawahi kabisa kutumia hizi ad0be programs hii inakufaa na utaweza kumudu mara baada ya kumaliza. Kindly help me share this mwenye uhitaji anaweza kufikiwa🙏🏾🙏🏾
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
February imeingia . Mwezi wa program yetu ya mafunzo. Karibu ujiunge nasi ili uanze safari yako ya kuwa graphic designer. Nafasi ni 10 tu, wahi kujisajili kuchukua nafasi yako mapema.
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Sisi ni Familia sisi ni ndugu hii haitakiwi iwe kwa Sativa tu tutafanya kwa kila mtu.
Hii ni kubwa sana sio kitu kidogo kabisa watu walikuwa wanatuma mpaka Tsh 100 Finally We Made It.
Retweet bila sababu kusherehekea umoja wetu.🙏🙏
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Save the date 📌 Hii si yakukosa, Wadau wote wa Tasnia ya Chai mnakaribishwa sana katika Mkutano huu.
@HusseinBashe @WizaraKilimo
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Mary Kipeja, Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Chai Tanzania akizungumzia fursa mbalimbali zinatokana na Mnada wa Chai wa Tanzania ambao unaendelea na kufanyika kila wiki nchini Tanzania. Makampuni na Wadau mbalimbali wanakaribishwa katika fursa hizi.
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Hizi kozi zote ni PAID COURSES💰
Nitakupatia free leo
✅Affiliate Marketing
✅Amazon FBA
✅Copywriting
✅Email marketing
✅Google & FB Ads
✅Cryptocurrency
✅Dropshipping
✅ Audiobooks
1. Nifollow (Ili niweze kutuma DM)
2. Like & Repost
3. Komenti neno DM nikutumie zote Inbox
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Tunatambua na kuthamini mchango wa kipekee wa Mwanamke katika jamii yetu, Tunawatakia wanawake wote heri ya siku ya wanawake Duniani 🫶
#InspireInclusion
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Uniting key figures in the African tea industry for a constructive discussion on the future of our cherished drink! ☕
Excited to welcome the esteemed Board members of the East Africa Tea Trade Association (EATTA)
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
It will cost you $0 to retweet my work🙏
#logodesigns
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Tunawatakia Heri ya Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Siku ambayo tuliisubiria imewadia, usajili wa Mnada wa kwanza wa Chai Tanzania unaendelea. Wadau mbalimbali wanaendelea kuwasili, nyote mnakaribishwa.
#TanzaniaTeaAuction
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara
@WizaraKilimo
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Bodi ya chai Tanzania imefanikisha zoezi la uonjaji wa chai ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea siku ya kihistoria ya mnada wa kwanza wa chai - Tanzania.Hafla hii imehudhuriwa na wanunuzi wa chai kutoka Tanzania na nje ya nchi.
@WizaraKilimo @tmx_tz
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Leo tarehe 10/11/2023 Bodi ya chai Tanzania imefanikisha zoezi la uonjaji wa chai ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea siku ya kihistoria ya mnada wa kwanza wa chai - Tanzania.Hafla hii imehudhuriwa na wanunuzi wa chai pamoja kutoka Tanzania na nje ya nchi.
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
We invite you to a delightful tea tasting event where flavors and aromas come to life.
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara
@Wizqrdry
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
MNADA!MNADA!MNADA
Bado siku 7 kufikia mnada wa kwanza wa chai nchini Tanzania
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara
@WizaraKilimo
Erick | Creative Designer🎨 retweeted
Kuelekea siku ya Mnada wa kwanza wa chai Tanzania.
#TwendeShambani
#TukutaneSokoni
#Ajenda 10/30
#KilimoNiBiashara











































