Don Dee Dion (@bwanabora) header
Don Dee Dion (@bwanabora) profile picture
Joined March 2015
Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)Photo by Don Dee Dion (@bwanabora)
Don Dee Dion retweeted
Sulemana Abdul Samed maarufu kama Awuche mtu mrefu zaidi nchini Ghana, amefariki akiwa na umri wa miaka 32 katika Hospitali ya Tamale Teaching Kaskazini mwa nchi hiyo. Chanzo cha kifo cha Awuche hakikufichuliwa mara moja. Mghana huyo mwenye urefu wa futi 7 na inchi 4 alikuwa akipambana nachangamoto za matatizo ya kiafya yanayojirudia kutokana na homoni nyingi za ukuaji. Changamoto za kiafya zilisababisha kulazwa hospitalini mara kwa mara na kusababisha wito wa umma wa usaidizi wa kulipa bili zake za matibabu mnamo 2022. Awuche alisoma shule kaskazini mwa Ghana na alifanya kazi kama fundi mitambo baada ya hapo. #KitengeUpdates
7
9
299
36,674
#TajiriLaKihaya Ufaham kwamba JAMBAZI wakitaka kukuvamia NYUMBANI kwako - watakuvamia tu… wakihitaji Milion zao watakuja tu kuzifata! Ila Tukijenga Nyumba , tunaweka milango, tunaweka Geti kubwa kwenye fence,Tunazungusha Ukuta… ikibidi tunaajiri na Masai kabisaaa hata kama Hana silaha… Ni kweli Mungu Anatulinda ila hatumuachii bila kufanya chochote- Vivyo hivyo Kwa wake zetu- Ni kweli kwamba mwanamke kama ni kahaba au Hakuheshimu na Akiamua kucheat kwenye ndoa atacheat tu! Ila Tunamtengenezea mazingira ya kumlinda na kumuepusha na vishawishi vya nje- Kwanza kabisaa ni kabla Haujao- unachagua Mke atakae Kua Mama Bora kwa watoto wako na Mlezi wa familia- awe BIKRA, ukishindwa basi Asiwe SINGLE MOTHER, na atoke kwenye familia nzuri- awe kalelewa na maadili mazuri- ikiwezekana na wazazi wake wawili Haswa BABA. Pili,Hakikisha anakua House wife- hata kama ni msomi- kazini kuna vishawishi vingi saana- unam Expose mke wako na threats nyingi saana kule kazini… Mke kazi yake kuu ni KUZAA KWA UCHUNGU na kulea familia… Mwanaume KATAFUTE RIZKI KWA JASHO… Mwanaume ukishakubali kwenda kinyume na maandiko na kufata Mila za kizungu za 50-50 tayari Ushapotea na Ndoa imeshakushinda! Wanaume tuyakubali majukumu na tuwalinde wake zetu kwa wivu mkubwa mno!
153
195
14
1,106
60,392
Don Dee Dion retweeted
Sylvanus Olympio: Rais Tajiri, shujaa wa Togo aliyeuwawa kinyama kwenye mapinduzi 
Sylvanus Olympio, rais wa kwanza wa Togo, ni mmoja wa viongozi wa historia ya Afrika ambao maisha yake yalijumuisha tajiri, uhodari, siasa na hatimaye mapinduzi yasiyosahaulika.
5
19
130
15,713
Boycotting ni culture inatushinda sana watanzania wengi!! Huwa tuna-Act masaa 12 tu then tunasanda, Hatuna consistency!! Hatuwezi kushikilia bomba!! Hii tungeiweza ilikuwa ni moja ya silaha nzuri sana, huhitaji bunduki,kifaru wala bomu kumuadhibu adui!! Sasa tunajisahau tunaanza ku-engage kwenye debate za who’s the next PM? Why? Means tumeshauhalalisha uchaguzi? Posting and sharing those clips za bungeni sijui topics za wanamuziki ni dalili za kusahau agenda za msingi na kutoka kwenye mstari!! Ndomana wanatudharaugi na kusema wabongo wiki tu wanasahau maisha yanaendelea!! TUKAZENI BANDUGU
89
392
23
1,805
63,300
Hawa wanaotukanwa kila siku kwasababu wanaPush Hashtag zisizo rafiki kwa Watanzania wengi wanaona ni sawa kwasababu ndio tunaocheka nao, tunaoMeet, tunakula na kunywa nao, tuko kwenye biashara zao. Na wanajua kabisa watatukanwa na watavumilia kutukanwa na siku wakiona inatosha wataacha na watarudi kwetu wakisema “Nisameheni, yale mambo siendelei nayo tena, najua niliwakera ila nimeacha”. Na sisi kama kawaida tutawapokea vizuri tukisema“Angalau umejitambua, hayo ndio maneno, safi umefanya jambo zuri” na maneno mengine mengi. Pasipo kutambua waliyoyafanya tayari yalishasababisha damage/madhara mengi. Ninachojaribu kusema chochote kibaya kwa sasa kinapaswa kukataliwa sio kwa maneno tuu bali hadi vitendo vihusike, kama utakataa hashtag kwa maneno ila mtu huyohuyo ni mshirika wako kwenye mambo mengine ina maana ataona ni sahihi yeye kuendelea kufanya yale yasiyo sahihi. (Mfano, ukikemea uuaji alafu marafiki zako ni wauaji ina maana na wewe unachangia wauaji wale wawe comfortable kufanya yale mauaji kwasababu hakuna repercussions, (wanaona hutowafanya chochote mwisho wa siku). Tunapokataa hashtag zao alafu haohao ndio tunawaita marafiki, wapenzi, washkaji, dada/kaka, shangazi, Mwana, shoga yangu, Shemeji, ni kama tunawapa urahisi wa wao kufanya yale wanayoyafanya. Tukikataa Hashtag tukatae na wanaozisambaza, na hata siku wakiona wameshajikusanyia mitonyo ya kutosha hivyo wanataka kuacha na kujirudi kundini pia muendelee kuwakataa, itakuwa ni funzo kwao na funzo kwa wale wanaofikiria kufanya yale yanayoumiza Wananchi. Kama tutapuuzia na kuona ni ujinga au hatuwezi basi pia tusilalamikie habari za Hashtag Kandamizi. Maana malalamiko ya bure bila vitendo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Mabadiliko huanza na wewe, Kesho Bora umeibeba wewe.
254
1,147
89
2,692
271,412
¿Y TÚ ERES MADRE TAMBIÉN ? Hii kauli ya Rais Samia, sio kauli ambayo unategemea kuisikia kutoka kwa MAMA, wala kutoka kwa COMFORTER IN CHIEF. Mama zangu (wakubwa na wadogo), Mama Mzazi, Shangazi zangu na even Dada zangu ambao tayari wana Watoto, wote kila mmoja kwa Wakati wake ameniambia in verbatim, “KUONA PICHA ZA WATOTO WETU WALIVYOPIGWA RISASI, TUMBO LIMECHEZA”. Mama mwenye compassion wakati huu hatoi onyo!! Mama ana comfort, anatoa ukaribu, anabembeleza, analisha, anapenda, nk. Maafa yametokea, ila mtu anayepaswa kuwa “MFARIJI MKUU” anatumia nguvu zaidi kutishia, kuliko ya kufariji na kutoa matumaini. Na isitoshe tunahalalisha matumizi ya nguvu iliyotumika, na kutishia utayari wa kutumia nguvu zaidi. NO REMORSE, whatsoever… smh Nchi za wengine, Viongozi huokoa Maisha kwa gharama yeyote. Ila sisi Wetu wanasema Wanapigania Usalama wa Taifa kwa Gharama yeyote baada ya Watoto wetu kuuwawa kwa mamia. Filamu ya “SAVING PRIVATE RYAN”, kikosi kilicho chini ya Captain Miller, kilienda kwenye mapambano kumsaka Ryan ambae ana cheo cha chini kabisa ili wamnusuru na kifo maana kaka zake wawili walikuwa wameshafariki vitani so serikali ikasema Mama yao basi asimpoteze watoto wote. Yaani walikufa askari mamia ilimradi tu wamuokoe mmoja. HIYO NDIO MAANA HALISI YA “KWA GHARAMA YEYOTE”. JE, NI KWELI USALAMA WA TAIFA ULIKUWA HATIANI, KISA GEN Z WAMEANDAMANA?! Na hata baadhi yao walipopambana na Police wao wakiwa na MAWE, na Police wakiwa na BUNDUKI, TEARGAS, VIRUNGU, kweli hiyo ilikuwa Threat ya NATIONAL SECURITY au Threat ya SAMIA’S PRESIDENCY ?! 🤷🏾‍♂️🤔 Tone ya kauli za Rais, na ya baadhi ya Makada wa CCM (I am looking at You Kenan Kihongosi) inaashiria kuwa wapo tayari kuumiza watu zaidi, na watamuangushia mtu jumba bovu. Huu ulikuwa muda wa Watawala KUJISHUSHA, kuwa WANYENYEKEVU, KUINGIA GHARAMA YA KUPONYA, ila wao wamechagua KUTUSHURUTISHA kurudi kwenye shughuli zetu za kawaida, KUTULAZIMISHA KUJISAHAULISHA kama hakijatokea kitu, na WENYEWE TUGHARAMIE LOSSES. How do you force people to go back to normal lives, while there is nothing normal around them?! Where is EMPATHY? where is COMPASSION? where is HUMILITY? “Naongea Kama MAMA” How?! The Leader
55
205
2
692
33,319
Don Dee Dion retweeted
Usipite bila kurepost Kutoka @usedpointTz Hp probook 435 G7 Touchscreen x360°✅ Amd Ryzen 7 4500✅ Ram 16GB✅ Ssd 512GB✅ Based processor 1.7GHz~ 4.0GHz✅ 16 CPU processor 10th generation✅ Backlight keyboard✅ Fingerprint✅ 1,200,000/= Only ☎️0788106694 FREE DELIVERY
14
12
2,005
✋🏾😝🤚🏾
344
9,283
841
116,138
4,762,647
SAKATA LA MJANE MIKOCHENI KUTOLEWA KWENYE NYUMBA YA FAMILIA KWA MABAVU NA MABAUNSA. INASIKITISHA. Nawashukuru DC wa Kinondoni na RC wa DSM Mhe Chalamila kuchukua hatua zinazoweza kuutatua. Mimi nikaona nitoe elimu ya ujumla. Mwaka 2011 nilikuwa Waziri wa ardhi. Tulikuwa makini sana. Kama caveat iliwekwa inamaanisha Msajili aliona "there is a case to answer" kwa hiyo akakubali zuio ili huyo mmiliki mpya asijewauzia watu wengine hiyo nyumba na kuleta mgongano zaidi. Kwa caveat akalinda uwezekano wa mtu yeyote kufanyia nyumba hiyo muamala wowote bila amri ya mahakama au mgogoro kuisha. Sasa kama mahakama zimetengua hiyo caveat sijui lakini nimeguswa sana na hiyo inhuman eviction ya mjane na watoto. It was not necessary in my view. Nimeshuhudia wanawake waliofungwa jela ili waume wauze nyumba zao. Nikaona nitoe elimu kwa ujumla labda kusaidia utatuzi wa mgogoro lakini pia wengine wanaoweza kukutwa na matatizo. Ni hivi: Uwepo wa Idhini halali ya Ndoa katika Uuzaji wa Nyumba na Ardhi Nchini Tanzania ni muhimu na lazima. (VERIFIABLE SPOUSAL CONSENT). Sheria za Ardhi na Ndoa nchini Tanzania zinataka mali ya ndoa, hasa makazi ya familia, isitolewe kwa kuuza, kukodishwa au kuwekwa rehani bila idhini ya maandishi ya mwenza wa ndoa. Iwapo idhini hiyo haitapatikana, muamala unaweza kutangazwa batili na mali kurejeshwa. Changamoto: Baadhi ya wanandoa au taasisi za fedha huendeleza mikataba bila kuthibitisha idhini ya mwenza au uhalali wake. Wanandoa wasio na elimu ya kisheria hukosa kuelewa haki zao, na hivyo kukosa kutetea maslahi yao na wenza wadanganyifu hufanya mambo kwa kificho au kugushi sahihi. Aidha Wanunuzi wasio waangalifu hujikuta wakipoteza fedha baada ya mahakama kufuta mikataba. Mapendekezo 1. Uelewa wa Umma: Serikali na mashirika ya kiraia waendeshe kampeni za elimu kuhusu haki za mali ya ndoa. 2. Uthibitishaji Imara: Mamlaka za ardhi zifanye ukaguzi wa kina kabla ya kuruhusu mikataba. 3. Wanunuzi wahimizwe kuthibitisha hadharani idhini ya mwenza kabla ya kununua. 4. Benki na watoa mikopo wawajibishwe kisheria iwapo watashindwa kuthibitisha idhini ya ndoa ilikuwepo kihalali sio kwa ujanja ujanja. Sera nzuri ya Ulinzi wa makazi ya familia ni msingi wa usawa wa kijinsia na ustawi wa kijamii. Kuimarisha utekelezaji wa sheria kutazuia migogoro ya kifamilia na kulinda haki za wamiliki wote wa ndoa.
27
71
5
338
21,455
Don Dee Dion retweeted
Kiroho Safi naomba Repost yako hapa.👊
6
86
227
8,501
Don Dee Dion retweeted
Unatoka kazini saa 11:00 jioni na laptop ya ofisi, ukitegemea kwenda kumalizia kazi getto ukifika. Kwa sababu mwendokasi ni shida unachelewa fika nyumbani, unafika saa 2 usiku. Unawasha taa, umeme umeisha, unanunua luku, wanakata hela umeme hawakupi (mtandao wa Luku unasumbua) Unawasha laptop, kuja kugundua imeisha charger, so huwezi kufanya kazi hapo. Unajisemea acha niombe kwa jirani anichargie. Unampa laptop unarudi getto. Ile kufika tuu, baada ya dk 5, jirani anakuja anakwambia umeme umekatika(TANESCO hawajatoa taarifa) Unasema acha nilale baadae watatuma unit na umeme utakuwa usharudi nitafanya kazi. Unalala, unashtuka saa 9 usiku, The situation is the same. Unasema acha niwahi ofisini mapema, nitaifanya kazi huko. Unaamka saa 11, na giza. Unajiandaa na tochi. Huwezi pasi nguo kwa sababu umeme umekatika. Unaenda stand, watu ni wengi japo ni saa 12:30 asubuhi. Unagombania mwendokasi, unapanda na kubanwa saa 1:30 (Lisaa baada ya kufika stand). Unafika ofisini saa 2:00 asubuhi (muda wa kazi) licha ya kuwa lengo lako lilikuwa uwahi saa 1:30 kazini ufanye kazi. Unasema hamna shida, muda wa presentantion bado mpaka saa 3:00 asubuhi. Acha niwashe laptop nifanye kazi. Unafungua na kuwasha laptop unakuta imevilia wino 🙆‍♂️🙆‍♂️ Muda wa presentation, unafika hujaandaa chochote, wateja wamefika, huna cha ku-present. Ofisi inapoteza tenda, na wewe unafukuzwa kazi, na unalipishwa hela ya Ufundi wa Laptop Hapo, kuna mtu anasema, TUFANYE KAZI TUSILAUMU SERIKALI 🙆‍♂️
37
66
5
413
21,627
S01 has completed🍿 Now, we need S02 ASAP!⏳
31
152
10
1,725
264,411
KNOW THE DIFFERENCES : Songwriter, Producer, Composer, Executive Producer, Sound Engineer, Session Musician, Beatmaker & Vocalist. 🧵 Mtu anaweza kuwa hiyo vyote au kila kitu kinaweza kufanywa na mtu tofauti. Kuwa fulani hakufanyi uwe bora zaidi kwenye mnyororo wa uzalishaji.
5
14
2
68
6,450
Don Dee Dion retweeted
This is why you should quit P@RN now‼️‼️
104
2,306
74
18,580
713,263
Don Dee Dion retweeted
Replying to @ze_mandevu
1
6
1
47
1,855
Akili tu mtu wangu, nguvu kaachiwa ng'ombe
1
20
123
7,654
This Guy Cannot See Heaven's Gate, Justice For This Babe 😂😂
75
137
27
660
198,243
Don Dee Dion retweeted
SIJUI NANI ANATAKA KUSIKIA HILI, ILA IKIKUFAA ITUNZE. 1/9 1. 2016 nikiwa nishahitimu Chuo hapo nna Duka la Nguo, Banda la Mpira, nalima Tikiti maji huko Sunguvuni Mkoani Pwani na naandika Makala Gazeti la Mtz nilipigiwa simu ya kazi nipeleke CV tu kazi iko tayari nikakataa,
71
205
37
631
51,889
Kissing KISUTU goodbye… Eying for the High Court with our heads up! Jana was the greatest Mr CHAIRMAN ,the display was EPIC! Katuga and team looked very ELEMENTARY! #NoReformsNoElection #FREELISSU
50
388
4
2,673
67,787