Mafioso (@capitanpapilon) header
Mafioso (@capitanpapilon) profile picture
Joined May 2021
Life is not the same again after 29 October
16
86
3
815
37,516
Mafioso retweeted
Rule no 1 : never ever trust someone from twitter
77
262
128
1,347
60,699
Mafioso retweeted
Nipooze maumivu ya October 29 Sasa🥺🕯️🕊️💔
11
13
63
977
Mafioso retweeted
Mwakimi sijui kwanini anafanya hivi lakini🙌🏿🙌🏿
38
15
32
82
26,099
Mafioso retweeted
Kama huwezi kumsaidia mtu, angalau usiwe sababu ya kuongezeka kwa maumivu yake.
2
13
1
13
241
Mafioso retweeted
Hii ya kusema kila kifo ni mpango wa Mungu nitaipinga hadi kesho📌📍
52
38
7
298
10,454
Mafioso retweeted
Kuna vijana walikamatwa wakavuliwa nguo wakaamuriwa walale kwenye moto.. kwamba wazime moto kwa kutumia migongo yao! Unatesa watu kiasi hiki sababu ya madaraka kweli? We shall never forget 29/10 💔
1
65
266
4,794
🧵 Wewe unaesoma, ni mwaka toka wananchi wenzio walipouliwa, familia zao zilipobaki na simanzi ya kutowaona wapenzi wao tena katika maisha hapa duniani, na wengine kubaki na majeraha na makovu ya moja kwa moja. Wao walitangulia hivyo daima tutawakumbuka na kuwaenzi, 👇🏾
22
220
2
590
8,002
Mafioso retweeted
Chawa wa CCM na UVCCM hebu fanyeni kama mnatudipu leo alafu tuone patakuaje humu ndani leo.
26
50
1
237
5,414
Hii siku siwezi isahau kabisa. Sikuwa na silaha wala kizuizi chochote mwilini mwangu. Ila nilitembea kila mtaa kujaribu kutoa first aid kwa waliopatwa na changamoto. Na kuwapa moyo waliokuwa wanatutoka.💔 Ilikuwa siku nzito. Wapumzike kwa Amani wote tuliowapoteza 29/10. 🙏🏽 – at Kenya
68
233
1
628
10,883
Let’s be honest: Tangu mauaji ya Oktoba 29 yatokee, we have NEVER been better huku mtaani.
18
105
3
488
8,683
October 29, 2025 left a permanent mark. Familia zilipoteza nguvu kazi na watoto wakabaki bila wazazi. May justice prevail! 🕊️🖤
8
190
3
488
5,404
29.10.2025 💔🕯️🕯️ 🕊️🕊️
23
464
8
1,168
13,785
Mafioso retweeted
29th October. A day Tanzania will never forget. We remember the lives lost, the pain endured, and the voices that must never be silenced.
17
261
2
646
7,532
Mafioso retweeted
Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zetu wote waliopoteza maisha siku kama ya leo mwaka 2025 Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un 🤲🏿
18
157
4
451
6,037
Mwaka sasa since nianze kuvaa nguo ndefu miguu imekua mizuriii..ila sasa vinyweleo vimekua virefu zaid 😓... ..vingine vimeanza juu ya goti pa kuegemeza kiwiko💔😩
44
33
5
123
4,250
Mafioso retweeted
Napenda Amani Sanaa! Napenda kua sawa na watu wote wanaonizunguka! My mom used to say ukiona umegombana Na Lyne Ujue wewe ndio Mwenye matatizo😄 I love my Heart😌 Very Cool Very Peaceful! Butt when it comes to mtu kunionea na dharau! Wee! I change completely🤣
8
22
3
58
1,824
Mafioso retweeted
Nimewafuata Bolt ili nifanye nao kazi kama boda moja ya kigezo cha kwanza wanachotaka ni Leseni iliyo hai. Nimeshindwana nao kwa sababu sina kabisa leseni, ombi langu kwenu mabuloo mliopo kwenye sistimu anayeweza kunisaidia nipate leseni ya pikipiki naomba ajitokeze.🙏
19
21
1
230
10,217
Mafioso retweeted
Kuna stage niliwahi fika mbaya sana bila uwepo wa Mungu ningekua jela nilipenda sana Nikaumizwa sana wivu lukukiiii nusra kumuua yule mwanamke kiukweli nilikua dhaifu kwake sikuwahi ku heal mpaka nilipo mpata huyu binti wa kichagga kanituliza sana akili now
13
26
2
43
957
Post Hata Kama Hakuna Anayeona Post Hata Kama Hakuna Anaye-Like Post Hata Kama Hakuna Anaye-Comment Post Hata Kama Hakuna Anaye-Share Post Hata Kama Hakuna Anayeku-Support Post Hata Kama Post Zako Haziko Perfect… Post! Post! Post!…. Utajishukuru Baadaye🫵
5
18
2
65
1,709
Tunajua wengi mko na childhood trauma,but don't project your trauma onto us...
5
17
2
38
1,218