Pinned Tweet
Sio mbaya Simba wakiwekeza nguvu kubwa katika Kombe la Shirikisho Afrika, Kombe la Azam Sports na maandalizi ya Ligi Kuu msimu ujao.
Kupitwa pointi 10 na Yanga ambayo imeimarika kwa kiasi kikubwa msimu huu, ni pigo kubwa kwao huku zikibakia mechi 17 kwa kila timu
DIEGO PELEMBE
Mtoto wa staa wa zamani wa Msumbiji, Domingues Elias Gasper Pelembe.
Dogo amesajiliwa na Redbull Bragantino inayoshiriki Ligi Kuu ya Brazil.
Like Father like son
Utasikia hata hao mikorosho hawapendi kuwa hivyo tusiwatenge tuwe nao karibu na tuwasaidie waondokane nayo.
Lakini kama hawapendi mbona wanaendelea na laana zao? Kama wanajisikia vibaya kutengwa mbona utashi wao hauwatumi kuacha?
DAWA NI KUWATENGA TU. Naungana na Sheikh KISHKI
Nina wasiwasi mkubwa na suala la Ebola. Ndugu zangu pamoja na serikali kusema Ebola haipo Bongo, tuanze tu kuchukua tahadhari binafsi.
Migusano isiyo na ulazima na sababu tupunguze au tuachane nayo.
KINGA NI BORA KULIKO TIBA
1
236
Kuna mabloo fulani hivi wa kitaa. Sio ndugu wa damu na wala hawakuwa na kipato kikubwa lakini Wakati tukiwa wadogo tunasoma shule wametubless sana hela ndogondogo kiroho safi.
Mungu awabariki sana katika harakati zao za kimaisha.
5
247
Faustino Mukandila ndiye Wakala aliyesimamia dili la Adolph Mtasingwa kujiunga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
Ni huyo aliyesimama katikati nyuma ya Mtasingwa.
Baadhi ya wachezaji anaowasimamia ni Silla, Nathan Fasika na Fabrice Ngoma
@twenderide
1
14
821
Katika Mkutano wa Rais wa CAF, Patrice Motsepe na waandishi wa habari baada ya kukamilika kwa kikao cha kamati ya utendaji ya CAF
Kuna wakati hawa wachezaji wa baadhi ya timu za Ligi Kuu Tanzania Bara huwa wanatulazimisha tuamini wanabet mechi za timu zao
3
4
319
Jana, Jumapili, Januari 26, 2026 katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Ubungo (UFA).
Ni mkutano wangu mkuu wa kwanza tangu nilipoteuliwa kuwa Ofisa Habari wa Chama cha Soka Ubungo.
Tuungane kuinua soka Ubungo
3
194
MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO
Malori yalizoea kupaki kwenye service road hii Barabara ya Mandela hayachukuliwi hatua zozote na Tanroads.
Leo yameamua kupaki barabarani kabisa.
Mandela Road imefunga kipande cha Tabata Relini hadi Mwananchi.
72
Nigeria inaomboleza kifo cha Imam Abdullahi Abubakar ambaye mwaka 2018 aliwaokoa zaidi ya Wakristo 262 waliokuwa wauawe na Wavamizi kwa kuwaficha katika msikiti aliokuwa anauongoza huko katika jiji la Plateau.
Mwenyezi Mungu amsamehe alipokosea na kumuongezea alipopatia
3
102
Hii mechi ya Morocco vs Mali, mastaa wa timu zote mbili wameonyesha daraja lao ndani ya uwanja.
Mpira mkubwa sana umepigwa
193
Majirani emu tupeni majibu bila kuhoji mambo ya Kiingereza 🤣🤣
Yale matokeo ya CHAN 2024 ilikuwa uwezo wenu au ndio upepo tu ulikuwa kwenu?
Anyway sisi tuko nafasi ya pili kwenye kundi letu. Tukiua mechi zetu mbili zilizobakia dhidi ya Niger na Zambia, tunacheza Play Off















