
call me when you are too busy to clean your stuffs| [email protected]| dm for cleaning only☺️♥️
Dodoma, Tanzania
Joined December 2022
- Tweets64
- Following157
- Followers90
- Likes31
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Hiki ni choo kilicho kua na stain
Picha chini ni before and after our work.
Karibu sana. – at Dodoma, Tanzania
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Happy World Engineering Day
#WorldEngineeringDay2024
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Uelekeo kariakoo kwenye usafi na @cleanerlight1
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Hello twitter brothers and sisters, Mr and Mrs, boys and girls karibuni Tunapatikana Dodoma na mikoani
tunafika kwa makubaliano maalum.
You are welcome 🤗
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Tunamshukuru Mungu TUMESHINDA HII KESI. Kuanzia leo Mama Maria yuko huru!!! – at Dodoma, Tanzania
UWT chini ya Mwenyekiti wetu Mary Pius Chatanda tumeona muelekeo wa hii kesi haujawa na haki hivyo kama tulivyojipambanua kuwa kimbilio la wanawake wote nchini na wasimamizi wakuu wa agenda za wanawake nchini tumedhamiria kuona haki inatendeka kwa Maria kupata wasimamizi sahihi wa kesi yake. Tukisema UWT kwa kila mwanamke tunamaanisha kwa vitendo. Tunafahamu wengi mliguswa na kisa hichi cha Maria 🙏🏽
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
USAFI WA NYUMBANI
USAFI WA NYUMBA MPYA
USAFI WA SOFA
USAFI WA CARPET USAFI WA SINK USAFI WA TILES
USAFI WA MAGODORO USAFI WA MADIRISHA
USAFI WA VYOO NA BAFU
USAFI WA TILES NA FLOOR
USAFI WA MAZINGIRA YA NJE USAFI WA PAVING BLOCK
Tupigie kwa 0695 475 044
@Litelight9 @tricy_one
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Watu wa dar mlio kua mnatusubiri kupata huduma zetu sasa tupo dar kuwahudumia.
Cc: @tricy_one @MpellyTech1 – at Morogoro, Tanzania
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Kuna wale hawawezi ishi na wadada wa kazi Kwa sababu mbali mbali.. so usiwaze kuhusu hilo .. spotless feast tunakutengenezea schedule ya usafi ...utafanyiwa kazi vyema na wafanyakazi hodari na uaminifu mkubwa 😊
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Maboss wangu Dodoma. You can book me niwasafishie majengo yenu mliomaliza project.
- nyumba unayotaka kuhamia
- nyumba ya kuishi
- mama Yuko home mwenyewe tunampangia schedule yake ya kumsafishua nyumba.
- offices
Carpets, coach , pavement etc.
Hit my dm😊. Or call me 👇🏼 – at Dodoma, Tanzania
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Jana boss wa Nzuguni kapiga simu ety sink lake Hali takati .Lina kutu+ chunvi imekomaza tiles amejaribu Kila njia kashindwa . Nikamwambia SEMA wallah 😂, ushajaribu spotless feast solution ukashindwa .
Sie tukajibeba hapo tukafufua vilivyo potea.
You see results. 0695 475 044 – at Tanzania
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Hivi wanangu nikiwaomba buku buku mtanichangia hadi nifikishe 300k au nikiwaomba kazi za umeme kupitia @MpellyTech1 na kazi ya usafi kwa kupitia @tricy_one kipi bora tuwaombe kazi au mchango!?🥹🥹
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
SFS. Tunafanya usafi wa
-nyumba/ chumba ,
-choo,bafu,nyumba inayotarajiwa kuhamia, -nyumba iliyo malizika ujenzi,uwanja ,
-usafi wa mazingira yote Kwa ujumla
Tunapatikana DODOMA .wasiliana nasi Kwa namba 0695 475 044 .
Hii ni Moja ya kazi ya mteja wetu .
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Replying to @IdrisSultan
Habari Idris. Mimi ni mfanya biashara Mdogo wa usafi wa majumbani, maofisini,maofisini,
-nyumba iliyomalizika kujengwa, inayotarajiwa kuhamia na usafi wa nguo, Kwa Sasa nimefikia hatua ya kununua baadhi ya vifaa. Lakini baadhi bado. Pesa yako itaniongezea mtaji niongeze vifaa.
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
Jali afya yako Kwa kufanya usafi wa nyumba/ chumba chako pamoja nasi
Tunapatikana dodoma Tanzania . Tutakuaaidia kufanya usafi wa mazingira Kwa bei nafuu zaidi. Wasiliana nasi Kwa maelezo zaidi. Karibuni 😊 – at Dodoma, Tanzania
Dodoma cleaning services 🧹 retweeted
JE UNAHITAJI KUFANYA USAFI NA SHUGHULI
ZINAKUBANA?
Suluhisho ni sisi, wasiliana nasi Kwa shughuli za usafi wa majumbani zikiwemo
1.kufua nguo
2.kusafisha Kuta ,sakafu na vioo 3.kusafisha uwanja
4.kusafisha vyombo.nk
Tunapatikana Dodoma mjini ,wasiliana nasi Kwa maelezo zaidi. – at Dodoma, Tanzania

































