Pinned Tweet
๐Hale
1.Ufundishe moyo wako kuridhika na ulichonacho.
2.Ishi duanini kama kesho hautaiona tena.
3.Boresha mahusiano yako Na aliyekuumba wewe.
4.Tenga muda kujiuliza wewe ni nani na umetokana na nini.
5.Wapende sana wazazi wako kama wapo hai na ikiwa wameshafariki waombee.
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Watu wenye uwezekano mkubwa wa kufanikiwa ni wale wanao tambua Utofauti kati ya kuonekana umefanikiwa na kufanikiwa kwenyewe๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Zuio La X Limekiuka Katiba
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Residents must not wait for municipality to clean their blocked storm drainage systems, otherwise many will wait until Jesus comes back ๐คญ
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Pengo makeke amelalamika suala la Hoteli za kataikati ya safari za Mabasi kuuza chakula bei ghali.
Mwamba anawashilisha shida za wananchi through content๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Mwana FA anakwambia siku hizi ashaacha kuogopa anataka vyote kwa pupa na anavipata.๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Kununua Potassium ndio kitu kimenishinda kabisa, mtanisamehe sana wanaume wenzangu.
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Matajiri wenye magari Kuna mzigo wa kokoto kahama
Kunahitajika gari 8
Kupakia kokoto
Kahama to Zimbabwe
Malipo dollar 11,000
+255 767 569 852 mcheki huyo muhusika
Maisha ya mwanadamu siku zake zinahesabika ishi utakavyoishi lakini tambua wewe ni Maiti muda wowote.
Haijalishi upo katika nafasi gani mwenyezi Mungu akikuita unaondoka kwenye kifo mwenyezi Mungu alicheza sana na hapo ndipo liliposomo la maisha.
#mega #DuniaHainaRafiki
1
87
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Maisha yanaenda kasi sana na dunia ni Sawa kupitia Mlango wa Mbele Ukatokea Mlango wa Nyuma fasta ๐ ๐
Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu atubariki sote insha'Allah.
#MegaPlus #DuniaHainaRafiki
1
59
Kila Nyakati zitapita kwenye maisha ya mwanadamu ziwe nzuri au mbaya hakuna nyakati za kudumu, ndiyo maana kuna kifo, ishi na watu kwa upendo haijalishi wao wanafanya nini juu yako.
#Pichazasimu #MegaPlus
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Hakuna kitu kinaua urafiki haraka kama madeni.
~ Mo Dewji.
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Na hakuna delays wala mzigo kupoteaa... how ๐ค๐ค??
#ABCUpperClass
๐๐ค๐ค๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Chamakweza Asubuhi Hii
Esther Luxury na Saratoga
Kila mmoja anawakati wake usiiumie au kuumia pindi unapoona mwenzako anabarikiwa Maisha ni foleni kila siku inasogea na yako itafika tu.
#Climber #DuniaHainaRafiki
Cc @Adventure_36
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Pesa ukisema Unayo nyingi unajivutia Maadui wa Maendeleo wanaotaka kukunyonya na Ukisema huna kabisa Unajivutia dharau ๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Replying to @climberJet
Utegemezi
























