๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Watu wenye uwezekano mkubwa wa kufanikiwa ni wale wanao tambua Utofauti kati ya kuonekana umefanikiwa na kufanikiwa kwenyewe๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Zuio La X Limekiuka Katiba
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Residents must not wait for municipality to clean their blocked storm drainage systems, otherwise many will wait until Jesus comes back ๐คญ
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Pengo makeke amelalamika suala la Hoteli za kataikati ya safari za Mabasi kuuza chakula bei ghali.
Mwamba anawashilisha shida za wananchi through content๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Mwana FA anakwambia siku hizi ashaacha kuogopa anataka vyote kwa pupa na anavipata.๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Kununua Potassium ndio kitu kimenishinda kabisa, mtanisamehe sana wanaume wenzangu.
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Matajiri wenye magari Kuna mzigo wa kokoto kahama
Kunahitajika gari 8
Kupakia kokoto
Kahama to Zimbabwe
Malipo dollar 11,000
+255 767 569 852 mcheki huyo muhusika
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Maisha yanaenda kasi sana na dunia ni Sawa kupitia Mlango wa Mbele Ukatokea Mlango wa Nyuma fasta ๐ ๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Hakuna kitu kinaua urafiki haraka kama madeni.
~ Mo Dewji.
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Na hakuna delays wala mzigo kupoteaa... how ๐ค๐ค??
#ABCUpperClass
๐๐ค๐ค๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Chamakweza Asubuhi Hii
Esther Luxury na Saratoga
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Pesa ukisema Unayo nyingi unajivutia Maadui wa Maendeleo wanaotaka kukunyonya na Ukisema huna kabisa Unajivutia dharau ๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Replying to @climberJet
Utegemezi
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Jesus Christ ๐ญ๐๐ณ
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Katika saikolojia ya Mapambano yule anaedhibiti hisia zake ndie anae Miliki mchezo ๐
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
Huyu mzee ana sauti fulani ya kimamlaka kwenye eneo la historia ya Tanganyika kiasi kwamba kila akiongea hauchoki kumsikiliza.
Composure yake inaonesha pia anakijua vilivyo anachokiongea.
Ana ile taste ya Sir David Attenborough kwenye documentary ya Planet Earth.
Salute!
๐ญ๐๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ก๐ ๐๐จ๐ฆ| ไธญ้ ๅฎข่ป๐น๐ฟ retweeted
#KataramaLuxury
Marcopolo Paradiso G7
Za Kwanza East Africa ๐ฅ๐ฅ
























