
Founder of dracktech/ football is favourite ⚽@Chelsea fan CEO drack shool Academy
Tanzania
Joined April 2021
- Tweets15.4K
- Following1.1K
- Followers1.1K
- Likes424K
Galileo retweeted
Praying for you brother.🙏
#FreeTwahaMwaipaya
🚨Chelsea Injury news before Leeds on Saturday
✅ Emi Martínez could be back
✅ João Pedro could be back
✅ Acheampong and Hato are in line to return
⏳ Reece James is out until around mid-January
⏳ Lacroix is likely out until January
(@standardsport)
Galileo retweeted
Mungu afanye njia yenye tumaini la milele kwako shujaa T. A. L❤️
Repost bila kuchoka ✌️
Galileo retweeted
DPP Mwakitalu na mahakama ya Tanzania chini ya Jaji mkuu Masaju.
Mnafuta mfumo wa vyama vingi vya kisiasa Tanzania, kwa kutumia ofisi ya DPP na mahakama za Tanzania.
Mnawafungulia wapinzani wa kweli wa ccm na Samia, kesi za uongo za Ugaidi na uhaini na kuwafunga kwa hila.
Ni wajibu wetu Watanzania kukataa kurudishwa kwenye mfumo wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa ccm.
Kikubwa zaidi historia itakuandika Mwakitalu na Masaju mnavyopaswa kuandikwa.
Galileo retweeted
Wakuu amkeni tuingie vibaruani tupate pesa ya kulipa kodi serikalini ili wawalipe majaji mishahara yao na bonus zao kwa wakati waendelee kulitumia Taifa wasije kususa 😊
Galileo retweeted
Mdogo wangu @Suma_Viatu huu mguu unaendaje???
Galileo retweeted
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ameitaka jamii kuiombea familia ya Lissu katika kipindi hiki kigumu inachopitia, huku akimtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuwa na moyo wa subira na uvumilivu akiwa gerezani.
Heche ametoa wito huo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026, wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Wakili Alute Mughwai Lissu, ambaye ni kaka wa Tundu Lissu, iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Theresa mkoani Arusha.
Amesema familia hiyo inahitaji maombi na faraja katika kipindi hiki cha majonzi, huku akisisitiza umuhimu wa jamii kuendelea kuwaombea ili wapate nguvu ya kuvumilia wakati huu mgumu.
#KitengeUpdates
Galileo retweeted
Fabrizio has confirmed that there is nothing happening between Barcelona and Chelsea for Levi Colwill despite the reports.



















