Pinned Tweet
This was the life changing signing. He made us believe we can compete
@gabrieljesus9 ❤️
Haya mambo yanaenda na location
Huku nilipo sijawah kutumia hata nusu ya mshahara wangu kwa mwezi tangu nije 😃
Enzi hizo Messi hana international trophies mlikua mnajipigia sana
Kinachotokea sasa ni revenge tu, kuweni wavumilivu 😃
Replying to @rayasel94
Huwezi kuta shabiki wa Ronaldo anamtaja taja Messi kila sehemu ila Kuna shabiki wa messi
Mashabiki wa Christopher Penaldus wanampenda Messi?
Nimeangalia Highlights za mechi ya Barcelona.
Duh aisee hii highline kubeba nayo UEFA itakua ndoto, Joan Garcia kafanya sweeping nyingi sana 🙌





















