KIJANA MWEUPE (@dullahIcon) header
KIJANA MWEUPE (@dullahIcon) profile picture

Businessman || Man and a Half|| Economist ||

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2022
Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)
BRO TO BRO Nobody is more expensive than a woman that doesnโ€™t like you. When a woman wants to leave you Be a gentleman and show her the door ๐Ÿšช
8
52
5
481
16,730
Dj Ally B aliwahi kusema kwenye moja ya podcast hapa mjini kwamba aliwahi kulipwa โ€œmzigo mrefuโ€ ambao hakuwahi kulipwa kabla kwenye maisha yake ya U-DJ. Akasimulia pia kuhusu wale jamaa wa mgodini aliowahi kuwasaidia kuclear bills pale Muhimbili. Akamalizia kwa kusema: โ€œUkimfanyia mtu wema, ita-appear hivyo hivyo. The same ukimfanyia mtu ubaya.โ€ Maana yake ni moja tu: Kila kitu hapa duniani kitafanyika. Ni suala la muda tu. Huyu mwanangu, kwenye hiyo tweet ya June 5, 2024, alifanikiwa kuzama pale Vingunguti. Baadaye akatoka, akasonga mbele na harakati zake. Leo amenisogezea project mmoja HEAVY sana. ๐Ÿ™Œ Angeweza kufanya mwenyewe. Angeweza pia kumpa mtu mwingine. Lakini akakumbuka kuna Kabote anaweza kufanya, kwa sababu project inataka mtu mwenye taaluma ninayoishi nayo kwa sasa. Wema unalipa, wanangu. Utaratibu ni ule ule: Kumshukuru Mungu kwanza ๐Ÿ™๐Ÿพ, then as soon as possible, kuna wachache wetu humu tutagawana huu ugali pamoja kulingana na position husika. Tuendelee kuishi na hii๐Ÿ‘‡ Kunjua nafsi ubarikiwe, maana kizazi chetu tukizeeka hatutaki tuje kuwa na wazee wachawi. โ€” Honest Mtalo
Jana nimekutana na hustler mmoja maeneo ya SIDO KIPAWA kila nikikatiza ile mitaa mamkuta kachill chini ya mti Akasogea na kuniomba 100 mfukoni nilikuwa na 250 chenji za mwendokasi Nikampatia na kumuachia namba ya simu akifika karibu na wakala anichek nimalizane nae zaidi ๐Ÿ‘‡
11
28
1
137
18,236
Bro to bro Mara moja moja, tembelea Divorce Court, na ufatilie Divorce case, Hakuna mwanamke analilia upendo wala kujenga familia, Wanacholilia ni kuondoka na Mali za Mwanaume, na kumuacha Mwanaume akiwa kwenye Great Economic Depression. Na sababu ingine ni Child support, hivi we kwenye ukuaji wako Ni mara ngapi ushawahi ona Watoto wanasaidia baba zao. Bro hizo hela Kula, kuwa mnufaika wa kwanza wa Jasho lako,
30
100
2
572
23,648
Hii Mechi ishakua Ngumu sema hapa ndio utaona Maajabu ya YANGA.!!๐Ÿซก
3
7
2
94
3,553
KIJANA MWEUPE retweeted
Kontena jipya la VISHANDU limeingia mjini mamae. Wasauzi kumbe walikuwa sawa๐Ÿคฃ
102
81
10
1,085
78,653
KIJANA MWEUPE retweeted
The Bermuda Triangle
252
2,148
227
27,657
382,036
KIJANA MWEUPE retweeted
Unaambiwa hapa mwenetu Doumbia alikosa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2
1
5
312
KIJANA MWEUPE retweeted
Ninakipaji cha kumgundua tapeli kwa mara ya kwanza tu nikimuona๐Ÿšฎ...
22
10
1
68
2,006
KIJANA MWEUPE retweeted
Ewe Mwenyezi Mungu Utuinue ili tusifike ile sehemu waje kusema " Tulijua tu hawezi kufika popote" ๐Ÿคฒ
2
8
17
275
FTโ€™ Hello Wananchiiiiii
9
63
6
1,413
20,558
KIJANA MWEUPE retweeted
Nyumbu awana makazi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜
2
3
28
790
KIJANA MWEUPE retweeted
Joao Pedro knows how to score ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
1
2
76
Miongoni Mwamaamuzi Bora niliowahi kuyafanya Maishani mwangu ni kuwa Shabiki wa YANGA.!!๐Ÿ’›๐Ÿ’š
6
19
277
6,491
Azam FC leo wametambulisha Jezi zao ila Sijamuona Feitoto kuhusika kwenye utambulisho wa Jezi..!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
5
13
222
9,828
Wananchi Hii Code mmeilewa au Niwafungulie.??๐Ÿ˜‚
7
12
1
194
6,948
KIJANA MWEUPE retweeted
Ile mboga ya jana wape bata nipo njiani nakuja na kuku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
7
15
43
868
Naam kazi na sala Ustaadh Lamine Yamal.!!
1
4
18
605
Te faltรณ la mejor toma! Nada le iba a quietar la paz! ๐Ÿ•Š๏ธโœŒ๐Ÿป โ€“ at Honduras
73
770
69
7,169
543,178
Katika Dua zetu tunamuomba MUNGU atupe mafanikio tukiwa bado tunaumri Mdogo na mafanikio yawe yenye Baraka ndani yake. Good Morning Champ.
15
31
1
109
1,328
Welcome to the greatest club in the world
57
10
1
121
61,383