KIJANA MWEUPE (@dullahIcon) header
KIJANA MWEUPE (@dullahIcon) profile picture

Businessman || Man and a Half|| Economist ||

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2022
Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)Photo by KIJANA MWEUPE (@dullahIcon)
Weka desturi ya kila uamkapo kumsalimia mzazi wako ni ufunguo wabaraka kwa siku mpya kwako...
20
40
128
4,743
Replying to @Kamau266
😅😅😅😅😅😅
15
Replying to @MangiwaKwanza1
😁😁😁😁😁
17
Replying to @AlexSamoja
Kheeee maninaaa
1
320
BRO TO BRO Nobody is more expensive than a woman that doesn’t like you. When a woman wants to leave you Be a gentleman and show her the door 🚪
8
52
5
481
16,732
KIJANA MWEUPE retweeted
Dj Ally B aliwahi kusema kwenye moja ya podcast hapa mjini kwamba aliwahi kulipwa “mzigo mrefu” ambao hakuwahi kulipwa kabla kwenye maisha yake ya U-DJ. Akasimulia pia kuhusu wale jamaa wa mgodini aliowahi kuwasaidia kuclear bills pale Muhimbili. Akamalizia kwa kusema: “Ukimfanyia mtu wema, ita-appear hivyo hivyo. The same ukimfanyia mtu ubaya.” Maana yake ni moja tu: Kila kitu hapa duniani kitafanyika. Ni suala la muda tu. Huyu mwanangu, kwenye hiyo tweet ya June 5, 2024, alifanikiwa kuzama pale Vingunguti. Baadaye akatoka, akasonga mbele na harakati zake. Leo amenisogezea project mmoja HEAVY sana. 🙌 Angeweza kufanya mwenyewe. Angeweza pia kumpa mtu mwingine. Lakini akakumbuka kuna Kabote anaweza kufanya, kwa sababu project inataka mtu mwenye taaluma ninayoishi nayo kwa sasa. Wema unalipa, wanangu. Utaratibu ni ule ule: Kumshukuru Mungu kwanza 🙏🏾, then as soon as possible, kuna wachache wetu humu tutagawana huu ugali pamoja kulingana na position husika. Tuendelee kuishi na hii👇 Kunjua nafsi ubarikiwe, maana kizazi chetu tukizeeka hatutaki tuje kuwa na wazee wachawi. — Honest Mtalo
Jana nimekutana na hustler mmoja maeneo ya SIDO KIPAWA kila nikikatiza ile mitaa mamkuta kachill chini ya mti Akasogea na kuniomba 100 mfukoni nilikuwa na 250 chenji za mwendokasi Nikampatia na kumuachia namba ya simu akifika karibu na wakala anichek nimalizane nae zaidi 👇
11
28
1
137
18,236
Replying to @INFLUENCERjr
🤣🤣🤣🤣
76
KIJANA MWEUPE retweeted
Bro to bro Mara moja moja, tembelea Divorce Court, na ufatilie Divorce case, Hakuna mwanamke analilia upendo wala kujenga familia, Wanacholilia ni kuondoka na Mali za Mwanaume, na kumuacha Mwanaume akiwa kwenye Great Economic Depression. Na sababu ingine ni Child support, hivi we kwenye ukuaji wako Ni mara ngapi ushawahi ona Watoto wanasaidia baba zao. Bro hizo hela Kula, kuwa mnufaika wa kwanza wa Jasho lako,
30
100
2
572
23,649
Replying to @_zack255
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
362
Replying to @JosmanStima
😁😁😁😁😁 dada alikufaa kwa sam
75
😁😁😁😁😁
91
Replying to @Ugeniaconso
Nini hiii tenaaa
1
22
Replying to @Nindi_Jr
Uko nao soko bin mokoo safiii mzeee
1
1
127
Replying to @Cowwbama
😂😂😂😂
62
Hii Mechi ishakua Ngumu sema hapa ndio utaona Maajabu ya YANGA.!!🫡
3
7
2
94
3,553
Replying to @anuskills3
Wakifikaa usiache kunishtua mkuu
32
Replying to @Aruatani
Alikuwa anatafutaa jamboo 😁😁😁
61
Replying to @Sincerelyrahma7
😁😁😁😁😁😁😁
1
1
164
Replying to @spana_Konki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
31