Kabaissa Hemedi retweeted
MADARAJA 10 MAREFU ZAIDI BARANI AFRIKA
Retweet, like, follow @giboretz kisha andika fb ntakufollow
Uzi🧵
Kabaissa Hemedi retweeted
I stand with him during this difficult time. Even Tanzania deserves a Baltasar Ebang Engonga. In the midst of CCM fxcking our lives, there is a need for someone to fxck their wives gradually. The entire Tanzanian universities are surpassed by Bro’s collection of tapes. Legend. 🫡
Kabaissa Hemedi retweeted
Mapema leo, nimekuwa na semina kwa wagombea wote wa nafasi mbalimbali za uongozi uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji katika Jimbo la Shinyanga Mjini.
CHADEMA tumesimamisha wagombea kwa zaidi ya asilimia 90% katika Jimbo la Shinyanga Mjini. #WatakeWasitake #UshindiUnakuja! ✊🏾
Kabaissa Hemedi retweeted
RT yako tu inatosha
TUSIISHI HIVI BASI,me huyu ni shemeji yangu kabisa inaumiza..huo ni ujumbe wa watu wake wa karibu👇🏿
Tumepatwa na hudhuni kwa kupotelewa mwenzetu kutoka jana jioni pale ofisini kwetu.
*DATAVISION INTERNATIONAL LTD.*
Jina lake: *MacLean Geofrey Mwaijonga*
Mara ya mwisho kuonekana ni:
LOCATION: MIKOCHENI, DAR ES SALAAM Karibu na Rose Garden
Alitoka ofisini saa 11 jioni jana ya tarehe 31. 10. 2024. Hana kawaida ya kutorudi nyumbani. Lakini mpaka sasa hapatikani.
Anatumia gari hii:
1. Toyota Prado nyeusi
2. T645DEE
Tunaomba msaada wako popote utakapomuona yeye au gari yake tupe taarifa kwa number ifuatayo:
0768 503 399
Kabaissa Hemedi retweeted
Ni Kanuni Ya Maisha KUWATUMIA WENGINE KUFIKA MALENGO, HAKIKISHA UNAWATUMIA WANYONGE KAMA NGAZI KUFIKA JUU, Hiyo Ni Formula Ambayo Viongozi,Matajiri, Waliofanikiwa Hutumia Usiogope Lawama, Maana Lawama Sio Mzigo Na Lawama Sio Kifungo! Watu Lazima Waumie Ili Upate Ila Usiumie Wewe!
Kabaissa Hemedi retweeted
Katika Maisha Yangu Sijawahi Kufanya Maamuzi Ya Kipuuzi, Huwa Nikisukuma Kete Zangu Najua Zitajipa Tu, Tulieni Hakunaga Maamuzi Ya Kipuuzi Ila Kuna Matokeo Ya Kipuuzi Endapo Maamuzi Yakipuuzwa!
Kabaissa Hemedi retweeted
WAHEHE & WASWAHILI, naombeni ushauri wenu, Hili Tangazo Litakaa AIRPORT YA IRINGA NDULI, Je Niweke La A au B?
NAPOKEA MAONI🙏
Kabaissa Hemedi retweeted
Wanafunzi waliosoma MD wanaenda Vijana wanarudi Wazee, sura zimezeeka mpaka mawazo!
Kabaissa Hemedi retweeted
🪄 Mimi Ndo Fimbo Kuu Ya WASOMI, kuteseka mmeumbiwa daima na hamtakaa MJE kuona Furaha katika maisha yenu
Kabaissa Hemedi retweeted
Jeshi la polisi waachieni hawa wapambanaji bila masharti yeyote. Kuwakamata watu kwasababu ya kufanya kusanyiko huu ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu. Mlitaka hawa vijana wasafiri bila kukutana? Acheni uonevu.
Kabaissa Hemedi retweeted
Nakutakia kila la kheri Kalumbu @Mwabuk2Boniface Mungu akujalie ushinde.🙏
Kabaissa Hemedi retweeted
Tukate mzizi wa fitna hapa. Retweet ziwe za Ally Kamwe halafu Likes ziwe za Haji Manara tumalize Ubishi.
Kabaissa Hemedi retweeted
"Nilichojifunza Kwenye Maisha, Ukimfanyia Mtu Ukarimu/Wema Sana Anakuzoea Then Anakudharau Then Ha-appreciate Tena Ule Msaada Na Kuuona Kama Haki Yake Then Ataishia Kukutukana"
Kabaissa Hemedi retweeted
Kama post hii ukiiona ,usiseme chochote na Wala usiipite wewe RETWEET
The last man standing ✊
Kabaissa Hemedi retweeted
Watu wananipenda,wananikubali KWA SABABU TU, Najua Siku Nikiharibu Au Nikifanya Makosa Ya Kibinadamu Wote Watanitenga Na Kuniacha Mwenyewe Nihangaike Bila Msaada Wowote Kutoka Kwao,Watasema "Huyo Dogo Tulijua Tu Lazima Ataharibu" Wataishia Kucheka & Kunikejeli, I Trust No Body!
Kabaissa Hemedi retweeted
Nimezaliwa Familia Maskini,Mara Oh! Boom Halitoshi,Ujue Mimi Kwetu Hakuna Connection Sasa kama msomi unataka nani Akupe Hela? Nani Akupe connection? Nani Akupe ngazi kwenye mafanikio Yako? Wasomi wengi ni selective sana ndo maana wanazidi kuwa foolish & poor always!
Kabaissa Hemedi retweeted
Hakuna Kitu Kinanishangaza Kama Kuona Kijana Wa 25+ Tena Degree Holder Anakaa Kwao,Anakosa Hata 200k Ya Mtaji,Kutwa Kushinda Mitandaoni Kutukana Viongozi & Public Figures Wakati Hata Hela Ya Kujitatulia Shida Zake Hana! Sasa Mlienda Vyuoni Kufanya Nini? Maana Ujinga Bado Mnao!
Kabaissa Hemedi retweeted
Hivi Ni Nani Alianzisha Upumbavu Wa " Ili Uonekane Mwema Na Mwenye Roho Nzuri Lazima Usaidie Mtu? Hii Imewafanya Watz Wengi Kuona "MSAADA NI HAKI YAO",Unakuta Kuna Mpumbavu Ananuna Kwa Kukosa Msaada, Dunia Ya Sasa Ni Weka Niweke,Faidika Nifaidike,Pata Nipate, La Sivyo Sikusaidii
Kabaissa Hemedi retweeted
Kizazi Cha Late 90's & Early 2000 Ni Kizazi Laini Mno Na Cha Kuigana Maana Mabinti Wakiwa Na Mtaji Kidogo Wanafanya Biashara Ya Nguo ( Sinza ) Kwa Wavulana Maduka Ya Simu ( Makumbusho ), Sasa Kwani Hamna Ubunifu Mwingine Mpaka Wote Mgandane Na Same Business Plan?
#Elimunimzigo























