Baba Trossard19 retweeted
BREAKING: Mikel Arteta has signed a new contract with @Arsenal ✍️
The Premier League's longest-serving manager isn't going anywhere 🔴
Baba Trossard19 retweeted
🚨🏆 OFFICIAL: Mikel Arteta wins Premier League Manager of the Season Award. 🏅
Baba Trossard19 retweeted
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa, amesema wapo watu katika jamii ambao kila wakati hutafuta jambo la kuichonganisha na kuisukuma jamii kwenye matatizo, huku akisisitiza kuwa Yesu Kristo alikuja kuwaletea wanadamu amani na wokovu.
Akizungumza katika ibada, Dk. Malasusa ameeleza kuwa mara nyingi dhambi huorodheshwa kwa kudhani kuna dhambi kubwa na ndogo, lakini ukweli ni kwamba hakuna dhambi ndogo wala kubwa ambapo pia amesema uongo na uchonganishi ni dhambi kama zilivyo dhambi nyingine.
“Leo kila ukiamka kuna jambo linawekwa ili moyo uende mbio. Wengine baada ya ibada ya kwanza walisema, ‘Baba Askofu tunamshukuru Mungu maana tuliambiwa tarehe 25.’ Wapo watu ambao hawana amani mpaka watengeneze mambo. Lakini Yesu alikuja ili kutuletea amani katika ulimwengu,” alisema Dk. Malasusa.
Askofu huyo ameongeza kuwa jamii inapaswa kutambua thamani ya amani na kuiepuka migawanyiko inayochochewa na watu wasiopenda utulivu na kusisitiza kuwa jukumu la kila mmoja ni kulinda mshikamano wa kijamii na kuishi kwa kufuata mafunzo ya Kristo.
Baba Trossard19 retweeted
Top of the league at Christmas 🔴⚪️
@Arsenal 🔝
Baba Trossard19 retweeted
Three points secured 🔒
Catch the highlights from our 1-0 win against Everton 📺





























