sir Elius πΉπΏ retweeted
Wanaume ni wale wale tu hasa ikifika sehemu anataka kuichapa wanakuwa watakatifu sana kwenye hicho kipengeleππ
sir Elius πΉπΏ retweeted
Vijana mnajifanya hamlipendi jeshi la makamanda lakini mpaka sasa applications ni 10k plusπ
Kila la kheri kwenuβ
-HAMPENDI UKWELI NYIEππ«΅πΏ
sir Elius πΉπΏ retweeted
Replying to @bonifacejoseph_
mafanikio ya kijana wa daslam
-TV inch 43
-kitanda cha sofa
-WIFI
-sabufa
-zulia la manyoya
sir Elius πΉπΏ retweeted
Jumapili tulivu, Playlist kali ya country songs kutoka DSTV, baadayr tusubiri Pochettino ball.!! π
sir Elius πΉπΏ retweeted
Umeoa unaenda kupanga chumba kimoja unaishi na mke.
Huoni kuwa hiyo ni haraka ya maisha.
Kwanini usisubili ujenge nyumba yako ndio uoe?
kachumba kamoja ako kenye bedsofa, showcase, sofa, Friza, kabati, kapeti la manyoya n.k
Ndio kanakufanya uoe.
Mbona unaharaka na maisha.
sir Elius πΉπΏ retweeted
Laana za Ukoo USIPO.kuwa makini na wewe zitakufwata Si unaona Ukoo Wenu Wanavyo Teseka
Hawana Hata Mavazi Babu yako Ana.Suruali mbili Tu Baba yako Nae Tiatia Maji
Upo Dar Mwaka 9 huu umeishia.kupanga Single na kununua Godoro Imeisha hii
Nakutuma Nenda kijinni. Kwenu
sir Elius πΉπΏ retweeted
Msikilize huyu dada hapo
βBefore nimefika miaka 60 anataka niwe nimet*mbwa sana to the pointβ
sir Elius πΉπΏ retweeted
Felista Akunai bibi mwenye miaka 61, wajukuu 11 na watoto 6, ameamua kurudi shule kusoma. Felista aliishia darasa la 7 mwaka 1982 lakini sasa amefanya mtihani wa QT Form Two huko Manyara, akafaulu na sasa anasubiri matokeo ya form four. Anataka kutimiza ndoto yake ya kuwa Mwalimu
sir Elius πΉπΏ retweeted
Je, wajua kuwa ajali za barabarani husababisha takribani vifo milioni 1.19 duniani kila mwaka? Kuheshimu sheria za barabarani na kutumia vifaa vya usalama kunaweza kusaidia kuokoa maisha.
#ElimikaWikiend
sir Elius πΉπΏ retweeted
Join πππ ππΏππΏππππππππΌπ Premium LINK
linktr.ee/JojoKamdoli
linktr.ee/JojoKamdoli
sir Elius πΉπΏ retweeted
Hauwezi kuanguka kama umekaa #ElimikaWikiendi


























