Pinned Tweet
Maybe not today, maybe not tomorrow, and maybe not the next month. But only one thing is true, I will be a champion one day. I promise.
π£οΈ Brandon Moreno
Kilo-Volt retweeted
Gen z wengi tunaojitafuta tushawahi kupita kwenye kile kipindi ambacho hela ilikua inakuja yenyewe kwenye kazi zetu gafla upepo ukabadilika yakaanza mateso..π
Carlill v Carbolic Smoke Ball Company
Salomon v A Salomon & Co Ltd
Williams v Carwardine
Business Law Days.
Hii hela kama alimtapeli mtu, ungelala Ngome na wewe.
Kua makini next time.
This quoted post is unavailable.
Kilo-Volt retweeted
Kwa vile account yake ipo private, mimi nawasaidia kuleta utetezi wake kwenye tuhuma hizo π
Huyu Mwakimi atakua na account fake kibaooo.
Watu wawe makini.
Sio mtu wa kumchekea huyu, ana tam tam saaaana.
Replying to @blazadadee1
Huyo Mwakimi nimepitia data zake inaonekana ni mtu hatariii saaaana ππ.
Afu kawaje mutual wangu, angenipiga huyu. π
@Cowwbama
Kilo-Volt retweeted
Oya siku hizi boom chuoni mna-sign kwenye app tu pesa inaingia????
Boom hizi za Heslb ?
Ila Gen Z mna maisha ya kimayai mayai
Enzi zetu β¦β¦β¦. Au basi
This Day Last Year.
Kusema kweli hata tuliopona ni bahati tu ya mwenyezi MUNGU. Vyuma vililia haswa hapo katikati ya mji.
Waendelee kupumzika kwa Amani wale wote waliopoteza Maisha yao. ππ
Kilo-Volt retweeted
Replying to @Hon_KibayasiF
Aje achambue mkundu wake? Huyu anadhihaki waliokufa unamuita umtombe? Anatombeka na umbo lake kama mvua wa Kateshi? Aje wapi? Mambo ya kulaani mnaya entertain, hamna utu?
Kilo-Volt retweeted
Nilishasema hili, na lilipokelewa kwa hisia. Kama unaweza kutompa Mtanzania pesa, usimpe.
Kwenye saikolojia ya masoko kwa msingi wa demografia, Tanzania inawekwa kwenye tunachoita low-trust society. Na ni kwa sababu karibu kila mtu ni tapeli inherently. Kila mmoja anaangalia namna ya kumuibia mwenzake, na tumehalalisha kwasababu hatuchukuliani hatua na wala hatuwajibishani. Kila mtu mwizi, kila mtu tapeli.
Kilo-Volt retweeted
Replying to @mateomwakimi
@mateomwakimi mdogo wangu hii jela unaitafuta kwa udi na uvumba nakuambia. Jina umelichafua ngazi ya Taifa
Mtandao wenu una wanawake wabovu saaaana. Na wana ujasiri hujawahi kuona.
Sio hawataki urembo uonekane, hawana kabisaaa huo urembo.
Ndio maana kina Yoro, Lipumba, Makengeza na Cha umbea wanatamba kila siku.
Kilo-Volt retweeted
Mtasema ni malezi mabovu kizazi hiki kumbe mungu baba kaishiwa material na umri umeenda huko mbinguni hawezi tena kuumba anafanya kusampo tu.























