G’love (@fevushka_) header
G’love (@fevushka_) profile picture
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2023
Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)Photo by G’love (@fevushka_)
🦁🦁🦁 #nguvumoja💪
100
55
13
1,402
32,993
Mimi naitwa Jackline najihushika na uuzaji wa mashuka na mapazia huwa naenda kuchukua kariakoo na kwenda kuwasambazia wateja wangu wa apa Dar na wamikoani nnao wapata kutumia mitandao ya kijamii pia nimekuwa nikifanya nao biashara kwa uaminifu Nakuwa inspired na wanawake kama
1
62
@fgdewji mkurugenzi masoko MELT @Angelinangalula Founder wa bravo logistics @SuluhuSamia rais wa JMT
1
56
Nkiona hii pc inanikumbisha wote tutakufa tu ni suala la muda
1
2
3
368
#5SELEKT: Leo amezaliwa mtangazaji wa kipindi cha #5selekt @fevushka_ #5selekt @modoo_255 @fevushka_ #DatanaData @airtel_money_tanzania
5
1
1
28
4,455
#5SELEKT Mjeshi kikofia @ndaro__ amefunguka kati ya simu au mpenzi kipi hawezi kukaa nacho mbali, Tuambie pia kwenye uwanja wa comment kipi huwezi kukaa nacho mbali kati ya Simu au Mpenzi ? #5SELEKT #DataNaData @airtel_tanzania @modoo_255 @fevushka_ @felister_loshy @blessing_teba Teba.
1
7
2,351
#5SELEKT: “Mimi ni bingwa wa kwenda na simu hadi chooni, Watu wamekuwa wakisema muda mwingi nipo na wanawake, ni kweli lakini muda mwingi lazima niutumie kwenye simu kwasababu ndio kazi yangu? @lukambaofficial #5selekt @modoo_255 @fevushka_ #DatanaData @airtel_tanzania
1
9
2,405
#5SELEKT: @moccogenius aki-perform live wimbo wake wa “mchuchu” aliomshirikisha @officialalikiba ndani #5SELEKT #5selekt @modoo_255 @fevushka_ #DatanaData @airtel_tanzania
1
8
2,539
#5SELEKT: “Tangu siku ya kwanza nilipo kutana na @officialalikiba Imani yake kwangu ilikuwa ni kubwa sana, alikuwa anapenda pia kazi zangu, hata nilipoanza kuimba “support”yake ilibaki pale pale. Namshukuru kwasababu ni mtu aliyekuwa anani-support sana kwenye safari yangu ya Muziki” - @moccogenius #5selekt @modoo_255 @fevushka_ #DatanaData @airtel_tanzania
1
2
33
3,230
#5SELEKT: Balaa la @spicetz_ ndani ya #5SELET, vipaji adimu kabisa duniani, utatumia muda mrefu sana kugundua ni binadamu na sio roboti. #5selekt @modoo_255 @fevushka_ #DatanaData @airtel_tanzania
3
1
13
2,837
The smile 😊😍
1
1
2
108
#5SELEKT: Lukashi @lukambaofficial anakuuliza Simu au Mpenzi wako kipi unaweza kukaa nacho mbali ? Usikose kutazama #5SELEKT LIVE kupitia #EastAfricaTv na YouTube channel Yetu saa 11:00 jioni hadi saa 12:00 jioni @modoo_255 @fevushka_ @felister_loshy @blessing_teba
1
1
2,281
#HABARI Kijana aliyefahamika kwa jina la Shalom Tarimo (21) amefariki dunia leo Agosti 9, 2024, wakati akifanya usafi katika kituo cha mafuta cha Uhuru Peak mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Tarimo ambaye alikuwa kijana wa kazi amefariki dunia kwa kutumbukia kwenye kisima cha mafuta wakati akijaribu kuokota simu iliyomponyoka mfukoni. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifika na kuchukua takribani saa moja kutoa mwili wa marehemu katika kisima hicho kilichopo katika kituo cha mafuta cha Total Energies cha Uhuru Peak. #EastAfricaTV
38
31
3
698
80,075
#5SELEKT Dondosha comment yako tutapita nayo live saa 11:00 jioni #EastAfricaTV #EastAfricaTV #5SELEKT #DataNaData @airtel_tanzania @modoo_255 @fevushka_
12
1
48
6,839
Tukutane kwenye #5SELEKT kwanzia saa11 jioni @eastafricatv
1
1
3
357
Simama usikae badoo kazi unayo
112
Simba sc na Sisiemu ni mama mmoja baba mmoja kwa uongo, #Simba wanatangaza ticket 🎟 ni SOLD OUT na hizi zinazouuzwa mtaani ni ticket za SIMBA wa ngorongoro au , 🧐
14
4
1
44
1,510