Pinned Tweet
Ipo siku isiyo na jina, huyu mnyama ntammiliki.
Hii ndo sababu ninatia stake kubwa kwenye mkeka.
Wanangu wa Arsenal tuzungumze, wewe ni nani jana ile second half uliona alipwaya mno. Au game nzima.
Hii vita ya Viking na Bodoe ni sisi wawekezaji peke yetu ndio tunaifuatilia au ni jamii nzima ya kabumbu.
4
31
883
Kipi ni kipimo cha kufeli au kutokufeli kati ya hivi?
1. Abebe ligi
2. top 4
3. Aende Europa
4. Aende conference
5. asishuke daraja
6. Au any of the above plus cup
















