π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya) header
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya) profile picture

Founder & ED at @HerEducationTz| Team Leader at Keyjana Impact Project| Deputy Coordinator @dadasrisetz| Youth Advisor to @EUinTZ πŸ‡ͺπŸ‡Ί

Pwani, Tanzania
Joined August 2017
Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)Photo by π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš (@hellen_sisya)
I was once dismissed from school just bcoz of pregnancy. When I got the chance to come back for schooling again, I managed to survive and finally yersterday I got my first degreeπŸŽ“πŸŽ“ Glory to GodπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ @halimamdee @MariaSTsehai @RebecaGyumi @CarolNdosi @fatma_karume
502
351
99
3,611
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu. Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.
65
162
21
830
33,890
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania. Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea). Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
97
360
44
1,140
87,657
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
🎬 Tukutane kwenye ZIFF Goes Mainland! πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Free films & discussions in Dar, Bagamoyo, Mwanza, Iringa & Dodoma, 20 Oct–2 Dec, with the EU, 10 Member States & ZIFF. 🍿 Opening: 20 Oct, 6:30 PM, Alliance FranΓ§aise, Dar. #TeamEurope #EUinTZ
4
1
9
993
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Meet the new EU Ambassador to Tanzania, Jean-Marc Pisani! Building on the longstanding EU–Tanzania partnership, his mission will focus on working with #TeamEurope to advance shared priorities in line with #Dira2050. Karibu sana, Balozi Pisani! #EUinTZ
3
17
1
24
1,396
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Scholarship opportunity to study in Denmark Tanzanian applicants can apply for a fully funded, Danida-supported MSc in Immunology & Inflammation at the University of Copenhagen for the 2027–2029 intake. Applications close 1 October 2026 More detailsπŸ‘‡πŸΌ kcmcu.ac.tz/call-for-applica…
1
7
13
736
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Happy International Youth Day! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Every generation has a chance to leave things a little better than they found them. Young people have the ideas, courage and energy to do exactly that. Denmark believes in listening to them and giving their ideas room to grow. πŸ‡©πŸ‡°πŸ‡ΉπŸ‡Ώ – at Dar es Salaam, Tanzania
1
1
327
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
#KeyJanaImpact sio mradi tu ni mradi unawawezesha Vijana kuwa viongozi wenye tija katika maeneo tofauti tofauti.. Cc: @Keyjanaimpact | @ActionaidTz
9
11
1,509
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Her remarks reaffirmed the commitment of DFC and SDGs Fellows to supporting youth-led initiatives that drive positive change and contribute to Tanzania’s development agenda. #KeyJanaImpact
2
2
45
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Ms. Hellen Sisya, Team Leader of DFC Fellows, delivered the official remarks on behalf of DFC and SDGs Fellows during the launch of the #KeyJanaImpact Project. She highlighted the importance of empowering youth to actively participate in civic and policy, climate action & SDGs.
1
8
13
418
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
VIDEO: Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Vijana, Dkt. Kedmon Mapana, amesema Mradi wa 'KEY jana impact' utawawezesha vijana kujitegemea, kushiriki katika mchakato wa maendeleo na hatimaye kuchangia katika ukuaji uchumi wa taifa. Akizungumza Julai 17, 2026 jijini Dar es salaam katika uzinduzi wa mradi huo, Mapana amesema serikali itahakikisha mradi huo unakamilika ili ulete matokeo tarajiwa kwa vijana na taifa kwa ujumla kwa kuendelea kutoa ushirikiano unaohitajika ili kufikia malengo yanayokusudiwa. Naye Mkurugenzi Mkazi wa Action Aid Tanzania, Bavon Christopher, amesema kwa kuzinduliwa mradi huo sasa vijana wanayo nafasi kubwa ya kuhakikisha mabadiliko katika taifa ikiwamo kuendelea kutunza amani na kujiimarisha kiuongozi. Kwa upande wake Kiongozi wa Vijana wa DANIDA SDG's Fellows, Hellen Sisya, amesema utekelezaji wa mradi wa 'KEY jana impact' utawawezesha vijana kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kuchangia mijadala ya kisera na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Julai 14, 2026 Action Aid Tanzania, ilifanya utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika mpango wa β€˜KEY jana impact’ unaosimamiwa na Action Aid Tanzania na Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania ukiwa mwanzo wa kuwawezesha vijana kimaarifa na ujuzi kutokana na wao kuwa wenye nguvu na wengi katika jamii.
2
3
28
4,183
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Imesalia siku moja tu kuanza safari mpya ya mabadiliko! Kesho tunazindua rasmi #KEYJanaImpact mpango unaolenga kufungua fursa kwa vijana, kukuza uongozi, na kuwahamasisha kuwa chachu ya mabadiliko yenye matokeo katika jamii. Kwa pamoja, tunajenga kizazi cha vijana wenye maono, uwezo, na uthubutu wa kuleta mabadiliko ya kudumu.
2
14
2
21
1,361
πŸ™πŸ™πŸ™
Great to join the signing of an agreement between the Embassy and ActionAid Tanzania for the #KEYJanaImpact project. Conceived by six Tanzanian DFC Fellows, this youth-led initiative will empower young people through climate action, civic participation and dialogue.
1
97
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Great to join the signing of an agreement between the Embassy and ActionAid Tanzania for the #KEYJanaImpact project. Conceived by six Tanzanian DFC Fellows, this youth-led initiative will empower young people through climate action, civic participation and dialogue.
5
1
7
497
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
VIDEO: Mkurugenzi Mkazi wa Action Aid Tanzania, Bavon Christopher amesema utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika mpango wa β€˜KEY jana impact’ unaosimamiwa na Action Aid Tanzania na Ubalozi Denmark nchini Tanzania ni mwanzo mzuri wa kuwawezesha vijana kimaarifa na ujuzi kutokana na wao kuwa wenye nguvu na wengi katika jamii. Akizungumza na wanahabari leo Julai 14, 2026 jijini Dar es Salaam mara baada ya utiaji saini wa hati hiyo, Christopher amemesema kundi la vijana likiachwa bila kuwejengewa uwezo haliwezi kufanikiwa hivyo mpango huo ni mahususi katika kuwawezesha kushiriki katika michakato ya kiraia na kuwezesha upatikanaji wa taarifa za sera. Kwa upande wake Hellen Sisya @hellen_sisya ambaye ni kiongozi wa vijana, amesema mradi huo utawasaidia kuyafikia maono waliyonayo kama vijana ikiwa ni pamoja na kuchangia maendeleo endelevu hasa katika amani, haki na taasisi imara. Naye, Balozi wa Denmark Tanzania, Jesper Kammersgaard, amesema wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu na Action Aid Tanzania na watahakikisha mwendelezo unakuwepo. Amesema uwepo wake katika hafla hiyo ya utiaji saini ni ishara tosha ya uwepo wa Denmark katika kuunga mkono Mpango wa KEY jana impact.
1
5
20
4,438
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Are you a young graduate interested in international relations? We are looking for a Trainee! πŸ—“οΈDeadline: 1 June 2026 πŸ”½ Apply by following the link below eeas.europa.eu/delegations/t…
3
12
4
53
8,302
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
πŸ‡ͺπŸ‡Ί EU Ambassador to Tanzania and the EAC, Ms. Christine Grau, was pleased to sit down with @TheChanzo for an open, wide-ranging and genuine conversation on EU - Tanzania relations, multifaceted developments, and her experience in the country so far. Stay tuned to @thechanzo.
9
58
5
266
18,231
πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜‡
A continent that empowers its women leaders strengthens its institutions, deepens democracy, and accelerates development under #Agenda2063. Join the conversation and share your ideas on how we can strengthen and support the next generation of African women leaders.
62
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Jirani mwema ni dawa ya moyo πŸ’™ Sehemu ya 5 inaonyesha jinsi uzoefu wa Umoja wa Ulaya (EU) πŸ‡ͺπŸ‡Ί unavyoweza kufungua fursa kwa vijana na wajasiriamali katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). #KidoleKimojaHakivunjiChawa
8
1
13
1,278
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
We are hiring! Are you a passionate journalist looking to make a difference through journalism? The Chanzo is looking for you. See post for more details πŸ‘‡πŸ‘‡
7
15
2,607
π‡πžπ₯π₯𝐞𝐧 π’π’π¬π²πš retweeted
Umoja wa Ulaya ni Nini? Na Nani Anafanya Nini? πŸ‡ͺπŸ‡Ί Katika sehemu ya 4, tunakuletea Taasisi Kuu 3 zinazosimamia uongozi wa EU, zote zikifanya kazi kwa demokrasia na uwajibikaji: πŸ›οΈ Bunge la Ulaya 🀝 Baraza la Mawaziri wa EU βš™οΈ Tume ya Ulaya #KidoleKimojaHakivunjiChawa
2
7
1
14
1,292