@herrykuwe (@herrykuwe) header
@herrykuwe (@herrykuwe) profile picture

SAVANT ;-Qur’an & Sunnah

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2011
Hongera kwa Algeria kwa ushindi wa jana
15
Leo itabidi Tume I standardize Now way. Leo ni both teams to score
23
Nchi imepoteza ladha.
18
Replying to @TBoundBuses
@TBoundBuses Bro Tazama Faras ilivyokuwa juzi
1
1
3
157
CCM hawapo serious Yaani Eng Hersi,Arafat Hadj, Mpina na wengine hawana sifa though Levo na Shilole wanafaa kuwa sehem ya kuamua mustakabli wa Nchi yetu sio?
34
Tundu Antipas Lissu ni Mtu mkweli.
20
EID MUBAARAKA TAKABALALLAH MINNA WAMNKUM
40
Replying to @realDonaldTrump
@realDonaldTrump Mr. President, how is it that you accuse the leaders of South Africa of seizing land from white people, yet within less than 72 hours, you openly declare your intention to seize Palestinian land? Would I be wrong to call you a selfish person?
6
Nilijiandikisha kupata NID mwaka 2019 nimekuja kupata wiki hii jumanne yaani miaka Sita ( 5) baadae. Nilijiandikisha kupata hati ya kusafiria na ilinichukua miaka Miwili tena baada ya kulipa 270k mwaka 2018. How dare mgeni apate Uraia kirahisi namna hii CCM hawana wivu na Tz
42
Replying to @CrownMediaEN
@CrownMediaEN Ajilini watu werevu wenye kuijua kazi na mipaka yake
7
Replying to @LatraTZ
@LatraTZ Habari? Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Naomba kuwafikishia maombi & Ushauri kwenye, Kwakuwa kuna kushuka kidogo kwa bei ya Diesel Je mnaonaje nasi mkatushushia bei ya Nauli hasa za daladala?
5
Ukiwasoma baadhi ya wana CHADEMA humu unaona kama wanaenda hatua 10 mbele kisha wana slide rapidly to 2 steps. Au huenda Mimi ndio nimepuyanga, Ngoja tuone.
1
36
Wazee wetu @ccm_tanzania kwani waTz wamewakosea nini? Tz tuna zaid ya viwanda vya sukari 5 inakuwaje mpka tuuziwe karibu tsh 4000 kwa 1kg??? Wapi mnakwama?
28
Kulikuwa na shida gani kuwajulisha Watz alipo Mzee Mpango pindi tu walipoanza kuhoji alipo? Kwani Viongozi si viumbe kama sisi? Hawaumwi? Hawapatwi na Misiba? Hawahitaji Mapumziko? Tuliona WHITE HOUSE Biden anaenda likizo fupi ya kikatiba kimatibabu na anatoa taarifa kabla
Replying to @PaschalTemu
Sitishi, nimeelekeza tulinde uhuru wa watu
34
Replying to @Tilishosafaris_
@Tilishosafaris_ APPRECIATION TWEET. Juzi tar 25 Oct nilitoka ticket kutoka Ars-Dar kwa Gari ya saa 5:40 ECH. Ila Dogo akachelewa kufika Stand hivyo akaachwa, lkn Tilisho walikubali kumpatia Ticket ya siku iliyofuata,thou aka opt kupanda Bus lingine. But nadhan walipofika Moshi
1
1
1
303
Replying to @EmmanuelMacron
@EmmanuelMacron Ndio maana mnashambuliwa na Kunguni.
7
Ukhabithi wa watu wasiozidi 7 unagharimu maelfu
16
Tuliyoahidiwa.👇
15