
#PdmNafakaStore., NAUZA MCHELE SUPER JUMLA NA REJA REJA maharage pia unga ,mahidi. n.k karibuni sana.., /Ukijiona Unajua Kila Kitu Ujue Umechoka Kufikiria.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2018
- Tweets58.5K
- Following465
- Followers5K
- Likes297K
Pinned Tweet
#PdmNafakaStore ushindi wetu unawategemea nyie ndugu kutoka mitaa yote ya dar es salaama…. Tupo goba na mwananyamara sokoni. Piga sasa 0675708084.
Kuna wakati kila kitu kinagoma sio mapenzi sio kwenye familia sio kazi sio hela sio biashara yaan kila kitu kina goma unabaki unajiuliza nini ufanye Lakini imani nakwambia Mungu ndo kimbilio lako Huna pa kukimbilia na kulia zaidi yake Mungu…: soma wafilipi4:13 jumapili njema🙏
Sema humu pagumu sana unaweza kutulia siku ukaibuka na Jambo lako unashangaakila mtu anakujua 😂😂🙌 au hawa hawa tunaonana nao ndo huwa wanatoa code?? Makasiriko mnayatoaga wapi????
Mr.Pdm🙏 retweeted
Replying to @makumbawaleo_5n
Biashara haihusiani na boss bishara inatakiwa ijiendeshe huwezi kulipa wafanyakazi kwa hela ya mfukoni tujue kutofautisha na kama bishara haiwezi kujiendesha funga .
Katiba mpya ni muhimu sana haijalishi watawala hawapendi Vipi lakini ni muhimu sana na inatakiwa iwe lazima sasa. Na kwenye Katiba inatakiwa kuwana kipengele cha viongozi wote wa serikali watoto wao wasome shule za serikali ili kuongeza uajibikaji na hata kwenye afya n.k
Mr.Pdm🙏 retweeted
𝐇𝐄𝐋𝐋𝐎 𝐄𝐋𝐈𝐌𝐈𝐊𝐀
Mmeamkaje wadau wa jukwaa....
Karibuni sana tutakuwa nanyi kuanzia muda huu hadi saa 5 Asubuhi.
Shiriki, Jifunze, Changia mawazo na uliza maswali ukiambatanisha na hashtag #ElimikaWikiendi
Mr.Pdm🙏 retweeted
Mzee kama huyu ni wewe nisamehe popote pale nilipokuvunjia heshima kumbe mkubwa mwenzangu.
Happy birthday ankoo.
SMS yako ningekuwa najua namna yakuprint ningefanya hivo Aisee nimefarijika sana Maneno makubwa mno niliwahi kumwandikia hivo mama yangu “Pokea kidogo changu siku nyingine nitatuma kingi “🙌 alinishukuru mno mpka nilifeel furaha sana 🙏





































