3.083kMeku🍺 retweeted
Nawasalimu ila msije mkala nyama kesho
@BettKMax
@chief_mapesa
@Cowwbama
@EngJubel
@kidaftatwt2
@Thereal_taivina
@Lukala_Ngesse
ivii unamkumbuka Bonsite 😁😁
Zamani kidogo Enzi za kina Saibaba,Mohd Trans,Hood,Mombasa Raha,Akamba Coach,Ngorika,Champion,Sumry Expres,Otawwa,Super Feo,Spider Coach,Simba Mtoto.Abood Unaambiwa Ilikuwa ikipiga chini chuma moja Ikichinja,Mwezi Hauishi Zinashuka Piru 5+,Matajiri walikuwa na Michezo Sana 💔🥹
82
mtoto aliletwa home na bro anasema wake nikakahagalia masikio,kichwa,vidole n.k nikasema ngoje ninyamaze zangu baada ya siku 3 bimkubwa ananita ana niambia mbona mtoto siyo wa ukukwetu 🙌🙌 uyu mtt siyo wa fulani
Kuna mwanangu alikutana na picha tu status kila akimuangalia dogo anajiona ni yeye mtupu ikabidi amuoneshe Bi Mkubwa, akaulizwa hii picha yako ukiwa mtoto umeitoa wapi?
😁🙌🙌
75
kwa Muonekano Dada yetu unao ivo vingine baki navoo
This Post is from a suspended account. Learn more
1
92







































