Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr) header
Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr) profile picture

Husband|A father||Chelsea FC|Yanga SC|Moshi Tech Alumn| DIT Alumn|Electrical Engineer|Busses&Trucks Enthuastic|Mvuvi 😊|Retired Alcohol Master 🥃🍾🍺🍻🍹🥂 🇹🇿

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2011
Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)Photo by Eng.Mapunda Jr (@EngMapundajr)
Ndoa tamuuu bhana umeona tabasam la Mr &Mrs Engineer ❤️🥰 wakichukua nasaha mbili tatu kutoka kwa Aunt mafix hapa🤣
43
61
11
479
35,961
Eng.Mapunda Jr retweeted
a win
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
1
1
145
Eng.Mapunda Jr retweeted
Mungu alinde muunganiko wako takatifu afya na mbegu bora kila mpandapo, mpate watoto wasikivu kwa wazazi
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
1
1
256
Eng.Mapunda Jr retweeted
“He who finds a wife finds a good thing.” Mungu awabariki tena na tena.
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
1
2
82
Hongera sana kaka, Baraka za Mungu zikamiminike sana humo ndani.🔥🔥🔥 Japokuwa tulikuwa tunatamani utuadisie safari yenu jinsi mlivyokutana mpaka kuja kufanikisha hilo jambo maana wengine tunaishiaga njiani.
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
1
2
139
Eng.Mapunda Jr retweeted
Happy To Be back home . .thank @EngMapundajr kwa mualiko wa harusi yako Mungu Ailinde . Asanteni wote wanadodoma niliokutana nao karibuni sana Shinyanga. – at Shinyanga, Tanzania
1
1
2
116
Eng.Mapunda Jr retweeted
Waefeso 5:25 Good morning .
2
5
9
439
Kwa kutumia picha elezea wikiendi yako ilikuwaje?
64
33
3
247
16,679
Eng.Mapunda Jr retweeted
Nyie wengine endeleeni kusema hamuwezi deti na Wanaume wa Twitter (X)😁 Big Up sana Mshua.👊🏾
7
25
417
10,476
Eng.Mapunda Jr retweeted
Hongera sana Eng. Mapunda kwa hatua hii muhimu ya maisha. Ndoa ni safari ya upendo, uvumilivu, heshima na kujenga maisha pamoja. Mwenyezi Mungu awabariki, awaongoze na awajalie upendo wenu udumu milele. Hongera sana kwa mwanzo huu mpya wa maisha. 🙏🏽🥂
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
1
7
791
Eng.Mapunda Jr retweeted
Hongera sana @EngMapundajr Na familia yako Tunawaombea familia yenye Upendo na Amani Mwenyezi Mungu awe nguzo ya familia yenu Karibu Chamani ndugu yangu
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
2
17
1,271
Eng.Mapunda Jr retweeted
Kipara ina shine utafikiri umetoka jela😃😃 Hongera Anko👏👏
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
1
13
1,615
Eng.Mapunda Jr retweeted
Kumbe sio lazima black and white?
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
2
1
3
267
Eng.Mapunda Jr retweeted
Hongera sana boss, nyumba yenu na uzao wenu ukapate kibali mbele za Mungu.
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
5
35
2,188
Eng.Mapunda Jr retweeted
bwana role model📌
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
1
2
5
159
Eng.Mapunda Jr retweeted
Mwakani Nakulipa Hii Role Model
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
8
4
38
2,243
Blessing all over ...🙏🏿🙏🏿❤️👏
Kwa kutumia picha elezea wikiendi yako ilikuwaje?
138
114
15
997
51,780
WAMBEA TUMEDHALILIKA⚠️‼️ Za ndani zinasema aleolewa sio Capricorn ni mdogo mtu😂🙌 Mambo ni mengiiii naskia hata bwana sam mwenyewe alihudhuria harusi ya shemeji ake😹🙌
22
19
4
129
8,120
Eng.Mapunda Jr retweeted
Imeisha hiyo✅️✅️✅️✅️
4
16
207
7,653
Eng.Mapunda Jr retweeted
Hongera bro
1
1
2
226