KiriZone Tech (@kirizoneTech) header
KiriZone Tech (@kirizoneTech) profile picture

Official Kirizone X Account

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2023
Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)Photo by KiriZone Tech (@kirizoneTech)
Sema hawa Madereva wa Mabasi kuna muda vichwa vyao vinakuwaga vimewaka moto sana. Saa nane usiku upo site yako choko mmoja anakuletea nzima nzima. Yaani unakwepa basi kwenye nyasi nje ya chaki ya njano, halafu unakuta upo 140KPH. Hawa wakuda wakipata ajali wawe wanavunjika miguu
4
1
8
1,006
Zamani jamaa walikuwa wakiona picha ya hivi tu wanaanza kujiongelesha wenyewe. Sasa hivi zinakuja hata hazijulikani za nani.
11
4
2
81
3,923
Utagundua kwamba Wakurugenzi wote wakubwa na wakongwe wa mabasi Tanzania, hakuna hata mmoja anamiliki hizi G7. Beginners kwenye game pekee ndo wanaongoza kununua. Vipi tuwastue ama tuwaache?
22
8
3
133
11,756
Utakuta vijana wanaisema EPX wakati EKE imeua jiko. Michezo😀.
5
2
63
4,529
KiriZone Tech retweeted
Kilimanjaro nae ni beginner
Utagundua kwamba Wakurugenzi wote wakubwa na wakongwe wa mabasi Tanzania, hakuna hata mmoja anamiliki hizi G7. Beginners kwenye game pekee ndo wanaongoza kununua. Vipi tuwastue ama tuwaache?
2
5
257
Tunaomba mtoe hilo Guta lenu Mbalizi hapo. Linachafua mazingira🚮.
2
2
2
13
1,321
KiriZone Tech retweeted
Hawa jamaa kubadilishiwa gari ni kitu cha dk tu lazima biashara iwe ngumu kwao
Hizi stori ninazo sikia kwamba New Force Dar es salaam - Mbeya kifua kinabana ni kweli?
1
2
3
185
KiriZone Tech retweeted
Replying to @kirigitim
ni Bora wakawekeze kweny logistics especially kweny Transit goods huku wanafany biashara kichaa Tuu, 🙌 KWELI hii Dunia nilikuw sijaona mengi yaani nchi Ina mikoa 30+ wewe unafanya Kazi mikoa 4+ na Una magari Zaidi ya 50 unalalamika, happy nation gari zinapiga route 10 region+
1
2
4
141
Replying to @kirigitim
Mwanaume yupo kaz anko angu😁🇮🇷iran
2
2
4
439
KiriZone Tech retweeted
Replying to @kirigitim
Kumbe unaweza KUWA na asset na mtaji wa kukufanya KUWA Tajiri na ukaishia KUWA MASKINI wa kutupa ndo Hawa new force ni mfano mzuri yaani hii nchi Ina mikoa 30+ LAKINI Wao akili zimeganda wamekomaa nyanda za juu kusini, sijawahi ona wachina wajinga Kama Hawa,akili imeganda 🧠🧠🙌
1
2
3
147
KiriZone Tech retweeted
Replying to @kirigitim
Achomoe engine aweke za hii gari
1
2
3
300
Umenyimwa FOCO? Usiichafue kampuni yetu.
Shida pale Katarax Kuna shida ya management Kuna mtu kajipa mamlaka yote hata gari ikidondosha bolt mpka aambiwe yeye
3
4
455
KiriZone Tech retweeted
Replying to @kirigitim
Naona chungwa Leo ameweka chuma ya dar_tunduma jioni
2
2
82
Nini kinaendelea pale Katarama?
4
3
1
20
4,618
KiriZone Tech retweeted
Chuma iendeee 🫡
2
3
13
329
Ukiwa Mkurugenzi mpya wa mabasi halafu ukawa na utaratibu wa kunanunua Madereva wakongwe na wenye majina ukae ukijua tu kwamba, ipo siku watanunuliwa na wataondoka kwako. Hii hali itamtesa sana mzee wa ma EBR. Ni suala la wakati.
6
5
1
109
10,088
Wakurugenzi wengi wa Mabasi wakichukua ruti ya Dar es salaam - Mwanza kitu cha kwanza wanafanya ni kwenda Ally's Star kununua Madereva wakongwe na baadhi ya wafanyakazi. Kwa nafasi flani wanafanikiwa. Star yeye anaenda kuchukua vijana mayanki kabisa ambao hawafahamiki😀. LEVELS
5
4
1
112
7,012
KiriZone Tech retweeted
Replying to @kirigitim
Lazm ufanye branding mzee unadhani Godfirst alivyo wachukua wale saivi ka trend ina msaidia ni sawa na Katarama alivyo mchukua Machage ila mwisho wa siku ni biashara na kila mtu anacheki maslai yake
2
2
6
652
Replying to @kirigitim
Anko mna tusengenya san😇😇🥶🥶🥶 Ulipo zaliwa co razima ufiee hapo hapo
1
2
3
801
Unatumia vigezo gani kufanya hii comparison?
Jaribu siku Moja ku experience kuanzia GOOGLE PIXEL 9 PRO kwenda juu, alafu Rudi Tena uandike maneno Yako 😂. The only thing iphone Nita appreciate kwake ni uwezo wa kurekodi video kwa uang'avu mkubwa, apart from hapo, GOOGLE PIXEL 9 &10 & SAMSUNG S25 & S26 ni better phones
1
2
349