Leopard Aurelius retweeted
EU Deforestation Regulation (EUDR): Tanzania inaweza kupoteza soko la kahawa na kakao Ulaya?
1/6
Kuanzia 30 Desemba 2026, EU itaanza kutekeleza EUDR kwa makampuni makubwa na ya kati. Sheria hii inahitaji kahawa na kakao zinazoingia Ulaya zisihusishwe na ukataji wa misitu baada ya 2020. Mwaka 2023, EU ilinunua takriban 58% ya kahawa ya Tanzania. Tuko tayari?
2/6
EUDR inahitaji kujua mahali halisi mazao yalipozalishwa (farm geolocation), uhalali wa uzalishaji na historia ya matumizi ya ardhi. Hapa ndipo GIS, satellite imagery na mifumo ya traceability inapokuwa muhimu. Kahawa yenye ubora bila taarifa sahihi za chanzo inaweza kukosa soko EU.
3/6
Changamoto kubwa ipo kwa wakulima wadogo wa kahawa na kakao. Ni wangapi mashamba yao yamepimwa kwa GPS? Ni vyama vingapi vya ushirika vina taarifa za kidijitali zinazounganisha mkulima, shamba na mzigo unaouzwa nje? Bila maandalizi, gharama za kufuata EUDR zinaweza kuwa kubwa.
4/6
EUDR inaleta fursa za biashara kwa vijana wa Tanzania kwenye GIS farm mapping, remote sensing, satellite-based forest monitoring, traceability software na ushauri wa kufuata viwango vya masoko. Hizi ni huduma ambazo wakulima, AMCOS, wasindikaji na wauzaji wa mazao nje watazihitaji.
5/6
Tanzania inahitaji mfumo wa kitaifa unaounganisha taarifa za wakulima, mipaka ya mashamba, historia ya matumizi ya ardhi na biashara ya mazao. TCB, COPRA, AMCOS na sekta binafsi washirikiane kupunguza gharama za ukusanyaji wa taarifa na kulinda ushindani wa mazao yetu kwenye soko la EU.
6/6
EUDR ni suala la biashara ya kimataifa, teknolojia na sera za kilimo. Tusisubiri mizigo ya kahawa au kakao ikataliwe ndipo tuanze maandalizi. Tanzania inapaswa kuwekeza sasa kwenye farm mapping, traceability na uthibitishaji wa uzalishaji unaozingatia sheria.
Leopard Aurelius retweeted
We need pension funds to offer mid-term / interim benefits to allow people finance plans / invest / build ahead of retirement. Given life expectancy and other factors, it doesn’t make sense to wait for 55 / 60.
Masikhara
Khabib Nurmagomedov challenged an actual goat to a headbutting contest and eventually had to give up.
Readers added context they thought people might want to know
this is AI (a deepfake / face-swap).
The original real video is from around 2022 and features Bare Knuckle Fighting Championship (BKFC) fighter Lorenzo Hunt (“The Juggernaut”) headbutting a goat named Poncho/Pancho in an outdoor setting.
Link to original video
calfkicker.com/video-bkfc-cha…
1
50
No meetings when emails or calls will do
- No meetings before 11am.
- No meetings when emails or calls will do.
- Don’t schedule calls, text coordinate them on the fly when possible.
-Cram all meetings into two days a week.
- 1-on-1s are usually 30-minute walking meetings.
(Meetings are the death of productivity)
@naval
1
34



























