C H É N Y Á N G (@mancaster06) header
C H É N Y Á N G (@mancaster06) profile picture

2026 will be WINS and GREATNESS Inshallah

Marrakesh Medina, Morocco
Joined December 2019
Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)
C H É N Y Á N G retweeted
19
1
66
678
C H É N Y Á N G retweeted
Hata katika nyakati ngumu kama hizi, Mungu atabaki kuwa Mungu. Tuna uchungu tele vifuani na tunaomba sana atusaidie tusikufuru!🙏
17
109
3
505
8,950
Faza Tundu Lissu tuko pamoja. Estamos Juntos #FreeTunduLissu
18
54
862
C H É N Y Á N G retweeted
Hata kama sio leo ila ipo Siku Danu za wote zilizopotea October 29 2025 zitapata Haki….Endeleeni Kupumzika kwa Amani Mashujaa.💔🕊️
19
115
2
296
4,821
Sasa huyo tomboy ana akili gani?
Juzi nilimuelewa sana Da Conso alisema watu wengi wanaobully watu na watu zao wakaribu wako ivyo ivyo wako na insecurities 🤣🤣...@DadaConso
4
3
25
3,115
C H É N Y Á N G retweeted
Bro to Bro Kuna siku utalia kimya kimya, ukajiuliza kama kweli maisha yako yatabadilika. Utafika mahali utaona kama kila unachopigania hakina maana. Lakini usiache leo ikufanye ukate tamaa na kesho yako. Endelea kupambana hata ukiwa umechoka. Endelea kuamini hata ukiwa huoni njia. Endelea kusimama hata kama hakuna anayekusimamia. Mungu anaona kila machozi uliyoficha, kila usiku uliovumilia na kila juhudi ambayo hakuna aliyeiona. Na siku yako ikifika, utatazama nyuma na kusema: “Sasa nimeelewa kwa nini nililazimika kupitia yote hayo.”
2
14
57
1,254
C H É N Y Á N G retweeted
Mosttimes you’re not lazy. You’re just tired of trying without seeing results. But this is the part nobody talks about. You can spend months sending proposals, applying, posting, learning and getting ignored. Finally you get a response and a job. Your current results are not always a reflection of where you’re going.
28
37
6
293
8,470
C H É N Y Á N G retweeted
Kuna mtu walimjibu na hii video na hakukata Rb 😂😂
17
27
3
180
42,446
C H É N Y Á N G retweeted
Kuzoa taka tena
17
6
4
24
4,536
C H É N Y Á N G retweeted
#FreeLissu 📍Mahakama kuu
11
38
7
441
23,596
C H É N Y Á N G retweeted
use this tweet as an excuse to post a mirror selfie
27
28
15
257
45,383
C H É N Y Á N G retweeted
11-08-2026, Dar Es Salaam. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa 16 wa Jamhuri, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Amin Mahamba aliyeanza naye jana: Lissu: -Shahidi habari yako ulilala vizuri? Shahiri: Salama Ahsante Lissu: Sasa jana nilikua nakupitisha kwenye maelezo yako uliyotoa kizimbani naomba leo ukijibu utoe sauti kikakamavu kama askari anayeweza kuendesha gwaride. Lissu: Waeleze majaji kama mwaka 2014 uliteuliwa kuwa OCCID Kyela waeleze majaji kama ipo? Shahidi: Hayapo Lissu: Waelezema majaji kama (maelezo ya) ulifanya kazi Kyela kama OCCID kwa miaka miwili na baadae ukahamishiwa Ruvuma Shahidi: Hayapo Lissu: Na ulikuwa RCO wa mkoa wa ruvuma kwa miaka mitano Shahidi - Hayapo Lissu: January 2023 ulihamishiwa Dar kama Naibu ZCO kanda maalumu waeleze majaji kama hayo maelezo yapo Shahidi: Hayapo Lissu: Ukiwa Deputy ZCO ulikua unasinamia wapelelezi wote wa Kanda maalumu Shahidi: Hayapo Lissu: Kama RCO Kinondoni ulikuwa mkuu wa wapelelezi wote wa mkoa wa kipolisi Kinondoni waambie majaji kama hayo maelezo yapo Shahidi: Hayapo Lissu: Mwezi Mei 2024 ukahamishwa na kupelekwa kwenye kitengo X ambapo upo mpaka leo waeleze majaji kama ipo kwenye maelezo yako Shahidi - Hayapo Lissu: Sasa shahidi kwenye ushahidi wako wa jana ulisema hivi tarehe 8/04/2025 nikiwa ofisini kwangu masaa ya mchana nilipigiwa simu na mkuu wangu wa kazi DCP Nganzi kwenye ofisi za ZCO Dar es Salaam, ili kwenda kuratibu na kusimamia upelelezi dhidi ya mtuhumiwa Tundu Lissu, waeleze majaji kama hayo maelezo yapo kwenye maelezo yako kilelezo namba D15 Shahidi: Yapo Lissu: Waeleze majaji kama kuna sehemu inamhusu mtuhumiwa Tundu lissu Shahidi: Yapo Lissu: Isome tena , Lissu anamsomea tena Na anamuuliza: Je kwenye maneno uliyasema jana kuna majina Tundu Lissu Shahidi: Yapo Lissu: Je una akili timamu bwana afande? kuna jina Tundu Lissu Shahidi: Yapo Lissu: Ndio maana nasema unajifanya mjanja huna lolote afande mpelelezi mbobevu Lissu: Ulisema jana ulipofika ulipoitwa uliona jalada mezani ambalo lilimtaja mtuhumiwa Tundu Lissu Shahidi: Yapo Lissu: Kwenye karatasi yapo Shahidi: Hayapo INAENDELEA...........
11
121
1
485
23,484
C H É N Y Á N G retweeted
Nimepitia mambo mengi magumu, nimeumia na nimeanguka mara nyingi lakini sikuwahi kutumia maumivu yangu kama sababu ya kuwa mtu mbaya nilichagua kupona, kujijenga na kuwa bora.
13
1
42
1,125
C H É N Y Á N G retweeted
🙏Thanks Lord. I have finished my 4 years of studies at University. ~ Computer Engineering and Information Technology No more next semester. Lord is Great My Class 🔥🫳
14
4
1
21
323
C H É N Y Á N G retweeted
“Mejitomba tena, Sijitombi tena Walah” 😂
102
37
5
759
48,746
C H É N Y Á N G retweeted
Koti na suruali njoo ni 170k✅ ☎️0746712192 Tupo msimbazi B DDC
8
15
792
C H É N Y Á N G retweeted
Replying to @_sirsaline
They should stop making joint ventures between themselves. If you are a doctor look for someone in accounts and finance, look for someone in Human Resources, look for someone in IT, look for someone in law. Then pool your resources together.
3
2
8
544
C H É N Y Á N G retweeted
6
18
247
C H É N Y Á N G retweeted
Nimepata taarifa hivi punde kwamba David Jumbe ametekwa muda mfupi uliopita katika eneo la nyumbani kwake, Mabwepande.
13
124
541
5,759
C H É N Y Á N G retweeted
You're too extra,you the birthday plus one 🤍🥳
30
26
11
168
4,045