Mayfirsty (@mayfirsty) header
Mayfirsty (@mayfirsty) profile picture

procurement by professional. political analyst, business development consultant, critical thinker and the rest.

Salalah, Oman
Joined July 2015
Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)Photo by Mayfirsty (@mayfirsty)
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
157
431
41
1,840
85,176
Naona biashara ya kwenda ikulu imepata maana mpya. Kama 'chama' chako hakijapata kura mahali propose mtajidaije wawakilishi. Wawakilishi wa nani? Bila shaka wajilishi
18
75
3
434
11,611
โšก๏ธNEW: Thousands of Iranians have completed their Military Training in Tehran as part of a new Mobilization Program involving 1,000 Battalions (1 Million Soldiers)
364
2,857
102
17,590
717,984
BREAKING: The US struck a military related site in Sirik, southern Iran
28
269
11
1,256
52,081
The beautiful of Islam โ˜ช๏ธ โค๏ธ Allahu akbar โ˜๏ธ โ™ฅ๏ธ
46
490
4
6,940
53,728
Law is about facts, evidence and the proper application of established legal principles, not personal beliefs, assumptions or opinions. A court that determines cases based on what it believes rather than what has been established through evidence and due process is a misguided court. Justice must be founded on facts, not beliefs. Tafsiri ya Kiswahili: Sheria inahusu ukweli, ushahidi na matumizi sahihi ya misingi ya kisheria, siyo imani binafsi, hisia au dhana za mtu. Mahakama inayoamua mashauri kwa kuongozwa na kile inachokiamini badala ya kile kilichothibitishwa kwa ushahidi na kufuata taratibu za kisheria, ni Mahakama iliyopotea katika misingi ya haki. Haki lazima ijengwe juu ya ukweli, siyo imani.
11
206
2
630
12,563
Mayfirsty retweeted
๐ŸšจEXCLUSIVE Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma โ€œHukumu waliyopewaโ€. Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.๐Ÿ™Œ Repost 200 #FreeTunduLissu
11
248
1
1,016
36,701
Mayfirsty retweeted
Tumia dakika 1:30 kumskiliza #bonnyyai hakika #chadema ni imara
2
60
3
310
11,144
Mayfirsty retweeted
#free tundu lissu
6
99
2
791
12,353
Mayfirsty retweeted
Dodoma ni mji mzuri sana na unakua kwa kasi lakini hauendani na kasi ya upandaji wa miti. Mji una jua kali, hauna vivuli. Ningekua mimi nina mamlaka makubwa ningeagiza kila mtaa, viongozi wake wasimamie kila nyumba wawe na miti 2 ya kuisimamia mpaka ikue. Ingekua ni lazima !!
30
18
4
253
10,546
Kwa muda mrefu sasa maisha ya Pascal Mayalla yamekuwa kitandani kufuatia ajali aliyopata huko Zanzibar na kuvunjika mguu. Aliwekewa chuma lakini kimekatika na kutengeneza jeraha jipya kwa ndani. Pascal yupo kwenye hatari ya kupata saratani ya mfupa. Lakini tuna nafasi ya kumsaidia Pascal aweze kusimama tena. M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
69
1
114
3,131

34
275
20
646
75,955
ALLAHU AKBAR! Imagine, on the day of Judgement and your hands are giving witness to Allah that you REPOSTED QURAN recitation. ๐Ÿฅนโค๏ธ
158
2,137
14
8,533
85,707
Congratulations, comrade @TunduALissu, for defeating the trumped-up treason charges. The conviction for โ€œincitementโ€ is meant to give tyrant @SuluhuSamia a pyrrhic solace. Today is a triumph of fearlessness, focus and the truth over the culture of impunity and institutional lies. The struggle continues. Telling the truth is a revolutionary act. #SocialismIsTheSolution #RevolutionNow
13
229
6
1,092
51,916
MSIOGOPE! ๐Ÿ”ฅโœŠ๐Ÿฝ Narudia MSIOGOPE! Mungu wetu ni mwema sana na ni mweza yote! Mengine baadaye! #FreeTwahaMwaipaya
10
167
7
713
16,569
Mpaka sasa bado hatujafanikiwa kumpata Twaha Mwaipaya, hatujui watekaji wamempeleka wapi tuendelee kumuomba Mungu na kumpazia sauti huenda sauti zetu zikasaidia akapatikana #FreeTwahaMwaipaya
4
133
4
390
6,676
Mayfirsty retweeted
The @LindaMwananchi_ statement on the abduction of Tanzanian activist Twaha Mwaipaya .
182
2,912
47
7,995
154,702