mido (@midoy8_) header
mido (@midoy8_) profile picture
Joined April 2021
Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)Photo by mido (@midoy8_)
Ukioa mwanamke mzuri utaishi kwa wasiwasi muda wote kama vile unatafutwa na jeshi la polisi tanzania kwa kesi ya uchochezi
1
2
4
99
Hatukuwepo kipindi unaoa mke mzuri mkuu we wacha wahuni wajipigie.
2
9
16
287
mido retweeted
Wake up and talk to God. Train yourself to start a day with a Prayer.
26
84
288
4,647
Kosa pesa Watu wajue tabia ya Mke wako 📌
2
3
11
233
Ukiona Mtu anaongea barabarani pekeake Usimuone chizi kakosea kuoa 🙄📌
3
7
1
22
416
Day 18/100 Ya Kukukumbusha Kuiweka Biashara Yako Mtandaoni. Usione Wengine Wanapata Wateja Mtandaoni Halafu Uanze Kusema Wana Bahati. Wengine Wamejifunza Kutumia Platform Hizo Vizuri.
5
20
306
Duuh Wakenya nao jau kishenzi 💔🙌
5
21
35
1,027
Huyu jamaa anakitu huyu🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Nyarugusu imetoa kitu
2
10
166
Hatua yako kubwa si kuwazidi wengine kwa kasi, bali uwezo wako wa kuiona hatari kabla hawajaiona na kuiepuka na kuwaacha wao waendelee kuuvagaa mkenge 🤔 .
1
13
15
136
Kama mzazi wako anakubagua kwa kuzingatia vipato vya watoto wenzako tayari huyo ni adui yako kuwa naye makini sana
1
3
8
151
mido retweeted
Hatuwezi kuishi bila kukopa ila tujitahidi sana kuepukana na pepo la madeni linarudisha nyuma maendeleo
1
6
14
193
Hatuwezi kuishi bila kukopa ila tujitahidi sana kuepukana na pepo la madeni linarudisha nyuma maendeleo
1
6
14
193
Mtu akikosea kuoa amekosea Maisha na Mtu akipatia kuoa ameyapatia Maisha 📌
1
6
144
mido retweeted
Replying to @midoy8_
🙏🏿
1
1
13
Furaha haitegemei vitu gani unamiliki bali ni jinsi gani unavyoishi katika mazingira husika
1
3
9
147
“Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.” Isa 40:8 SUV
1
15
22
364
Unaweza kuwa na kipato kizuri tu lakini bado ukaishia kua maskini kwa sababu ya tabia zako za kupenda kufanya matumizi ya gharama 🤔 .
1
11
21
484
Huwezi kuwa tajiri kwa kuwa mwalimu wa shule ya msingi au secondary labda kama wewe ni mwizi.
36
47
119
2,529
Hivi hata kama huyu naeeeee anauitaji wa katiba mpya ?
2
5
179
mido retweeted
hustle zetu zikajipe.
5
7
15
226