Pinned Tweet
Assalam Alaikum warahmatullahi wabarakatuh ikw'an.
Karibuni twende Umrah na ziara ndani ya Makkah na Madinah tarehe 16/12/2026 kupitia Taasisi yetu MZADA MAKKAH & MADINAH SAFARIS kwa gharama nafuu kabisa 5,350,000/=
Lipia kabla ya tarehe 15/10/2026.
Nipigie 0753594683
Good morning from #MZADAFreightCoLtd dealing with Clearing and forwarding
#MZADAMakkahAndMadinahSafaris dealing with Hajj and Umrah service
#MZADARecruitmentAgency dealing with recruitment service
🤖 Made with AI
FURSA YA AJIRA
Kampuni ya #MZADARecruitmentAgency ambayo ni wakala wa ajira mwenye leseni namBA 041/2026, tunahitaji wanawake/wasichana wa kufanya kazi za ndani (Maids) nchini Oman.
SIFA:-
1. Mwenye umri baina ya miaka 20-35
2. Mwenye afya njema
3. Anayejua kusoma na kuandika.
4. Mwenye hati ya kusafiria na mzoefu anapewa kipaumbele.
Kwa muhitaji, tuma taarifa zako kupitia whatsapp namba +255 753 594 683
Mteja wetu Mr. Mkaula wa Mtwara Manispaa.
Mwaka 2023 tuliagiza gari lake Toyota Premio, alikuja kuifata akiwa na wadogo zake wawili na dereva.
Mwaka 2026 tumeagiza tena gari lake Toyota Ractis na amekuja kulifuata akiwa na wadogo zake walewale wawili.
Hili ni deni kubwa sana ametuachia hakika kwa kuendelea kutuamini♥️
This time katubebea na zawadi ya Korosho za wajomba 😋
Hatuwez mlipa bali kumwombea Kwa Allah Kila jema.
Je? Wajua kuwa Kwa gharama ya $6,200 sawa na 16,616,000/# unafanya ibada ya Hijah mwaka 2027?
Karibu kwetu #MZADAMakkahAndMadinahSafaris tukuhudumie
0753594683
Honda Freeds from #MZADAFREIGHTCOLTD to Livingston, Zambia.
Tugari fulani economic kwa matumizi ya familia na tax.
Tupigie 0753594683
Mwasibage?
Kwa udhamini wa #MZADAFREIGHTCOLTD (wakala wa forodha na usafirishaji)
#MZADAMakkahAndMadinahSafaris (Wakala wa Hijah na Umrah)
#MZADARecruitmentAgency (Wakala wa ajira za kimataifa)
Tupigie 0753594683
Honda Fit Hybrid from #MZADAFREIGHTCOLTD to Livingston, Zambia
Kyerwa kuzuri.
Kwa udhamini wa:
#MZADA MAKKAH & MADINAH SAFARIS
#MZADAFREIGHTCOLTD
#MZADARECRUITMENTAGENCY
"Sema: Tembeeni katika ardhi na tazameni jinsi alivyo anzisha uumbaji; kisha Mwenyezi Mungu ndiye anaye umba umbo la baadaye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya kila kitu."
Quran 29:20
Powered by #MZADAMakkahAndMadinnahSafaris
Nawashukuru sana wadau wote kwa msaada wenu katika tangazo langu hili.
Nimepata wafugaji wa Pwani hususun Kisarawe, Arusha, Manyara, Tabora, Lindi, Geita, Simiyu, Mara na Dar es Salaam.
Nimepata mawasiliano ya wafugaji wa kutosha ambao Kwa uwezo wa mola tutafanya biashara hii
Naombaa kupata mtu ambaye anaweza nipatia mbuzi 500 had 1,000 kila mwezi ajili ya Export kwenda Dubai na Saudia
Sifa:
1. Mbuzi dume TU
2. Mbuzi wa Tanzania TU
3. Uzito: awe na kilo 7 had 9 baada ya kuchinja na kuondoa utumbo
Kama unaye nipigie 0753594683.
Biashara endelevu
Ijumaa yenye kuleta tabasamu na uponyaji Kwa wagonjwa, shibe kwa wenye njaa, uhuru Kwa wafungwa, na Utajiri Kwa maskin.
NB: Hujachelewa kuweka booking yako ya Umrah tarehe 10-12-2026 kupitia #MZADA MAKKAH & MADINAH SAFARIS kwa gharama ya $2,000 (5,360,000/=).
Tupigie 0753594683
Karibu sana twende Umrah na ziara katika maeneo matakatifu Makkah na Madinah tarehe 10/12/2026 Kwa gharama nafuu sana.
Gharama zetu ni Kwa watu wazima na wanafunzi pia.
Mzoeshe mwanao ibada angali mdogo .
Tupigie 0753594683







































