
student in PSPA udsm activist public figure #istandWithAssad😃😃
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2018
- Tweets79
- Following89
- Followers43
- Likes1.4K
Kareem Kitemwe retweeted
Xenophobia is generally defined as the deep dislike of the non nationals by nationals of a recipient state.This definition is used by the South African human right commission(SAHRC). Racism and xenophobia support each other and they share prejudiced discourse s.
I real appreciate these regions (Lindi and Mtwara). I wish one day i ill work on behalf of them. I feel i have responsibility upon these regions. I love you all, mungu ibariki Tanzania ila kwa upendo wa pekee mungu ibariki Lindi na Mtwara @Nnauye_Nape @MtwaraVolunteer
Mwenyezi Mungu hakunyimi kila kitu! Mkoa wa Lindi umekuwa wa Kwanza kitaifa matokeo ya kidato cha sita. Na kati ya wanafunzi kumi bora kitaifa mmoja katoka jimbo la Mtama, Shule ya Sekondari Nyangao!
1
Let us shake our hands together.
Is the sense of togetherness.
Kwenye maendeleo acha mbali
kabila lako
Dini yako ichochee maendeleo, tupilia mbali
Itikadi ya chama chako.
Taifa kwanza🤔 let us be together,
@MarekaMalili
@HakiElimu
@ChangeTanzania
@Tanfootball
Tunatamani tuwe elimu yenye kukidhi kiwango cha teknolojia kwani tunahuruma na pesa ya serikali ambayo inawekeza katika elimu ambayo mwisho wa siku haitonufaika na uwekezaji wake coz kuna majority unemployed, mbaya zaidi hawakuwezeshwa kuwa na creativity safi. @TSNP_Wanafunzi
Watoto wa shule ya msingi leo wakiulizwa jina la waziri yoyote wa tanzania wanatakiwa waambatanishe jibu lao na tarehe husika😂😂 isije mwalimu amechelewa kusahisha akapata ❌ mtoto wa watu🤣🤣 @babbiekabae @HakiElimu @azamtvtz @SamSasali @meena_ally @MarekaMalili @IdrisSultan
Kareem Kitemwe retweeted
Msijaribu wala kufikiria kumuumiza/kumuua @ChademaMdude.Mwachieni huru mara moja na kama amewakosea mpelekeni Mahakamani sio kwenye mateso kama mlivyofanya 2016,nani kawaambia nguvu zenu zina uwezo wa kucheza na damu za watu?na nyie mkaishi kwa amani.Damu ni sauti isiyo choka.
Kareem Kitemwe retweeted
Leo sote tuwe @ChademaMdude kama Watanzania wenye utu
Wachache miongoni mwetu wameamua kuvua utu wao ili kutumikia dhulma na mateso ya binadamu wenzao. But that is not who we are 🇹🇿
Andika tweet moja au angalau RT tweet iliyokugusa yenye hashtag #BringBackMdudeAlive #Tanzania
Wakati tunasema wanaume wote roll madali wetu ni wewe mzee, we unatuacha. 🤔 May Allah Grant you next seat you deserve @babbiekabae @DrMabula @Eric_Bernard94 @masoudkipanya @MarekaMalili
1
Atakayelalamika kuchaniwa mkeka na man united, itabidi tumwadhibu vikali sana😂😂😂 @MarekaMalili @shafiidauda @zittokabwe
1
Kwani hawa wabunge wanadhani wanayoyafanya bungeni tumewatuma sisi kweli,🤔 kwani wabunge si wawakilishi wa wananchi mbona wanatutia aibu sana kiasi hiki😂😂.@KumbushoDawson @AbdulNondo2 @MarekaMalili @fatma_karume @MariaSTsehai
Kareem Kitemwe retweeted
Salute kwa msanii @IdrisSultan .. msanii anayejitambua
Ye anasimamia usimamizi wa fedha za umma kupitia mifumo na utaratibu uliopo kikatiba
Kwa hiyo kasimama na CAG
Kaweka sahihi
Wewe kama bado nenda hapa
changetanzania.org/petitions…
#IStandWithCAG
Mi with sir. Richard S. Mabala the farmer in #TujadiliElimuYetu day @MabalaMakengeza @TSNP_Wanafunzi @HakiElimu
3
It was very wonderful day with @TSNP_Wanafunzi in king palace hotel.
5
Kareem Kitemwe retweeted
1.Akili kubwa
2.Elimu kubwa
3.Misimamo kama yote
4.Imani kubwa
Wewe sio mwalimu lakini amini umetufundisha kitu kikubwa kusimamia unachokiamini hata kama gharama yake inaweza kua uhai na maisha yetu
I salute to u.
"Kama round about ndio suluhisho la foleni ubungo mataa, basi ellimu yetu inahitaji round round about"😁 sir. Richard Mabala @MabalaMakengeza @TSNP_Wanafunzi @HakiElimu
Mfumo wa elimu ambao hauna creativity kwa mwanafunzi ambapo mfumo huo unapelekea vijana kuwa memory card ya scholars waliopita, kubebeshwa theory kama Archimedes principle na nyingne ambazo hazionekan kuwa na msaada kwa kijana wa leo kutokana na mfumo @TSNP_Wanafunzi @HakiElimu
Kupanua shule ni A, na kupanua elimu ni B, TSNP ina lengo la kupanua elimu kwa kuleta mfumo rafiki kwa maendeleo ya ubunifu na uchambuzi kama lengo la elimu, kwa kijana kuanzia elimu ya childhood mpaka level ya juu ya elimu. @TSNP_Wanafunzi @HakiElimu @MarekaMalili
Lengo la elimu ni kusaidia UCHAMBUZI na UBUNIFU by S.Richard Mabala @MabalaMakengeza @RichardMabala @TSNP_Wanafunzi @hellenito_sisya @malekeladavid @HakiElimu
Kuna haja ya kujadili elimu yetu mara kwa mara kwani elimu ya Tanzania ya miaka 50 iliyopita haifanani na ile elimu ya leo🇹🇿👍 #TujadiliElimuYetu @babbiekabae @Sabatho7 @HakiElimu @masoudkipanya @MarekaMalili @malekeladavid @hellenito_sisya @AbdulNondo2 @IssaShivji


















