Dar es Salaam Yetu retweeted
Tanzania Catholic Bishops are up in arms to sabotage and crucify โฆ@SuluhuSamiaโฉ. Her biggest mistake? Being a MUSLIM! The world is watching. Everything will eventually come to light.
Dar es Salaam Yetu retweeted
Picha ya pamoja kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri awamu ya sita.
Wastaafu - Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa nchi ofisi maalum ya Rais.
Wapo wateule wa nafasi kumi maalum za Mhe. Rais
Waliobaki ni Mawaziri wateule Wabunge wa majimbo ambao watakwenda kugombea na wengine watasubiri fadhila ya Uteuzi wa nafasi 10 za Rais.
Amri Jeshi mkuu ndiye mmiliki wa Mfumo taarifa zote za kiuchumi, kiusalama na kiulinzi zipo katika mikono yake!
Mama ndiye mmiliki wa data zote, tayari ameandika mchoro wake Kati ya hawa nani atakuwa nani na wapi kwenye baraza lijalo.
Tuna miezi mitatu ya Kampeni ya nguvu nchi nzima ambayo kiufupi imekwisha malizika kwasasa! Kuna waliopo upande wa pili wanaomba namba katika nafasi kumi za Rais inategemea na utashi wake.
Rais Samia ameweza kutimiza kwa asilimia 100 miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake. Kazi ameifanya kwa usahihi nchi kutoka Pato la bilion 67 usd hadi dola bilioni 89 usd ndani ya miaka miwili na utalii kuwa chanzo cha mapato ya Fedha za kigeni.
Rais Samia she is not loudest kabisa kufoka si tabia yake ni Silent master wa Game of Power- always huwa anasema speak less than you know - talk less, Watch more Mara zot mtu anazungumza huwa anatake notes watu wa kimya aina ya Samia si udhaifu ni Power.
Awamu ya pili Mama anakwenda kuandika Legacy tayari kwenye ilani yamebainishwa - she always stay focused anachofanya ni kucontorol matokeo si kelele anashinda wakati wengi wanapiga kelele!
Kubwa zaidi Ndani ya siku 100 za utawala wa Samia baada ya kuapishwa, nchi inakwenda kupata katiba mpya, katiba mpya ambayo sheria nyingine zote zinafutwa au kubadilishwa.
Ilani ya CCM imejaa maelezo kuhusu mabadiliko katika sekta ya kilimo, maji, madini, sheria, miundombinu, umeme, afya na Uchumi
Rais Samia anakwenda kubadili katiba, hafanyi cosmetics reform tu za uchaguzi, wanazozitaka chadema anawapa zawadi ya Katiba mpya.
Nakudokeza tuna mradi wa trilioni 70 LNG kutoka Lindi kuna waliotaka kupiga kwa kutuharakisha tusaini Mama hakuingi kwenye desperation ya trilioni 70 aliangalia Outcome - Watanzania watafaidikaje Sheria zimeandikwa upya na terms za kuinufaisha nchi
Balance sheet ya nchi yetu inakwenda kufanya bragging kubwa sana Afrika - Mashariki Tanzania ๐น๐ฟ inainuka as East Africa Economic Power House.
Kwaherini waheshimiwa viongozi ni wakati wa Mama kuunda Serikali Mpya isiyohitaji kelele - Mama anakwenda kuwa na Serikali ya karne kizazi cha dhahabu.
Dar es Salaam Yetu retweeted
WANAWAKE WANA JAMBO LAO
.
Anaandika #AMM
.
Si kwamba atachaguliwa kwa sababu ni mwanamke, hapaaana, ila usijisaulishe kwamba wanawake wana ajenda yao, ambayo pia ni ajenda ya Taifa zima. Kuwa na mwanamke wa kwanza kuwa Rais kupitia sanduku la kura, ni ndoto tuliyowahi kuota
Dar es Salaam Yetu retweeted
Replying to @KenyanSays
Dar es Salaam Yetu retweeted
Uzuri wa Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka, popote anafiti. Watu wa dini wanasema "ana kibali" na hii hutokea kwa baadhi ya watu kukubalika.
Kushirikiana na wananchi wa rika zote kinajenga umoja na uaminifu kwa uongozi wake na Mamlaka iliyomteua.
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Dar es Salaam Yetu retweeted
#Kazioendelee
#Oktoba29Tunatoka โ
๏ธ
Uzuri wa Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka, popote anafiti. Watu wa dini wanasema "ana kibali" na hii hutokea kwa baadhi ya watu kukubalika.
Kushirikiana na wananchi wa rika zote kinajenga umoja na uaminifu kwa uongozi wake na Mamlaka iliyomteua.
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mgombe Ubunge kupitia CCM Jimbo la Arusha Mjini PAUL MAKONDA alipoenda Ferry Dsm kuwasalimia wananchi katika soko la samaki. Huyu ni kiongozi anayependa na kujali wananchi, wananchi wana matarajio makubwa sana kutoka kwa MAKONDA.
Kazi na Utu, Tunasonga mbele


































