Founder - intOgroup Creative & Safaris

+255
Joined January 2013
Haicost chochote kumsalimia mlinzi/ mfanya usafi na kumuaga kwa kumwambia asante, pale unapoenda ofisi yoyote. hujui tu vile hujisikia amani pale unapojali uwepo wake.
37
244
23
929
😂😂😂
Nishawahi date hawa wasichana wa spiritual psychosis sasa huyu element yake ilikuwanga chumvi bwana,tulikuwa tunaamka asubuhi the first thing tunafanya ni kusprinkle chumvi kwa hewa tukizipea intention zetu, after that tunakunywa maji ya chumvi for breakfast 🥲, adi maji ya kuoga ilikuwa lazima tuweke chumvi eihh chumvi yenye ilikuwa inamaliza 5 years kwangu tulikuwa tunamaliza na siku mbili, alafu sasa tukienda out ilikuwa lazima tutembee na chumvi kwa mfuko Ati Tunattract goodluck🥲mzae wake alimtafutia scholarship Switzerland nikapumua🥲🥲
117
❤️!!
11
24
11
205
11,995
Mkurugenzi Mkuu wa @officialtcaa , Dkt. Jabiri Bakari, amewahimiza watumishi wa Mamlaka hiyo kufanya kazi kwa bidii, kuzingatia maadili na kuhakikisha wananchi na wadau wanapata huduma bora na kwa wakati. #UsafiriWaAnga | #TCAATanzania
3
14
16
637
Tuseme nini sisi hatuna Shashamani 😂
Same people walio sifia sajili za Yanga same people wamegeuka leo! Walahi tabia za kimalaya hizo😹
2
12
640
Masikini Yanga A.K.A utopolo na Mechi za Makundi Ligi ya Mabingwa Africa nazo zimekaribia….. Mankoba kaja kuwatapeli vibaya😀
3
29
654
Mnakuja?
22
27
13
253
26,620
Unajikuta umewaweka group moja
Pale Insta hii sehemu inahitaji umakini sana 😃 Unaeza ukajikuta siku nzima unatoa Maelezo tu.
1
1
348
Simba na Yanga washindwe wao sasa kunyanyua Ligi ya Mabingwa Africa Msimu huu
12
2
3
18
15,627
Kumbe mchongo ulikuwa Ushaonekana Bhas number itakuwa ndogo sana ya waliopata madhara
Few minutes before the building collapsed in Eastleigh today💔
1
1
419
Philip retweeted
3
9
2
66
1,549
😀😀😀
Me being a faithful husband during my wife’s pregnancy.
2
334
Fanya mazoezi kula vizuri hayo mambo ya kula kula mavitu sijui yanasaidia nini ni mtatizo , kila kitu kipo kwenye chakula kama utakula sahihi
“Jamani nawasihi vijana wanaopenda kutunisha misuli wasitumie steroids Zina madhara makubwa sana …….huyu mwenzetu Kafa………..” Comment section: Uwii nilinunua creatine,na whey hata sijatumia bado ngoja nizimwage
3
1
13
1,000
Masikini hawakumkuta DjFetty Redioni na Freestyle Battle zake, Zilla, PopMD, Niki, Dibo…..
Gen Z hawakushuhudia prime ya Nikki, Stereo na One Incredible. Nawaonea sana huruma wadogo zangu😂😂😂😂
5
2
30
1,419
Another 365.25 days around the sun , gone!.. Am grateful !! Thanks for ya birthday wishes!.... Sasa sio tu MTU WA MAKAMO, bali niite JITU LA MTUMBA!..😀😎 🙏✌️ #BirthDay #NakapanyaStyle – at Giza, Egypt
7
4
1
13
480
😂😂
Kulikoni kwa mwimbaji Paschal Cassian, aliyefahamika kwa muziki wa Injili, baada ya kutoa ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Instagram akitangaza kutotaka tena mazoea na urafiki na waimbaji wa nyimbo za Injili, huku akieleza uamuzi wake wa kuwa karibu na marafiki anaowaita wa kidunia? Cassian, kupitia akaunti yake ya Instagram ya *paschal_cassian_official*, ameweka wazi kuwa hataki tena mijadala inayohusu maamuzi yake binafsi, akiwataka walokole, watakatifu na wachungaji kuheshimu msimamo wake na kuacha kumfuatilia kwa nia ya kumhubiria au kumhukumu. Katika ujumbe huo, mwimbaji huyo amesema kinachomshangaza ni baadhi ya walokole, watakatifu na wachungaji kuanza kumshambulia kwa sababu ya maamuzi yake binafsi, akisisitiza kuwa hajawaomba watu hao wamshauri kuhusu maisha yake. “Nimetangaza mwenyewe kwamba sitaki tena mazoea, urafiki na waimbaji wa nyimbo za Injili. Kwa sasa nimeamua kuwa karibu na marafiki zangu wa kidunia, masera, wapagani na watu ninaojiona ninafanana nao,” ameandika Cassian. Ameongeza kuwa hajaitisha kikao cha maombi wala kuwaomba watu wamshauri kuhusu maamuzi yake, akieleza kuwa iwapo amepotea au amekosea, hilo ni suala lake binafsi na hataki mijadala ya Biblia kwenye ukurasa wake kwa sasa. Kauli hiyo imeibua maswali kuhusu mabadiliko yanayoweza kuwa yametokea katika maisha ya mwimbaji huyo, ambaye amekuwa akihusishwa na muziki wa Injili. Hata hivyo, ujumbe wake haujaeleza sababu mahususi zilizomfanya afikie uamuzi huo wala kama ameachana rasmi na imani ya Kikristo. Cassian pia amemtaja mtu anayemwita Nagwa kuwa miongoni mwa marafiki anaowahitaji katika kipindi hiki, akisema anataka kuwa nao, kuzungumza nao na kuendelea na maisha yake bila kulazimishwa kuishi kwa matarajio ya watu wengine. “Walokole, nawaomba mheshimu maamuzi yangu kama ambavyo nimeheshimu nafasi yenu kwa miaka mingi. Sijawaita kwenye page yangu kuja kunihubiria wala kunihukumu,” ameandika. Katika sehemu nyingine ya ujumbe huo, Cassian amesema hana ugomvi na mtu yeyote, lakini hataki tena watu wanaowahusisha na maisha ya kidini kumkaribia kwa lengo la kumshawishi abadili msimamo wake. Kauli hiyo inakuja huku kukiwa na maswali kuhusu mwenendo wake wa sasa, ikiwemo video inayodaiwa kuonyesha akivuta sigara, jambo ambalo linaweza kuwashangaza baadhi ya mashabiki waliomfahamu kupitia muziki wa Injili. Hata hivyo, video hiyo na ujumbe wake vinapaswa kutazamwa kama mambo tofauti, bila kuhitimisha moja kwa moja kuwa ameachana na imani yake. Kwa sasa, swali linalobaki ni nini hasa kimebadilika katika maisha ya Paschal Cassian na kama uamuzi wake ni wa kujitenga na baadhi ya watu wa dini kutokana na uzoefu aliopitia, au ni mabadiliko mapana zaidi ya mtazamo wake kuhusu maisha na imani. Mpaka sasa, katika ujumbe huo, Cassian amesisitiza zaidi haki yake ya kufanya maamuzi binafsi na kutaka yaheshimiwe, bila kueleza kwa kina sababu zilizomfanya achukue msimamo huo.
1
2
1,080
Hongera sana Masta
From Freelancing to Building SHAFANA CREATES LIMITED. After Ten years in Digital Content Creation, Photography, Social Media Management, and Strategic Communications, I’m excited to begin a new chapter by building my own Creative Company. Throughout my journey, I’ve had the privilege of working with International and Local Brands, including AS Roma FC, CAF, Freedom House, ILO, UN Women, Emwani Café, and many others. My work with AS Roma FC also demonstrated the Power of Strategic Social Media and Digital Storytelling in Football, inspiring Tanzanian Football Clubs to invest more seriously in their digital presence and follow the path I helped pioneer in football social media communication in 2019. In 2026, I established SHAFANA CREATES LIMITED, a Tanzanian Marketing, Media, Advertising, and Digital Company, turning years of experience and passion into a new Business Venture. Our Services include Photography, Videography, Event Coverage, Documentary Production, Digital Content Creation, Social Media Management, Marketing, and Brand Communication. Have a Story to tell or a Brand to grow? Let’s Create Something Impactful Together. 🌐Website: shafanacreates.com/ 📱Our Social Media Platforms: linktr.ee/shafanacreates @shafanacreates SHAFANA CREATES LIMITED — Your story, our creativity.
1
166
Unyamaa sana kaka
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
2
141
Kwa hakika, kila hatua ya maisha ina uzuri wake, na kila mmoja wetu ni sehemu ya simulizi yenye thamani kubwa. Na Mkuu wa Wilaya Mkuranga Mhe. @MwinyiAMwinyi katika majukumu.
6
6
3
88
6,403
Wahuni wako Timamu kinoma
This happened this week, not in a movie. It's the passing-out day for one of Tanzania's elite forces. Looking closely someone holding Tavor TAR-21 /Gilboa DBR Snake…
6
3
23
2,378
Huyu lazima Mtaalamu wa jadi Pia😂
What the Fuuck is going on earth 💔💔
7
3
665