Pemba Press Club (@ppctz) header
Pemba Press Club (@ppctz) profile picture

Pemba Press Club (PPC) was established in 2002 and registered under society Act. 6 of 1995 registered in January 2002 with registration number 210.

South Pemba, Tanzania
Joined June 2020
Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)Photo by Pemba Press Club (@ppctz)
Kuelekea kwenye kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, ambazo hufanyika kuanzia tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba kila mwaka, @utpc_tz inatoa mafunzo ya siku tatu ili kuwajengea uwezo jumla ya waandishi wa habari 28 kutoka katika klabu zote za waandishi Tanzania zilizo nchi nzima, juu ya kuripoti masuala ya usawa wa kijinsia. Mafunzo haya yameanza leo Novemba 23-25, 2023 mkoani Morogoro na hii ikiwa ni awamu ya pili sasa. Awamu ya kwanza ya mafunzo yalifanyika Agosti 7-8, 2023. Mafunzo haya yamedhaminiwa na ubalozi wa Sweden Tanzania. @SweAmbTZ @deo_nsokolo @KSimbaya @kennethsimbaya #siku16zakupingaukatiliwakijinsia #mediaforchange #genderequality
4
1
13
1,731
"Mahali popote kwenye uhuru wa habari ni msingi wa demokrasia": Kenneth Simbaya, ED-UTPC. #ShambuliololotekwaMwandishiwaHabarinishambuliokwaUmma
4
9
271
Pemba Press Club retweeted
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu(MB) leo Julai 22 amezindua ripoti ya utafiti uliofanywa na TAMWA kuhusu; Namna vyombo vya habari vinavyoripoti habari za #HakiZaAfyaYaUzazi #TAMWA #WomenInMediaTz #SHRH #ZuiaUkatili – at Dar es Salaam, Tanzania
9
9
15
570
TAARIFA HII HAIJATOLEWA NA UONGOZI WA UTPC, PUUZENI
1
6
12
509
Towards the 30th anniversary of #WPFD2023 here in Zanzibar. The safety of journalists is crucial to the functioning of a free & fair press. Join us for a break-out session on the safety of journalists as we exploring ways to keep them safe. @mctanzania
2
4
183
Happy Workers Day! On this day, let's acknowledge the hard work and dedication of all journalists who tirelessly bring us the news. As we celebrate, let's also remember to advocate for their fair and just payments. #JournalismMatters #FairPay #WorkersDay
3
8
174
Pemba Press Club retweeted
Kongamano kuelekea maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani limeanza leo #Zanzibar, wadau wa habari kutoka asasi na taasisi mbalimbali nchini wanakutana kujadili mstakabali wa Haki, Uhuru wa kujieleza kama kichocheo cha haki nyingine zote za binadamu.
4
11
1
33
2,202
Happening now, a video is played showing 30 years of #WPFD advancing Professionalism in TZ media. From print to digital, from broadcast to social media, this #WPFD2023_TZ we celebrate 30 years of media evolution. Let's continue to uphold the values of free and independent media
6
1
9
598
Pemba Press Club retweeted
"Kazi kubwa ya vyombo vya habari ni kuunganisha makundi yote kwenye jamii bila kujali tofauti zao na si kuchochea kutokuelewana," Ali Mbarouk, katibu @ppctz kwenye mdahalo wa @UTPCtz kuhusu uhuru wa kujieleza na maadili ya Uandishi wa habari Zanzibar. #wpfd2022
3
3
Pemba Press Club retweeted
"Habari ni kama bidhaa sokoni ambayo inahitajika kwa wananchi kufanya maamuzi ya maisha yao ya kila siku. Wandishi wana jukumu la kuifanya habari kuwa bidhaa muhimu ili iwasaidie wananchi kufanya maamuzi yao ya kila siku," Ali Mbarouk, katibu @ppctz kuelekea #wpfd2022 @UTPCtz
1
2
Pemba Press Club retweeted
Happening now at Pemba Press Club; Pemba Press Club is conducting a dialogue on FoE as part of the implementation of partnership project that aim at improving greater understanding of FoE, ATI and Media Freedom. The partnership is between IMS and UTPC.
2
6
I added a video to a @YouTube playlist youtu.be/qvQKlq9Njv4?a SAUTI YANGU MTAJI WANGU #Full Movie
1
1
M A J A D I L I A N O …….. Mkutano wa CSOs Working Group na Maofisa wa Serikali wakijadili kuhusiana na Changamoto za Sheria ya Habari na kuzitaka mamlaka husika kuifanyia marekebisho.
1
3
Kufanya ushawishi na utetezi juu ya jambo lolote kwa mwanaharakati ni jambo jema lakini lakuzingatia ni kuiacha nchi katika amani kwani sauti yangu amani yangu ndio hatma yangu Mtoa mada Ali Mbarouk Omar kwenye mafunzo ya siku2 Chakechake @ppctz @Pacsotz @Sheria_Katiba
1
4
Tuendeleeni kuilinda amani ya nchi yetu maana ndio kichecheo cha kutekeleza ahadi tulizoziweka kwa wananchi Mwakilishi Jimbo la Wingwi Kombo Mwinyi Shehe kwenye hafla ya kuwazawadia wanafunzi waliofaulu mwaka 2021 @ppctz @ACTwazalendo @SFCG_ @_zlsc @MzuriIssa @Sheria_Katiba
1
1
Kila mmoja ana malengo ya kufikia ndoto zake katika maisha popote pale alipo lakini la kuzingatia ni sauti yangu amani yangu ndio hatma yangu na Ilove nchi yangu @ppctz @UTPCtz @SFCG_ @EUinTZ @DrHmwinyi @HaroubMchanga @ccm_tanzania @MzuriIssa @GasparyCharlesG @IshakHassan12
1
3
6
Pemba Press Club retweeted
HABARI PICHA: WAKULIMA wa Mwani wabuni mbinu mpya ya uwanikaji wa Zao hilo. SOMA ZAIDI.......pembapress.club/portal/2021/…
3
3
PPC leo Oktoba 15. 2021 imezindua rasmi mradi wa sauti yangu amani yangu hatma yangu unaofadhiliwa na EU kwa thamani ya shilingi milion 26.9 utakuwa wa miezi wengine wanaoshirikiana ni SFCG na FCS @ppctz @UTPCtz @FCSTZ @HaroubMchanga
2
3
Pemba Press Club retweeted
WAAANDISHI wa habari kutoka Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) na Klabu ya Waandishi wa Habari Pemba (PPC) wakiendelea kupitia kanuni kabla ya kutoa mapendekezo yao.
Kanuni na maadili bora kwa waandishi wa habari ndio hazina ya utendaji wa kazi na kuelekea uhuru kamili wa habari. Pili Mtambalike kutoka @mctanzania akipokea maoni kwa waandishi wa habari Zanzibar @ppctz @UTPCtz @Kalukubila @Charles_Gaspary @HaroubMchanga @Wizara_HabariTZ
3
5
Bado waandishi wa habari wanawake wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kufikia malengo yao, Warda miongoni mwa wasichana waliopatiwa mafunzo na @unescodar Ipo haja wanawake kama hawa kuwaunga mkono @DrHmwinyi @ppctz @JacklineVictor5 @MediaConvergecy @TAMWA_Zanzibar
3
7