
Marketing & Advertising Designer | Visual & Brand Identity Designer | Event branding & Organizer| https://teapawt.net/t.co/S7qJXuWZhH [email protected]
Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2020
- Tweets7.5K
- Following326
- Followers1.9K
- Likes13.6K
Ranny retweeted
Usipange KUKOSA siku ya Ijumaa Tarehe 4 (Kesho kutwa).
Hii Training ni Kwa ajili ya:-
1. Muuzaji yeyote Binafsi
2. Muuzaji wa kutoka kwenye Kampuni.
Mkufunzi ni mmoja tu: Lusajo Mwaihabi.
@masoudkipanya atakuwepo katika Question & Answers Section.
Zimebaki nafasi 13 tu!!
Ranny retweeted
Welcome to the “BECOME A PRO IN SALES” Training
Are you ready to take your sales skills to the next level? This training is designed to equip you with the essential strategies and techniques to boost your sales performance and close deals like a pro!
TRAINING DETAILS:
📅 Date: Friday, April 4
📍 Location: Tanzanite Park, Victoria
⏰ Time: 10:00 AM – 4:00 PM
👨🏫 Trainer: Lusajo Mwaihabi
REGISTRATION FEES:
•Individual: TZS 50,000/- (if paid before March 30). After that, TZS 70,000/-
•Group (5+ people): TZS 230,000/- (instead of 250,000 before March 30). After that, TZS 350,000/-
📌 Payment Details:
Lipa Number (Voda): 5548136
Account Name: EB DIGITAL TECH
WHAT YOU WILL LEARN:
✅ Fundamentals & Responsibilities of a Salesperson
✅ How to Plan, Strategize & Achieve Sales Goals (KPIs)
✅ Tricks to Improve Sales Performance
✅ How to Master the Art of Closing Deals
✅ Interactive Q&A and Discussion
✅ Networking Opportunities
🚀 REGISTER NOW!
Click the link below to secure your spot:
🔗 forms.gle/HXuTtuJFGSzxGVm17
☎️ CONTACT US:-
Call/WhatsApp: +255 748 127 173
Email: [email protected]
______________________
Don’t miss out on this life-changing opportunity to become a sales expert!
Ranny retweeted
💔 Nilipata Changamoto zilizokua nje ya uwezo wangu.
Hii Artwork ilitakiwa iwe spesho kwenye #WomensDay2025, ila sikuweza.
Lakin bado ni vyema kuiweka hapa
Ranny retweeted
The Nordics in TZ Logo Design Competition is here! 🇸🇪🇫🇮🇳🇴🇩🇰🇹🇿
Design a fresh, dynamic logo representing Nordic values & collaboration in TZ & stand a chance to win 3M TZS! 🏆
📅 Deadline: 24 March
📩 Sub via: [email protected]
ℹ️more info: shorturl.at/70NQY
Ranny retweeted
Replying to @Adventure_36
Hii hapa, fuata maelekezo kwa weledi ikiwa nafasi unayo unaeza fanya kitu hapa.
Ranny retweeted
Watu wangu wa Arusha, nimepata heshima kubwa kupitia taasisi ya BENEVO kuja kuonana nanyi na kumwaga madini yanahusiana na HUDUMA KWA WATEJA.
Hii ni kutokana kampuni/Biashara nyingi kuporomoka kimauzo kwa sababu kukosa skills nzuri ya HUDUMA KWA WATEJA.
Tukutane CORRIDOR SPRING HOTEL - ARUSHA.
Kwa ada ya Tsh 139,000/- kwa mtu mmoja.
Jisajili mapema kupitia link hii
forms.gle/WtL5ELExz73z3ams8
Ranny retweeted
Huu ni mfululizo wa Nne katika program yetu ya kuwafundisha vijana wanaopenda Graphics.
@rannygraphics ametuletea Tena ile Masterclass ya Adobe Photoshop na Illustrator kwa siku 11. Kuanzia tarehe 17-28 Feb.
Nafasi zinazidi kupungua, jiandikishe kwa ada ya Tsh 100k tu.
Ranny retweeted
Social impact creative designer!
@EliasMaeda ameanza kuelewa twisheni zako.
Ranny retweeted
Hongera sana. Kazi nzuri.




























