
You will do what you do in this life and people will love you or hate you for it • DM for inquiries + IG @salminswaggz
Tanzania
Joined May 2010
- Tweets6K
- Following351
- Followers7.9K
- Likes1.7K
Kuna kipindi unakuwa busy kujenga biashara nyingine mpaka unasahau kwamba kuna mashabiki zako wanasubiri uachie mawe 😄 btw I appreciate the love.. it’s infinite!
Replying to @salminswaggz @diamondplatnumz
Ishu ya Arena ni idea nzuri sana na tunafaa kuwa na arena ya viwango vya kimataifa coz mziki unakuwa kww kasi na taifa linazidi kukua katika ramani ya Mziki Duniani.
Itapendeza kukiwaa na ARENA hapa Tanzania.
Itakuwa na Faida kubwa kwenye Industry ya BURUDANI na MICHEZO.
Salmin Swaggz retweeted
Replying to @salminswaggz @diamondplatnumz
Vijana hawajui arena ikiwepo Kuna ajira nyingi sana na biashara kuubwa na ndogo nje ya arena na kiba tukio litakalohostiwa pale ni ela nyingi watu wanapata!!
Salmin Swaggz retweeted
Replying to @salminswaggz @diamondplatnumz
Don’t Rush - Salmin Swaggz ft Naomisia 🎵
Ni mwaka wa pili sasa onrepeat hii ngoma kila siku lazima niiskilze 🔥🙌🏽 Huyu Naomisia hebu mtafute tena mfanye kitu na yule producer wa dont Rush
Nawasilisha
Binafsi najua @diamondplatnumz sio mtu wa kawaida kabisa 😄, his influence is generational and goes beyond music. Nimeangalia interview yake sijaona kibaya alichosema zaidi ya kuikumbusha tu serikali suala la Arena! Ushauri wake una nafasi ya kusikilizwa haraka kuliko wewe 🫵🏼
Salmin Swaggz retweeted
Muziki wetu ku appreciate mwengine ni dhambi kubwa mkuu
Yani mtu anaona kama anakufaidisha. They would rather claim allegiance na msanii wa nje ambaye hata hawawezi kumfikia ila sio wa nyumbani ambao ndio their greatest inspo.
Unasikiliza mziki wa rap, unakua inspired, unajifunza kurap, halafu unamdiss aliyekuinspire kurap kwa kutumia flow hio hio ambayo imekuinspire kurap 😄 man that’s 🧢
Kama circle kubwa ya watu waliokuzunguka hawawezi kukusaidia ukipata shida ndogo ndogo achana nayo. Money attracts money, and vice versa.
New Music Video: NYOTA 🎬 by @salminswaggz & @YoungLunya is Out Now. Watch it here: youtu.be/5cep6D3LQHg?si=yl8V…
3
325
Kila siku nawaambia @BoboMadeit mtu mbaya wanabisha, ona alichokifanya kwenye #NYOTA by me & @YoungLunya 🙆🏽♂️
Link: open.spotify.com/track/61XV2…
1
1
251
Ndugu zangu account yangu ya YouTube iko HACKED! Kuweni makini na information yoyote mtakayopokea kutoka kwenye email yenye jina la “Salmin Swaggz” kwa sasa sina access nayo! Bado tunafuatilia kwa karibu na watu wa cyber ili tuone namna ya kuweza kuirudisha, asante.
Hey @TeamYouTube, my YouTube account has been hacked and I need urgent help recovering it. What’s the best way to resolve this?
Salmin Swaggz retweeted
Replying to @salminswaggz
@salminswaggz YEBA is out now!!
songshare.com/track/wuo76kj5
1
124
Me and my brother @DamianSoulMusic just dropped another banger. #YEBA is such a vibe 🔥 just listen to it here - ffm.to/yeba
Salmin Swaggz retweeted
Tap In to this Amazing Project
@salminswaggz ft @DamianSoulMusic & Maddoh
Ipi reaction Yako ?!
#certifiedbang🔥💯
We saw lots of poor performances kuanzia kwenye hosting, show yenyewe except from my boys @bienaimesol na @diamondplatnumz just to name a few. And the live streaming company? OMG! Da fuck was that? Tuzo kubwa hivi wameshindwa kujiandaa watu wa Trace?










