David Secha future retweeted
Pamoja na yanayoendelea, lakini binafsi huwa napenda sana kuumiza kichwa kuhusu #Codes & #Decodes za hii nchi!!
Kuna Dots nikijaribu kuiunga inakataa!!
Inavyosemekana shida kubwa ilianza kujitokeza mwaka 2015 pale #Mpoto alipokuwa anamaliza muda wake wa kutawala.
Mpoto akataka kumpa kijiti mtu wake ili aendelee kula keki ya taifa….
IT DIDNT WORK!!
Kijiti akakichukua #Banza
Again, inasemekana Mpoto hakukubali kushindwa, akawa amebakiza karata yake moja ya mwisho……..#KIZI_M_JOB
Mpoto akachora mchoro wake, akam-set kizim-job akawa yuko kwenye box hatua 12 tayari kupiga PENALTY!!
Turudi kwa BANZA!!
Tuliona wote Banza akitamka mwenyewe kuwa yeye ndio aliona mgombea wake mwenza anafaa kuwa Kizi-mjob!!
Akamchagua✅
Dots zangu hapa ndipo zinapo-stuck,
So Mpoto alikuwa ahead of Banza?
Yani Banza hakuiona hii move kabla?
Wala hakuna mtu wa upande wa Banza aliyeiona hii akamwambia ni wrong choice?
Au ni hadithi tu za mtaani kuwa Mpoto ndio alimuweka Mama Misambano, ila ukweli sio huo!!
Pengine Banza was right kumchagua, na mama Misambano hakuwa miyeyusho at the time anachaguliwa!!
Ila tu Mpoto ndio alikuja kuingilia hii mbungi katikati na kuanza kumtumia Mama Sykes……na akawin mpaka sasa ndio ana-operate behind the scene!!
UKWELI NI UPI?
Kwako James Samweli @fbuyobe
Huduma bora ya T-shirt Embroidery
Brochures, flyers, business cards, company Profile, magazine, Roll-up stand
Karibu nikuhudumia Call us 0718 495666 or 0758 495666
72
David Secha future retweeted
If Adam was spending tym with Eve ,maybe Eve wouldn’t have talked to a snake 😂
Karibu Future Solution
Kwa mahitaji bora ya kuprint
T-shirts, brochures, flyers, company profile, Roll up stand, business Card and all promotions items
Contact us 0758 495 666 or 0718 495666
56
Karibu Future Solution kwa mahitaji ya ibroider (kudarizi) contact us 0758 495 666 or 0718 495666
1
35
Yule mwanasiasa anawaotoa kwenye focus.... msiulize juu ya justice ya SATIVA na tuanze kujadili michango.
1
33
Gogo la chooni halikanyagwi na mtu mmoja
#ElimikaWikiendi
Kwa mahitaji ya tishert ibroider (kudarizi ) karibu Future Solution Contact us 0758 495 666 or 0718 495666
54
Kama una picha za zilizovunjwa tuna weza kutengeneza nyingine kwa ubora ulele ule
Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ? Nimepoteza jumla ya Trophies 22. Nilihisi kama sehemu ya mwili wangu imemegwa. Ila maisha hayajawahi kusimama. #Hakuna
1
53
Tutafute pesa Dar es Salaam.. tukajenge mkoani
Huu mji ipo siku unaamka una kuta umezingirwa na maji kila kona.
50
Leo ndio siku nzuri ya kwenda kuangalia lile eneo ulilonunua....upate uamuzi mzuri wa kuanza na kilimo cha mpunga au ufugaji wa samaki.
2
46
Kwa ujira mdogo kupush agenda, unatukanwa matusi ya nguoni , unatukabiwa wazazi wako, una dharaulika
Kaazi kweli kweli.
1
53






