David Secha future retweeted
Pamoja na yanayoendelea, lakini binafsi huwa napenda sana kuumiza kichwa kuhusu #Codes & #Decodes za hii nchi!!
Kuna Dots nikijaribu kuiunga inakataa!!
Inavyosemekana shida kubwa ilianza kujitokeza mwaka 2015 pale #Mpoto alipokuwa anamaliza muda wake wa kutawala.
Mpoto akataka kumpa kijiti mtu wake ili aendelee kula keki ya taifa….
IT DIDNT WORK!!
Kijiti akakichukua #Banza
Again, inasemekana Mpoto hakukubali kushindwa, akawa amebakiza karata yake moja ya mwisho……..#KIZI_M_JOB
Mpoto akachora mchoro wake, akam-set kizim-job akawa yuko kwenye box hatua 12 tayari kupiga PENALTY!!
Turudi kwa BANZA!!
Tuliona wote Banza akitamka mwenyewe kuwa yeye ndio aliona mgombea wake mwenza anafaa kuwa Kizi-mjob!!
Akamchagua✅
Dots zangu hapa ndipo zinapo-stuck,
So Mpoto alikuwa ahead of Banza?
Yani Banza hakuiona hii move kabla?
Wala hakuna mtu wa upande wa Banza aliyeiona hii akamwambia ni wrong choice?
Au ni hadithi tu za mtaani kuwa Mpoto ndio alimuweka Mama Misambano, ila ukweli sio huo!!
Pengine Banza was right kumchagua, na mama Misambano hakuwa miyeyusho at the time anachaguliwa!!
Ila tu Mpoto ndio alikuja kuingilia hii mbungi katikati na kuanza kumtumia Mama Sykes……na akawin mpaka sasa ndio ana-operate behind the scene!!
UKWELI NI UPI?
Kwako James Samweli @fbuyobe
David Secha future retweeted
If Adam was spending tym with Eve ,maybe Eve wouldn’t have talked to a snake 😂
David Secha future retweeted
Hivi, Serikali ilidhamiria kuleta Huu mkataba ujadiliwe na UMMA au ilitokea bahati mbaya tu baada ya document kuvuja?🤔
David Secha future retweeted
Pls RT
Mashati makali ya ofisini yanapatikana kariakoo Dar es salaam,delivery ipo nchi nzima,size ni M-2XL,Bei ni Tsh 18,000 karibuni sana 0755736019
#MAUNYAMA
David Secha future retweeted
#MAUNYAMA
size 40-45, karibuni sana 0755736019 Mikoani tunakutumia pia ,Bei Tsh 110,000 karibuni sana,
Location Kariakoo Dar 🔥
David Secha future retweeted
Wanangu wa Arsenal 👌
BIG DISCOUNT 🔥
☎️0763514126 whatsapp
📞0782217536 Call
💰Bei 35000
✂️Size M-2XL
📌Tupo kariakoo,Raha na mhonda
Nb: Delivery sio bure ina malipo kwa mteja 🙏🏻
@McinikaWaLamar @chapo255 @sonnino123 @NiiteSonga @CarolNdosi @rollymsouth @kellenMbwambo
David Secha future retweeted
Pls RT
Bei Tsh 100,000 karibuni sana 0755736019 size 40-45,Mikoani tunakutumia pia
#MAUNYAMA
Location Kariakoo Dar
David Secha future retweeted
Nikishinda milioni 5:-
Nitanunua vifaa ambavyo vitanisaidia kwenye Shughuri zangu za Graphic Designing (Laptop & Drawing Board) na vifaa vingine husika
#SPARK8CNatamani
@fazoboya @spana_Konki @INFLUENCERjr @anuskills3 @JemsiMunisi
@TecnomobileTZ
David Secha future retweeted
Replying to @moodewji
Mimi RAJAB ABEID SINGO kijana wa miaka 28, mfugaji mdogo wa kuku wa mayai kijiji cha Mtakuja wilaya ya Muheza, Tanga. Banda langu la kienyeji, umeme natumia solar. Ninazo changamoto za vyombo vya kuwalisha kuku pamoja na chakula chao cha kutosha. Ninaomba sapoti kwa hali na mali.
David Secha future retweeted
NATAFUTA KAZI YOYOTE.
Elimu: Chuo Kikuu
Ujuzi: Kuelimisha, Masoko Mtandaoni, Utafiti, Kuendesha gari n.k
Mshahara Maelewano 🙏🏾
David Secha future retweeted
Lomayani/Namayani ni maneno ya Kimaasai yenye maana " BARAKA "
'wewe ni vile unavyoamini uko'
T-shirts zinapatikana kwa bei ya shilingi 20,000/=
Mawasiliano - 0785 954192 0742680212 0767898229
ama DM.
David Secha future retweeted
FLOWER BEADED BRACELET
ZIPO
Frame 1&2 10,000/=
Frame 3&4 15,000/=
Karibuni
#DadaAfrica
location KIMARA BARUTI
Call/whatsup
0683084746
David Secha future retweeted
If you see this tweet please help #retweet. It will help us increase Donations by 3x.
Providing solutions that improve and save people’s lives is what @noobites_Inc we do everyday.
Click here to see more about our efforts and support us: noobites.com/donate
David Secha future retweeted
Hizi ni tablets za wi-fi tu, zinapatikana kwa tsh 150,000 tu zimebaki pcs chache tu, offer yake ilishaisha bei imerud kawaida
📞0686333222
Tunapatikana Kunduchi Dar es salaam
Mikoani tunatuma
Delivery ipo
David Secha future retweeted
Ukibarikiwa kiuchumi na ukajaliwa kusimama vizuri, wakumbuke na wajali ndugu zako uliozaliwa nao. Usione fahari wao wakunyenyekee ili uwasaidie kila wakati. Kama unaweza, wasaidie wajitegemee wenyewe. Usitake kusimama peke yako kwenye familia. Mungu amekuinua ili uwainue wenzako.


















































