Editha retweeted
"Mtu hachekwi kwa mambo matatu.
1. Ugonjwa
2. Kifo
3. Balaa lililompata."
Good morning X Familia 👊🏾
Editha retweeted
Unaoa mchaga baadae uanze kulalamika hakuheshimu?
Wanaume acheni ujinga, oa mchaga at your own risks.
Editha retweeted
Sio kwa ubaya wala kudharau imani za watu ila uislamu umejaa uongo mwingi na unafiki.
Siwezi kuwa muislamu kabisa ni bora niwe mpagani.
Editha retweeted
Kwa wale wanaotaka kujenga apartment na Bnb, Hii hapa 2 Bedroom itakufaa sana
1. 2 Self Bedroom
2. Sitting room
3. Kitchen
Bati 67,
Block 2500
Ramani na na yapo NDILOLE DESIGN
👇👇👇👇
wa.me/c/255746122023
Editha retweeted
Ukiweza kuwa si kitu ni rahisi kuwa kila kitu ...
Na ukiweza kuwa kila kitu ,ni rahisi kujiunganisha na kila kitu...
Ili sio tukio la siku moja ,ni mchakato piah...
Kila jambo huenda hatua kwa hatua piah....
Editha retweeted
“Mtafuteni BWANA maadamu anapatikana, mwiteni maadamu yu karibu.”
#Isaya 55:6
Shalom mtu wa Mungu! Usiahirishe kumtafuta Bwana. Leo ni nafasi ya kumkaribia. Nakuombea moyo ulio tayari kusikia na kutii!
Editha retweeted
“Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu.
”
— Zaburi 61:1 (Biblia Takatifu)
Editha retweeted
I hope and pray that everything works out for you, that the pain you feel will leave, any stress or uncertainty will melt away and everything that you strive for will fall into place.
Have a Great and Blessed Friday 🫶💝
Editha retweeted
ANKO
"Hapo Uliposimama Kuna Mtu Anapataka.
Hicho Ulichokishika Kuna mtu Anakihitaji.
Jifunze kuthamini Kila Ulichonacho.
Editha retweeted
It's awkward how poor people hate on each other and feel painful even if someone got even a little,even reaching a point of bewitching each other.
Life is a chain reaction,if I get something then the society will gain more than me.
We have to change our perspective.
Good morning
Editha retweeted
Kadri muda unavyopita, tunagundua kwamba mambo mengi tuliyoyapa uzito mkubwa yalikuwa ya muda tu, shukuru kwa kila jambo.
Editha retweeted
Nina wateja wangu wawili,mmoja mwalimu,mmoja nesi
mwaka huu walipata zawadi za ufanyakazi bora, mwalimu alipewa zawadi ya fedha kidogo sana,na huyu nesi alipewa zawadi ya fedha nyingi mara nne ya zawadi aliyopewa mwalimu.
Tatizo ni nini kwa wajuzi wa mambo?
Editha retweeted
Ili iishi vizuri sanaaa ishi maisha ya kawaida ishi sawa na wengine hata kama hao wengine upo juu yao kwa baadhi ya vitu
Maisha yetu huku mtaani hayahitaji wajivuni sanaaaa
Editha retweeted
Umuhimu wa walimu unaonekana kipindi hiki cha likizo,
Mitaa imejaa watoto kelele kila kona,wengine wanacheza michezo ya hatari sana hata wakikatazwa hawasikii.






















