** Van ** retweeted
Manchester United are the 2012/13 Barclays Premier League champions! #mufc
** Van ** retweeted
This is your mood every night thinking about how to make it in life. May today be the day that struggle ends.
** Van ** retweeted
Masturbation weakens your aura
bad luck will follow you after each masturbation session
Your aura determines the quality of your life.
Miaka 30 ya BongoFlava na Mimi nipo, kama Shabiki, kama Dj, kama Event Manager/Organizer, kama Mtoa Mchongo Kwa Djs, Artists na Dancers.
#Celeb2026
20
** Van ** retweeted
Am very very happy kuona ndugu zangu Songa na Nikk Mbishi ndio wanamfanyia back vocal Profesa Jay...Its a real definition of hip hop, we love you Jay✌️..haters gonna hate but we move on
** Van ** retweeted
Sawa umeamka na afya Ila una uhakika utaingiza chochote leo?
Ongea na Mungu kwa siri atakuwekea wepesi.
** Van ** retweeted
Jitahidi Usali kabla hujalala, Mshukuru Mwenyezi Mungu na Muombe Mwenyezi Mungu Ulinzi.
** Van ** retweeted
KATAA DHARAU - Unaweza kuishi bila kazi ya Serikali,una umri wa kutetea principle kuliko chakula. Kwanza kwa umri wako ni lazima utakuwa na masharti ya kula.Kwa hiyo mboga za majani na matango huwezi shindwa.Mtazame Jenerali Ulimwengu/Prof Assad.
** Van ** retweeted
Wanangu, kama hatujapata maradhi kwenye utoto wetu, sioni haja ya kujiangamiza ukubwani..
Kuna mstari mwembamba kati ya urijali na kupoteza dira..
We ukiwapendea sura, Mungu atakukumbusha kuwa hajamaliza kuwaumba.
Shule nzuri ni ile tunayojipa wenyewe wanangu.
** Van ** retweeted
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.
Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.
Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna atakaefunika jambo hili bila uwajibikaji.
Msimamo wa Mwenyekiti uko thabiti, Yuko imara na mwenye afya njema.



















