Replying to @AlexSamoja
Anakuambia watu wanapiga supu...yeye anaulizwa tukuletee chai?...anawaambia nishakunywa nyumbani
1
1
37
Replying to @MiriamMkanaka
Usitegemee hata sku moja mwanaume akakuambia changamoto zake...inachukuliwa kama kufeli na mda mwengine mnatumia kama silaha baadae...utakuta mtu kajiinamia hapo...ukimuuliza jibu ni...."NIKO POWA"
76
