Yosouph retweeted
Jezi ya michezo ya nyumbani msimu wa 2025/26.
AFIKI x MTIBWA SUGAR SC
Jezi ya nyumbani imesanifiwa kwa mistari ya kijani na nyeupe, ikikumbusha jezi ya Mtibwa Sugar ya msimu wa 2015/16. Safari hii, mistari hiyo imepewa muundo wa kipekee鈥攊kiandika neno MTIBWA.
Yosouph retweeted
Replying to @yosouph2 @GillsaInt
Hii kawayda kaka muhimu ujue njia ya kutoboa hapo inayofanya kazi kwako馃槄馃槄
Yosouph retweeted
Replying to @mukibrands @jaliluzaid
Kuna packages mzee nitumie ujumbe whatsApp nikutumie pdf yake
Yosouph retweeted
Replying to @yosouph2
Dah sijajua kaiandaa vp ila kwa mtu aliyegobea pande hizi haimchukui masaa mengi kutoa artworks
Yosouph retweeted
Nafasi ni 10 kwa hii session ya february. Jisajili sasa kuchukua nafasi yako mapema.
Yosouph retweeted
Taarifa.
Sasa unaweza kufanya malipo ya awali kama maelekezo yanavyoonesha, ukishafanya malipo nitumie ujumbe wa muamala uliorudi kwako na E-mail yako kwenda katka namba yangu ya Whatsapp, Album itatumwa kwa Waliofanya malipo ya awali 10.01.2025.
MUZIKI WA SPUNDA
2025.
Yosouph retweeted
Nilisikia tangazo moja kuhusu sijui nini na katikati ya hilo tangazo nikalisikia jina la #MrishoMpoto nadhani wamekuja huku
Yosouph retweeted
ZIARA YA MISTARI NA UJUMBE.
2024.
Mshabiki na Mkereketwa wa harakati nazozifanya, Naomba mchango wako ili kufanikisha Ziara hii yenye lengo chanya la kusambaza ujumbe wenye maadili mema kwa jamii kupitia Utamaduni wetu wa HIP HOP.
Yosouph retweeted
Edo huwa anakuaga na mawazo ya kipekee sana, wengine wote wapo kwenye ticket yeye kakumbusha usalama! A living legend for a reason.
Yosouph retweeted
Replying to @Iamfelixtz
Mwanetu kipa mzuri sana Sema Ile kujifanya Bruce Lee ilimgharimu sana aisee maisha yake yote yalibadilika since Ile mechi
Yosouph retweeted
After a well-deserved holiday, we are ready to start a new season. We are attacking this season with a lot of ambitions. May Allah, the Most High, bless us and grant us the strength to fight to the end.

























