๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz) profile picture
Joined July 2021
Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)Photo by ๐–…๐–Š๐–‰ (@zed_ogtz)
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Ukiulizwa Zed ni mtu wa aina gani utajibuje?
6
6
17
313
Ukiulizwa Zed ni mtu wa aina gani utajibuje?
6
6
17
313
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Sijakanyaga kanisani mudaโ€ฆ
5
18
2
24
695
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Yani uwe bonge alafu uwe na akili sio kweli
mtu Akifariki ujue Mungu karuhusu Na kila kifo lazima kiwe na sababu ndio maana mnaweza pata ajali wengi wakafa wawili, Wengine ajali kama hiyo hiyo asife ata mmoja, Wanafumaniwa wengi wanao kufa wachache, Kwenye majanga amfi wote wanakufa baadhi. Kila kifo Mungu Karuhusu.
1
1
2
102
Tweet kama hizi zinakuja kipindi ambacho najiandaa kwenda Faragha๐Ÿšฎ
Wewe endelea tu kubadilisha wanawake kuna siku utaelewa kwanini hawaweki mziki hospitalini ๐Ÿฅ
1
2
133
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Mungu ni mwema, Kila Wakati ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ
Mpaka sasa maisha yamekufundisha nini?
1
3
4
87
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Replying to @zed_ogtz
Yamenifunza kuwa NIJIFUNZE kusimama peke yangu maana WATU/VITU huja na kuondoka, hakuna atakayebaki na mimi MILELE.
1
1
13
#TajiriLaKihaya Ni kweli, Mwakimi amewahi kunitafuta DM mara Nyingi saana zaidi ya Mara 100+, toka Mar,2024. Tumechat saana na kusaidiana katika mambo mbalimbali zaidi ya mara 20. Though hatujawahi kukutana wala kuonana! Hata hivyo, kuhusu kinachoendelea sasa, sina sababu ya kutoa hukumu wala kushangazwa na chochote. Kwangu mimi, kutoa msaada ni suala la nia na moyo wa mtu. Hata kama mtu alikuwa anadanganya au hakusema ukweli wote, hilo halibadilishi ukweli kwamba wakati ule kulikuwa na nia ya kusaidia. Mimi naamini Mungu humlipa kila mtu kwa nia yake na kile kilichokuwa moyoni mwake wakati akifanya jambo fulani. Wakati mwingine tunafanya mema kwa watu ambao huenda hawakuwa waaminifu kwetu, lakini hilo lisitufanye tujute kwa wema tulioufanya. Maisha yana mengi ya kujifunza. Si kila mtu tunayemsaidia atakuwa vile tulivyomtarajia, na si kila jambo linalotokea linahitaji hasira, majuto au kelele za mitandaoni. Mimi nalichukulia hili kama sehemu ya maisha. Sina cha kushangaa wala cha kuhuzunika. Nia njema haipotezi thamani yake kwa sababu ya matokeo yasiyotarajiwa.
Replying to @EsirEid
Tajiri swala la mwakimi hujataka kulitolea tamko hujaguswa ama namna gani?๐Ÿ˜
33
31
2
137
14,312
Mwakimi namba mbili ๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
Kuna mradi nimeuona humu ni joined March 2025, una strategies nzuri sana za kiutapeli ,soon tutapokea vilio Tukae radar wazee ๐Ÿ˜
4
8
19
701
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Upo sahih ankali
Nikireply kwenye tweet yako alafu ukajibu wengine yangu ukaiacha nafuta reply aseiv sitaki kujichoresha Mwisho wa mwaka huu๐Ÿ˜
1
4
887
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Gustavo it's Friday๐Ÿป๐Ÿบ
6
10
19
431
Mbona Kama Mzenji hatokei Unguja๐Ÿค”
Hapa kuna usalama kweli๐Ÿค”
2
1
4
238
Nikireply kwenye tweet yako alafu ukajibu wengine yangu ukaiacha nafuta reply aseiv sitaki kujichoresha Mwisho wa mwaka huu๐Ÿ˜
15
16
1
35
1,553
Maisha rahisi , Buku tatu tu ๐Ÿ˜‹
20
35
2
71
2,184
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sawa๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Mademu wa bongo jau๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
4
4
82
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Kutoka kulala pamoja hadi kutokuongeleshana kabisaa ๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚ Kweli kwenye mapenzi kumejaa unafiki tupu.
15
24
81
2,085
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
New balance hawana mpinzani kwenye miguu yao, wamenyooka sana aloo ๐Ÿ™Œ
Wajuzi wa mambo Hamjambo?
8
18
1
41
1,333
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Unapost wewe then unajiuliza maswali mwenyewe?
10
17
44
2,180
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Kwenye Mapenzi hamtakiwi wote muwe Smart๐Ÿ˜ Mmoja inabidi awe kama mtoto ili mfike mbali.
4
13
23
428
๐–…๐–Š๐–‰ retweeted
Pesa ina nguvu mno tuendelee kuitafuta
Mpaka sasa maisha yamekufundisha nini?
2
2
6
293