ππ¨ retweeted
Leo Man u tunaanza ligi kwa kumkanda Chelsea alafu kama kawaida yetu chini ya goal 3 haushangilii
ππ¨ retweeted
Sidharau wazee ila tabia ya kumwambia mtu akatafute maisha sehemu hajawahi hata kufika wewe mwenyewe hujawahi kufika mnatesa watoto
ππ¨ retweeted
Kuna watu ningewataja Sema italeta shida π₯±
JE, WAJUA?
Matusi na unyanyasaji mtandaoni vinaweza kuwa na madhara halisi katika maisha ya mtu. Uhuru wa kujieleza haupaswi kutumika kama sababu ya kumdhalilisha mwingine.
Kabla ya kuandika comment, jiulize: Je, ningekuwa tayari kusema haya uso kwa uso?
#ElimikaWikiendi



































