Vijana walio fanikiwa wapo mikoa mingi, lakini huwezi linganisha kwa idadi na Dar… mfano, taja kijana aliyefanikiwa kibiashara huko mikoani, sawa na Vunjabei, Dominic, Majizo, Jacqueline wa Kitambaa, Niffer, Frank Knows etc…
This quoted post is unavailable.
7
That’s what I thought 🚮
Btw mshahara.co hatujacopy levels.fyi coz kuna a lot of platform zinaoffer same services mf salaryindex.ng hata indeed.com.
And if you check our platform we offer more than salary index plus we did our best to ensure we have more localized data to which hakuna any local company offer so.
We also have a HR/Company side which it works like a recruitment platform (still in dev).
29
Cheki maskini wanavopanga matumizi ya hela za wenzao! 😂😂😂😂 msisahau ku-vote for Jihan 😂😂😂
Mimi hoja yangu ni kuwa tunaangalia sana upande wa burudani na kusahau upande wa uchumi.
Hata tukisema Rwanda atawekeza dola 500 kwenye maandalizi ya kimiundombinu, F1 hata ifanye vizuri kiasi gani haiwezi ku-inject zaidi ya dola milioni 50 kila mwaka. Kwa hiyo ku-recover dola 500 (na tuombe isiwe zaidi ya hiyo) kutachukua miaka 10.
Kwa nchi ndogo kama Rwanda, dola milioni 500 ingeweza kufanya mageuzi makubwa sana kwenye nchi, ikiwa ingetumika moja kwa moja mfano kwenye kuweka lami nchi nzima, ingeweza kabisa kufanya mageuzi ya kilimo nchi nzima na kuneemesha wakulima, ingepunguza mno deni la nchi, ingeweza pia kupunguza deficit. So I am unsure kwanini tunaweka mpunga mrefu sana kwenye PR wakati kuna mapambano makubwa kwenye inflation, kwenye conditions of living and so much more
38
Watanzania mnapenda sifa za kijinga sana… 😂😂😂
Marekani: Mtanzania achaguliwa kuwa Rais wa Wanafunzi wa Elimu ya juu ya Uzamili na Uzamivu Chuo Kikuu cha Georgia
Mtanzania anayesoma Shahada ya Uzamivu (PhD) katika masuala ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Georgia Nchini Marekani, Nichesius Godwin, amechaguliwa kuwa Rais wa wanafunzi wa ngazi za uzamili na uzamivu (Masters, PhD na EdD) kupitia mtandao wa LEAP Graduate Student Network.
1
115
Soooo true 😂😂😂
Software engineers are the happiest people on Earth now.
They pay $100/month for Claude Code to do the work.
Their employer pays them $10,000/month for the results.
$9,900 profit for sipping coffee and talking to AI.
The funniest part?
Not a single dev with a full-time job will ever admit this publicly
What a time to be alive.
57
Watanzania bana 😂😂😂
TTCL ndio wenye mkongo wa Taifa.
TTCL wanawauzia Voda, Tigo , Airtel, Halotel na wengine wote Internet.
Voda, Tigo, Airtel na Halotel wanawauzia wananchi mawasialiano na internet wanatengeneza faida ya kutisha.
TTCL mwenye mkongo, wafanyakazi wa umma, magari ya umma , Ruzuku nk.
TTCL anaewauzia hao wote internet apate hasara ya bilioni zaidi ya 700..
Na wananchi wapo kimya tu!!!!
36
😂😂😂 na hizi fedha mtazirudisha wananchi… mtake msitake 😂😂😂
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) ilipata hasara ya TZS bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la asilimia 108, na kufikisha jumla ya hasara ya TZS bilioni 748 tangu ianzishwe.
24
It’s not pride… it’s about ownership and control and appreciation. When I build something valuable and someone takes it for granted, I stop supporting it until the business crumbles… we need to appreciate the people who build things
Developers, tuachane na ‘nimebuild kila kitu from scratch’ kwasababu hiyo ni ego tu. Dunia imebadilika. Kwa AI & agentic systems, coding ni commodity tu. Real power iko kwenye distribution, product-market fit, scalability & user adoption. Build for impact, not pride.
18




















