Beno🌴 (@BMushison) header
Beno🌴 (@BMushison) profile picture

“Phone accessories 📱 | Chargers, earphones, covers | Bei nafuu | DM

Iringa, Tanzania
Joined February 2023
Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)Photo by Beno🌴 (@BMushison)
Good morning watu wa Mungu🙏 Karibuni ofisini kujipatia fan yakufukuza el nino😎 Iringa Town 📍
9
30
2
37
692
Ndoto ya kila beki tatu ni kumiliki hili tambo, hapa huwaambi kitu atatumia hata miezi kumi kutunza hela anunue.
2
4
11
240
Naomba Repost 🙏❤ ⌚Casio Tsh.35000 ☎0752777167
2
13
16
286
Usipoteze muda kutaka kufuta makosa yako ya mwanzo, Chukua kama lesson Nyayo ziinuke.👊
3
7
9
101
Taita
I am going to stand for the Presidency of this country after Mzee. No one will stop me. I place my hope in Almighty God and my fellow countrymen and countrywomen.
1
20
BRO TO BRO Kabla hujaoa ni lazima utambue kuwa ndoa sio mapenzi. Bali ndoa ni kwaajili ya watoto na heshima ndani ya familia. Hizi ndizo sababu za kuwepo kwa ndoa. Dear Men, Hakikisha huingii kwenye ndoa kwa ajili ya mwili wala matamanio yako.
6
12
28
742
Yani Rwanda 🇷🇼 na Uganda 🇺🇬 unapewa MB nyingi na haziiishi Tanzania🇹🇿tunashidwa nini @VodacomTanzania @airtel_tanzania @Haloteltz mnashidwa nini au wakubwa wananufaika hukobkwenu
12
5
1
24
1,560
Beno🌴 retweeted
hizi tshirt zimerudi tena mliokuwa mmekosa bei 13000 ujanja kuwahi whattsapp 0622754484 delivery ipo mikoani na Dar unalipia
2
11
12
200
Beno🌴 retweeted
Watembeaji hapa ni wapi?
2
2
13
168
Beno🌴 retweeted
YANGA wamemsajili FADLU DAVIS kama kocha mkuu kwa kutumia CV yake akiwa simba Mana alivyoenda Raja hakuna cha maana alifanya zaidi ya kutimuliwa Fadlu si kocha mbaya lakini jambo linalopaswa kutambulika ni kwamba, Fadlu ni maskini mkubwa wa mbinu hasa anapocheza na timu kubwa Na ndio maana hata alivyokua simba hakuna big match ya maana alioshinda hata dabi ilimshinda Fadlu alifika fainali ya kombe la shirikisho kwa kuafunga sfersien,aĺ masry stellaboch etc na alivyokutana na timu kubwa Rs barkane kila mtu aliona Any way Ligi ya mabingwa baran afrika inakuja
10
17
1
47
2,857
Beno🌴 retweeted
Hisense soundbar HS3100 480w 400,000 free delivery 0625965198
12
16
252
Bado nipo taarifa hizi zipuuzwe😂💔🚮🙌
22
12
83
1,638
Kabla ya kuanza mradi wako ujenzi, hakikisha umepata kibali cha ujenzi na kuandaa nyaraka zote zinazohitajika. @GeoConstructors @Geo_Traverse GeoTraverse Group of Companies, tunakusaidia kurahisisha mchakato mzima kwa kukupatia huduma za: ✅ Ushauri kuhusu mahitaji ya kibali cha ujenzi. ✅ Uandaaji wa michoro ya majengo (Architectural Designs). ✅ Uandaaji wa nyaraka zinazohitajika. ✅ Uwasilishaji na ufuatiliaji wa maombi ya kibali hadi kipatikane. Tunajali muda na gharama zako, ndiyo maana tunakuhudumia kwa weledi na gharama nafuu. Unahitaji msaada wa kupata kibali cha ujenzi? Wasiliana nasi leo! 📞 0763 782 274 / 0719 336 667 (WhatsApp) 🌐 geotraversegroup.com GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES Building Better Futures Together. #GeoTraverse #KibaliChaUjenzi #UjenziTanzania #ArchitecturalDesigns
3
23
2
21
1,161
Hivi hawa wadada wa Somali hapa bongo wanapatikana wapi
3
5
8
310
Beno🌴 retweeted
Mguu wa kutokea December huu😍 Size 41-44 95,000 Call/WhatsApp 0622494383 Please RT
3
3
94
Beno🌴 retweeted
Zama zikipita, muda ukiondoka, haurudi, Sadio amekubali hadi kupunguza mshahara abaki Al Nassr lakini wamemla kichwa💔, hawamtaki kabisaaa.
5
7
29
904
Beno🌴 retweeted
Una mtumia pesa aje, anakwambia hela imekatwa na songesha😂😂😂😂 Likizo iishe tu niende kazini 😂😂😂
12
18
30
414
Beno🌴 retweeted
Watu wa Twita budget ya kiasi gani inatosha kwenda hululu waterfalls for hiking 🌚🌚budget ya mtanzania wa kawaida apo Dezemba
2
5
164
Beno🌴 retweeted
wewe jiulize tu, maisha yao yatakuwaje bila wewe!!.. kisha utagundua, watakula, wataenjoy na kuishi as if hukuwahi kuwepo, hivyo jipende, jijali na kufurahia maisha yako,..
7
20
61
769
Beno🌴 retweeted
X ina warembo wengi sana lakini hapa unaondoka na nani? 🤔 A. B.
28
22
9
63
6,753
Tunatengeneza PICHA MBAO, KIOO FRAMES Nitumie PICHA yako DM/WhatsApp, ☎️ 0677523114. A4 | 10,000/= A3 | 20,000/= A2 | 45,000/= A1 | 90,000/= Tunapatikana, 📍DSM👉 kigambon. Call/Whatsapp 📞0677523114. Tunafanya delivery mikoa yote kwa amani 📍 Repost
STAINLESS STEELS ORIGINAL ENGRAVING Tuna print Neno,Logo. Price: 35k ⏳ Hutunza: 📌 Baridi kwa masaa 12–24 📌Joto kwa masaa 7–12 📌Ice (barafu) 2 days 🎨 Rangi zote zipo. 🚚 Delivery ndani ya Dar ipo, na mikoani. 📞 Piga: 0677 523 114 💬 Tuma message WhatsApp Repost 🙏
10
11
678