Pinned Tweet
It is perfectly acceptable to take a day off and cut all contact with the outside world to reset yourself.
Hatimaye ni rasmi! Tarehe 21 Novemba tunaandika historia pale Katoro. Vijana wa Geita tumekuwa tukisubiri jukwaa kama hili kwa muda mrefu. Tuje wote, tusikose, tuchangamke na tuijenge kesho yetu kwa pamoja. #ChimboLaVijana #BataLenyeFaida
"Chimbo la vijana Brunch, Asanteni sana kwa kuichagua Geita"
Ni rasmi sasa kuwa Chimbo la Vijana event itafanyika tarehe 21 mwezi wa 11 kwenye viwanja vya CCM katoro.
#ChimboLaVijana #BataLenyeFaida
5
Bedui retweeted
"Chimbo la vijana Brunch, Asanteni sana kwa kuichagua Geita"
Ni rasmi sasa kuwa Chimbo la Vijana event itafanyika tarehe 21 mwezi wa 11 kwenye viwanja vya CCM katoro.
#ChimboLaVijana #BataLenyeFaida
Bedui retweeted
📍MAKAMU WA RAIS AWABANA VIONGOZI SONGEA: BILIONI 3 ZA SOKO LA MANZESE ZAIBUA MASWALI MAZITO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewataka viongozi wanaosimamia miradi ya maendeleo kuacha kubembelezana na wakandarasi wanaoshindwa⤵️
Bedui retweeted
MAKAMU WA RAIS AWABANA VIONGOZI SONGEA: BILIONI 3 ZA SOKO LA MANZESE ZAIBUA MASWALI MAZITO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewataka viongozi wanaosimamia miradi ya maendeleo kuacha kubembelezana na wakandarasi wanaoshindwa kutimiza wajibu wao, akionesha kukerwa na ucheleweshaji wa ujenzi wa Soko la Manzese A na B, mjini Songea.
Mradi huo, ambao mkataba wake ulianza mwaka 2025 kwa kipindi cha miezi 18 na ulitarajiwa kukamilika Septemba 2026, umechelewa licha ya mkandarasi kulipwa shilingi bilioni 3 kama malipo ya awali.
Akizungumza na wananchi wa Songea, wakati wa ziara yake mkoani Ruvuma, Makamu wa Rais amembana kwa maswali Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Muhoja, akitaka kufahamu sababu za mkandarasi huyo kuongezewa muda wa utekelezaji hadi Machi 2027, wakati tayari imebainika kuwa anakabiliwa na udhaifu wa usimamizi na upungufu wa vifaa vya kazi.
“Hebu tubadilike! Tuwe accountable na fedha za umma. High-level meeting inakusaidia nini?” amehoji Ndejembi, akipinga utaratibu wa viongozi kuendelea kufanya vikao vya kumbembeleza mkandarasi badala ya kuchukua hatua zinazohakikisha mradi unakamilika kwa wakati.
Makamu wa Rais amemtaka Waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI kuchukua hatua dhidi ya uzembe katika usimamizi wa mradi huo, akisisitiza kuwa viongozi lazima wawajibike kwa dhamana walizopewa.
Aidha, ameiagiza TAKUKURU kuchunguza kampuni iliyopewa mradi huo, ikiwemo matumizi ya fedha za malipo ya awali, ili kubaini sababu za mkandarasi kushindwa kutekeleza wajibu wake licha ya kupokea fedha za walipakodi.
Makamu wa Rais amesisitiza kuwa Serikali haiwezi kuvumilia uzembe unaosababisha wananchi kuendelea kupata kero, huku fedha nyingi za umma zikiwa zimetumika bila miradi kukamilika kwa wakati.
Kauli ya Makamu wa Rais imebeba ujumbe mzito kwa viongozi na watendaji wa Serikali: Fedha za wananchi si za kubembelezana na wakandarasi; kila mwenye dhamana ya kusimamia miradi ya maendeleo lazima awajibike.
Makamu wa Rais anaendelea na ziara ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma, akitarajiwa kuelekea mikoa ya Mtwara, Lindi na Pwani.
Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais
10 Novemba 2026
Songea – Ruvuma.
Bedui retweeted
Geita imeitika, Gen Z wameitika!! 🙌
Utambulisho wa Chimbo la Vijana Brunch Kanda ya Ziwa umefungua fursa mpya ya kuwaunganisha vijana na maarifa, uwekezaji, ujasiriamali pamoja na fursa zilizopo katika sekta mbalimbali za kiuchumi.
Ni hatua muhimu katika kuwawezesha vijana kutambua fursa, kujenga mitandao ya kimkakati na kuzitumia fursa hizo katika kukuza uchumi na kujiletea maendeleo.
Bedui retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨
RAIS SAMIA KUSHIRIKI COP31 UTURUKI 🇹🇿🇹🇷
Rais Dkt. Samia Suluhu, ameondoka nchini mapema leo hii na anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) jijini Antalya, Uturuki, Novemba 9–20, 2026.
⤵️
Karibu Uturuki Mama Samia! Tunajua utasimama kwa niaba ya Afrika na kuhakikisha mataifa yanayoathirika zaidi yanapewa haki yake ya ufadhili wa tabianchi. Tuko nyuma yako kwa dua na sala.
🚨BREAKING NEWS🚨
RAIS SAMIA AWASIRI UTURUKI.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba 2026, ⤵️
22
Bedui retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨
RAIS SAMIA AWASIRI UTURUKI.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba 2026, ⤵️
Bedui retweeted
Nimewasili jijini Antalya, nchini Uturuki ambapo nitaungana na viongozi wengine katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaolenga kujadili hatua za kupunguza na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Pamoja na mambo mengine, nitafanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdoğan. Nitahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali, na kushiriki kikao cha ngazi ya juu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia barani Afrika.
Tanzania inashiriki mkutano huu ikiongozwa na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, yanayolenga kujenga Taifa linalozingatia uhifadhi wa mazingira na kustahimili mabadiliko ya tabianchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
SI-NDOTO TENA! Tanzania is positioning itself as the gateway to East and Central Africa. These are real reforms with real outcomes, not just promises on paper. Thank you, President Samia, for taking us forward. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA!
The port once criticised for long queues now clears container ships in just 7 days, down from 46. Thank you, President Samia, for proving that real change is possible when leadership is serious about delivery.
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
32
Bedui retweeted
SI-NDOTO TENA!
The port once criticised for long queues now clears container ships in just 7 days, down from 46. Thank you, President Samia, for proving that real change is possible when leadership is serious about delivery.
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
Bedui retweeted
SI-NDOTO TENA to every Tanzanian who believed in progress. Our port has grown from 16.27 to 33.71 million tonnes of cargo, opening doors for traders, transporters and neighbouring countries.
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA to every Tanzanian who believed in progress. Our port has grown from 16.27 to 33.71 million tonnes of cargo, opening doors for traders, transporters and neighbouring countries.
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA! Behind every tonne of cargo is a driver, a clerk, a trader and a family. Faster ports support all of them. Thank you, President Samia, for reforms that put people first. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA!
From Tsh 897 billion in 2020/21 to Tsh 1.30 trillion in 2024/25, TPA is proving that reform pays off. Better systems, stronger investment and steady leadership.
Well done, President Samia, we see the results.
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
22
Bedui retweeted
SI-NDOTO TENA!
From Tsh 897 billion in 2020/21 to Tsh 1.30 trillion in 2024/25, TPA is proving that reform pays off. Better systems, stronger investment and steady leadership.
Well done, President Samia, we see the results.
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA! We used to hear complaints about delays at the port. Now we hear about record cargo volumes. That is what leadership that listens and acts looks like. Well done, President Samia. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA to every trader, transporter and importer who believed in progress. Ship waiting time from 46 days to 7, saving money and opening doors for Tanzania and its neighbours.
Thank you, President Samia, for reforms that work for the peopl
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
12
Bedui retweeted
SI-NDOTO TENA to every trader, transporter and importer who believed in progress. Ship waiting time from 46 days to 7, saving money and opening doors for Tanzania and its neighbours.
Thank you, President Samia, for reforms that work for the peopl
#SiNdotoTena #SamiaDelivery
Bedui retweeted
RAIS SAMIA AELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA COP31
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameondoka nchini leo Novemba 10, 2026, kuelekea jijini Antalya, Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31).
Rais Samia ameagwa na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiongozwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, kabla ya kuanza safari hiyo.
Mkutano huo wa COP31 unawakutanisha viongozi na wadau mbalimbali kutoka mataifa tofauti kujadili masuala yanayohusu mabadiliko ya tabianchi na hatua za kukabiliana na athari zake.
Akiwa nchini humo, Rais Dkt. Samia atashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali (Antalya Leaders' Summit), pamoja na kikao cha ngazi ya juu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia barani Afrika (High-Level Event on Clean Cooking in Africa).
#KigogoMediaUpdates












































