Lulu Robertson (@lulurobert__) header
Lulu Robertson (@lulurobert__) profile picture
Joined November 2023
Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)Photo by Lulu Robertson (@lulurobert__)
Wewe ( @MariaSTsehai ) na yeye tofauti yenu ni jinsia tu 😂
16
12
11
32
6,188
Lulu Robertson retweeted
"Chimbo la vijana Brunch, Asanteni sana kwa kuichagua Geita" Ni rasmi sasa kuwa Chimbo la Vijana event itafanyika tarehe 21 mwezi wa 11 kwenye viwanja vya CCM katoro. #ChimboLaVijana #BataLenyeFaida
9
9
9
11
615
"Chimbo la vijana Brunch, Asanteni sana kwa kuichagua Geita" Ni rasmi sasa kuwa Chimbo la Vijana event itafanyika tarehe 21 mwezi wa 11 kwenye viwanja vya CCM katoro. #ChimboLaVijana #BataLenyeFaida
9
9
9
11
615
Lulu Robertson retweeted
MAKAMU WA RAIS AWABANA VIONGOZI SONGEA: BILIONI 3 ZA SOKO LA MANZESE ZAIBUA MASWALI MAZITO Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewataka viongozi wanaosimamia miradi ya maendeleo kuacha kubembelezana na wakandarasi wanaoshindwa kutimiza wajibu wao, akionesha kukerwa na ucheleweshaji wa ujenzi wa Soko la Manzese A na B, mjini Songea. Mradi huo, ambao mkataba wake ulianza mwaka 2025 kwa kipindi cha miezi 18 na ulitarajiwa kukamilika Septemba 2026, umechelewa licha ya mkandarasi kulipwa shilingi bilioni 3 kama malipo ya awali. Akizungumza na wananchi wa Songea, wakati wa ziara yake mkoani Ruvuma, Makamu wa Rais amembana kwa maswali Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Muhoja, akitaka kufahamu sababu za mkandarasi huyo kuongezewa muda wa utekelezaji hadi Machi 2027, wakati tayari imebainika kuwa anakabiliwa na udhaifu wa usimamizi na upungufu wa vifaa vya kazi. “Hebu tubadilike! Tuwe accountable na fedha za umma. High-level meeting inakusaidia nini?” amehoji Ndejembi, akipinga utaratibu wa viongozi kuendelea kufanya vikao vya kumbembeleza mkandarasi badala ya kuchukua hatua zinazohakikisha mradi unakamilika kwa wakati. Makamu wa Rais amemtaka Waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI kuchukua hatua dhidi ya uzembe katika usimamizi wa mradi huo, akisisitiza kuwa viongozi lazima wawajibike kwa dhamana walizopewa. Aidha, ameiagiza TAKUKURU kuchunguza kampuni iliyopewa mradi huo, ikiwemo matumizi ya fedha za malipo ya awali, ili kubaini sababu za mkandarasi kushindwa kutekeleza wajibu wake licha ya kupokea fedha za walipakodi. Makamu wa Rais amesisitiza kuwa Serikali haiwezi kuvumilia uzembe unaosababisha wananchi kuendelea kupata kero, huku fedha nyingi za umma zikiwa zimetumika bila miradi kukamilika kwa wakati. Kauli ya Makamu wa Rais imebeba ujumbe mzito kwa viongozi na watendaji wa Serikali: Fedha za wananchi si za kubembelezana na wakandarasi; kila mwenye dhamana ya kusimamia miradi ya maendeleo lazima awajibike. Makamu wa Rais anaendelea na ziara ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma, akitarajiwa kuelekea mikoa ya Mtwara, Lindi na Pwani. Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais 10 Novemba 2026 Songea – Ruvuma.
6
6
153
Lulu Robertson retweeted
Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has arrived in Antalya, Türkiye, to participate in the 31st Conference of the Parties (COP31) to the United Nations Framework Convention on Climate Change, which brings together world leaders to discuss strategies for mitigating climate change and addressing its impacts. During her visit, President Samia is expected to hold talks with Türkiye’s President, Recep Tayyip Erdogan, address the World Leaders’ Summit and participate in a high-level session on promoting clean cooking energy in Africa.
5
5
3
15
887
Lulu Robertson retweeted
Songea mpooooo!!!! Usengwileeeee! Mwana gwenu Deo Ndejembi awajendeleli lelo.
3
18
1
20
821
Lulu Robertson retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA KUSHIRIKI COP31 UTURUKI 🇹🇿🇹🇷 Rais Dkt. Samia Suluhu, ameondoka nchini mapema leo hii na anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) jijini Antalya, Uturuki, Novemba 9–20, 2026. ⤵️
1
10
10
346
Tanzania ina sauti kwenye masuala ya tabianchi kwa sababu ya uongozi makini. Hongera Rais Samia kwa kuhudhuria COP31. Tunatarajia fursa za ufadhili wa kilimo, nishati safi na uhifadhi wa mazingira zitapatikana.
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA AWASIRI UTURUKI. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba 2026, ⤵️
1
1
52
Lulu Robertson retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA AWASIRI UTURUKI. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba 2026, ⤵️
11
12
9
12
722
Lulu Robertson retweeted
Majuto ni mjukuu.
13
12
1
21
2,222
Lulu Robertson retweeted
Nimewasili jijini Antalya, nchini Uturuki ambapo nitaungana na viongozi wengine katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaolenga kujadili hatua za kupunguza na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na mambo mengine, nitafanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdoğan. Nitahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali, na kushiriki kikao cha ngazi ya juu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia barani Afrika. Tanzania inashiriki mkutano huu ikiongozwa na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, yanayolenga kujenga Taifa linalozingatia uhifadhi wa mazingira na kustahimili mabadiliko ya tabianchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
60
92
4
314
30,969
Lulu Robertson retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), jijini Antalya, Uturuki. Ushiriki wa Tanzania ni fursa ya
3
12
1
5
241
Lulu Robertson retweeted
Kayataka 😂🫵
12
29
2
47
12,875
Lulu Robertson retweeted
RAIS SAMIA KUELEKEA UTURUKI KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA TABIANCHI (COP31) 🇹🇿🇹🇷 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya, nchini Uturuki, kuanzia Novemba 9 hadi 20, 2026. Mkutano huo unawakutanisha viongozi wa nchi mbalimbali, taasisi za kimataifa, wataalamu na wadau wa mazingira kujadili hatua za pamoja za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kujenga mustakabali endelevu. Masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa ni pamoja na: Ufadhili wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mpito kuelekea matumizi ya nishati safi. Ulinzi wa mazingira na uhifadhi wa misitu. Kukabiliana na athari za ukame, mafuriko na ongezeko la joto. Kuimarisha ustahimilivu wa uchumi na jamii dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Nafasi ya Tanzania Ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo ni fursa muhimu ya kuendeleza diplomasia ya mazingira, kuwasilisha vipaumbele vya taifa na kutafuta ushirikiano pamoja na uwekezaji katika nishati safi, kilimo himilivu na maendeleo endelevu. Aidha, Tanzania ina tukio maalumu katika COP31 litakalojadili mpango wa mpito wa nishati na matumizi ya nishati safi katika shule na vituo vya afya, Novemba 11, jijini Antalya. Tukio hilo limetajwa kumshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan. #SamiaCOP31 #NishatiSafiSamia
6
9
202
SI-NDOTO TENA! Delays used to be accepted as normal at the port. Today, efficiency is the standard. That change earns Tanzania respect worldwide. Thank you, President Samia, for leading with courage and a focus on results. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA! The port once criticised for long queues now clears container ships in just 7 days, down from 46. Thank you, President Samia, for proving that real change is possible when leadership is serious about delivery. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
29
Lulu Robertson retweeted
SI-NDOTO TENA! The port once criticised for long queues now clears container ships in just 7 days, down from 46. Thank you, President Samia, for proving that real change is possible when leadership is serious about delivery. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
8
10
9
10
823
SI-NDOTO TENA! Dar es Salaam handled 33.7 million tonnes this year, a volume once projected for 2030. We are ahead of schedule, thanks to decisive leadership. Thank you, President Samia, for turning plans into results. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA to every Tanzanian who believed in progress. Our port has grown from 16.27 to 33.71 million tonnes of cargo, opening doors for traders, transporters and neighbouring countries. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
18
Lulu Robertson retweeted
SI-NDOTO TENA to every Tanzanian who believed in progress. Our port has grown from 16.27 to 33.71 million tonnes of cargo, opening doors for traders, transporters and neighbouring countries. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
8
12
8
12
814
Lulu Robertson retweeted
Uwakilishi dhabiti chini ya uongozi wa Rais Dkt @SuluhuSamia
9
9
376
SI-NDOTO TENA! Every shilling earned at the port can go back into development. That is why these reforms matter so much. Thank you, President Samia, for leadership that builds for the long term. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
SI-NDOTO TENA! From Tsh 897 billion in 2020/21 to Tsh 1.30 trillion in 2024/25, TPA is proving that reform pays off. Better systems, stronger investment and steady leadership. Well done, President Samia, we see the results. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
19
Lulu Robertson retweeted
SI-NDOTO TENA! From Tsh 897 billion in 2020/21 to Tsh 1.30 trillion in 2024/25, TPA is proving that reform pays off. Better systems, stronger investment and steady leadership. Well done, President Samia, we see the results. #SiNdotoTena #SamiaDelivery
7
9
7
9
597