Faith Lyimo (@Binti_Lyimo) header
Faith Lyimo (@Binti_Lyimo) profile picture

Health & Climate Advocate 🌍 | Limitless Mind 📸 IG:https://teapawt.net/t.co/cdB8vJfv1b

Tanzania
Joined July 2021
Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)Photo by Faith Lyimo (@Binti_Lyimo)
Faith Lyimo retweeted
Moja ya mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ni kuchochea matumizi ya nishati safi. Je mkutano wa COP23 wamejadili mambo gani hususani uwezeshaji katika nchi za Africa zinazoathirika na hewa ukaa? Usikose kufuatili mjadala huu Jumamosi hii #ElimikaWikiendi #COP31
9
8
118
Unalifahamu jukwaa la #ElimikaWikiendi? Msikilize Balozi wa Elimika Wikiendi na muelimishaji rika wa masuala ya ujuzi wa kidijitali Irene Ngugo, akieleza zaidi kuhusu jukwaa hili na shughuli zake. Jumamosi iliyopita tuliandaa mjadala kuhusu vijana na uraia wa kidijitali. Sikiliza mjadala huo kupitia YouTube channel yetu. Link: tinyurl.com/mtwukr22 #YouthParticipation #DigitalCitizenship
4
29
1
32
1,910
Faith Lyimo retweeted
MAGOGO YA MPINGO (AFRICAN BLACKWOOD) YANAPATIKANA! Tunapatikana na magogo mengi ya Mpingo halisi, tayari kwa uchakataji wa mbao. Ubora wa hali ya juu kwa wanunuzi wa ndani na nje ya nchi. 📲 WhatsApp: 0670 989 862 #Mpingo #AfricanBlackwood #Timber
4
4
155
Je, unajua unaweza kuripoti vitendo vya Ukatili wa Kijinsia? Msikilize ASP Elizabeth Swai, Mkuu wa Dawati la Jinsia mkoa wa Iringa alipotoa ufafanuzi jukwaani #ElimikaWikiendi. Fuatilia mjadala huu kwa kina YouTube tinyurl.com/3kxzn3s7 #ZuiaUkatili #MahusianoSalama #EndGBV
20
2
21
1,742
Elimika Wikiendi inashiriki Wiki ya Kimataifa ya Ujuzi wa Habari na Mawasiliano 2026, inayofanyika jijini Nairobi, Kenya ikiwakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji, @massawejk. Kaulimbiu ya mwaka huu, “Sote Tuna Jukumu: Ujuzi wa Habari na Mawasiliano kwa Manufaa ya Umma,” inatukumbusha kuwa kila mmoja ana wajibu wa kuchangia katika kujenga mazingira salama ya kidijitali. Kila siku vijana watumia mitandao ya kijamii kupata taarifa, kujifunza, kubadilishana mawazo, kujieleza na kuwasiliana. Lakini wanawezaje kutambua taarifa za kweli na zinazoaminika? Wanawezaje kubaini taarifa potofu na za upotoshaji, kufikiri kwa kina na kufanya mazingira ya mtandaoni kuwa salama kwa kila mmoja? Haya ni masuala muhimu kwa jamii yetu ya vijana. Tunatarajia kujifunza na kubadilishana uzoefu na wataalamu wa ujuzi wa habari na mawasiliano, viongozi vijana, wabunifu na watengeneza maudhui kutoka kote Afrika na kurudisha elimu na maarifa haya kwa vijana nchini Tanzania. Kujenga mazingira salama na yenye taarifa sahihi na uwajibikaji mtandaoni kunaanza na kila mmoja wetu. Sote tuna jukumu la kutekeleza! #GlobaIMILWeek #WeAllPlayApart #MILTanzania #ElimikaWikiendi
2
23
3
27
1,026
Faith Lyimo retweeted
Mr UK GAS HOB 6134GE -3 gas -1 umeme induction Tsh 265, 000 0755693113
Hello, MR UK COOKERS, unyama Sana humu Model -5055G3E1G SILVER Size 50*55cm 3 gas+ umeme, Oven inatumia gas Tsh 400,000/= 0755693113
30
1
28
1,000
Mkurugenzi Mkuu wa @officialtcaa , Dkt. Jabiri Bakari, amewahimiza watumishi wa Mamlaka hiyo kufanya kazi kwa bidii, kuzingatia maadili na kuhakikisha wananchi na wadau wanapata huduma bora na kwa wakati. #UsafiriWaAnga | #TCAATanzania
3
12
15
667
Ukatili wa kijinsia kwenye ndoa/mahusiano haupaswi kunyamaziwa! Matukio haya yameendelea kutishia usalama wa wanawake na wasichana, wakati mwingine kuhatarisha maisha yao. Jumamosi iliyopita kwenye jukwaa la #ElimikaWikiendi, tuliandaa mjadala ulioangazia jinsi kutambua viashiria vya ukatili, madhara yake na namna ya kuripoti ili kupata msaada. Tenga muda wako sikiliza kupitia YouTube channel yetu. Link: tinyurl.com/3kxzn3s7 #ZuiaUkatili #MahusianoSalama #EndGBV
1
21
2
23
816
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, takribani 40% ya wasichana wenye umri wa miaka 15-19 ambao wamewahi kuwa kwenye mahusiano Barani Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara wamepitia ukatili wa kimwili na/au kingono kutoka kwa wenza wao wa karibu. Nchini Tanzania, taarifa za matukio ya ukatili kati ya wenza zimeendelea kuripotiwa, zikitukumbusha umuhimu wa kutoa elimu ili kukuza uelewa wa jamii hasa vijana. Jiunge nasi Jumamosi hii kwenye #ElimikaWikiendi tukitafakari upya kuhusu vitendo vya ukatili wa kijinsia kwenye ndoa au mahusiano, viashiria, athari zake na hatua za kuchukua. 🔴 Fuatilia LIVE kesho saa 4:00 hadi 5:00 asubuhi kupitia X/Twitter, YouTube na Facebook. #ZuiaUkatiliMajumbani #MahusianoSalama #EndGBV
2
19
2
24
1,786
Kuzuia ukatili wa kijinsia kunaanza na elimu. Jumamosi hii kwenye #ElimikaWikiendi tunajadili kwa kina kuhusu ukatili wa kijinsia, namna unavyojitokeza, athari zake na nafasi ya vijana katika kuuzuia. Usikose kufuatilia mjadala #LIVE X/Twitter, YouTube, Facebook na Linkedln. #ZuiaUkatili #EndGBV #JamiiSalama
1
25
1
27
1,254
Kwenye mjadala kuhusu matukio ya ukatili yaliyoripotiwa nchini, uliofanyika ndani ya jukwaa la #ElimikaWikiendi Jumamosi iliyopita, @omari_manyama - Wakili wa Mahakama Kuu alisisitiza changamoto ya uelewa mdogo wa wananchi kuhusu ukatili, sheria zinazohusika, hatua za kuchukua ukatili unapotokea na mifumo iliyopo ya kuripoti matukio hayo. Hali hii inaonesha umuhimu wa kuimarisha elimu kwa umma hususan kwa vijana ili wafahamu haki zao na namna ya kupata msaada wanapokumbana na ukatili au wanaposhuhudia wengine wakifanyiwa ukatili. 🎥 Fuatilia mjadala mzima hapa hapa X/Twitter kupitia link 🔗 hii teapawt.net/i/broadcasts/1OxwbnjlX… #ZuiaUkatili #EndGBV #MahusianoSalama #EndFemicide
2
29
2
36
2,543
Je, unafahamu matumizi sahihi ya kondomu? Kutana na Salome Constantine, Balozi wa Elimika, akieleza hatua muhimu za matumizi sahihi ya kondomu kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa ya zinaa na mimba zisizotarajiwa. #ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #TaarifaSahihi #SRHR
18
2
23
2,091
Faith Lyimo retweeted
Huu ni moja ya mjadala mzuri uliobeba sauti za vijana. Ukipata nafasi usiache kuusikiliza upo YouTube, Kwa mfululizo wa mijadala hii subscribe tinyurl.com/yuzxjbad tinyurl.com/57hc8x84
8
11
309
Faith Lyimo retweeted
Uzazi wa mpango si jukumu la mwanamke pekee wala mwanaume pekee. Ni uamuzi wa pamoja unaohitaji mazungumzo ya wazi, kuheshimiana na kuzingatia afya na ustawi wa familia. Familia bora huanza na maamuzi yanayofanywa kwa pamoja. #YouthLedSRHR @BintiSalhaFound
1
18
1
17
667
Faith Lyimo retweeted
Mitandao ya Kijamii imerahisisha ufikiwaji wa taarifa. Ni muhimu vyombe vya habari vikaendelea kuwajengea uwezo waandishi wanawake ili wawe sehemu ya kufikisha taarifa sahihi kwa wakati zenye ubunifu. #WomenInMediaTz
16
14
472
Faith Lyimo retweeted
Afya ya uzazi ni haki ya kila mmoja bila kujali jinsia wala rika kwani sio kufundisha ngono pekee, inajumuisha usafi, mabcadiliko na heshima kwa mwili. Pia inahusisha kujua namna ya kujilinda dhidi ya ukatili na unyanyasaji unaoweza kuhatarisha usalama na utu wa mtu. #YouthLedSRHR @BintiSalhaFound
3
21
1
23
556
Faith Lyimo retweeted
Karibu kwenye #RealTalkShow ndani ya #ElimikaWikiendi Jumamosi hii saa 4:00 asubuhi. Wiki hii tutajadili umri sahihi wa vijana kuanza mahusiano, afya, matarajio, mipaka, usawa na maamuzi.
2
18
16
221
Faith Lyimo retweeted
Good morning watanzania 📌Pazia plain zinapendezesha mno nyumba😘 Pazia 2-34,000 Pazia 2+ lesi-44,000. 0755693113 📍 Riverside karibu na Micasa Mikoa yote tunatuma
Good morning wapendwaaa 📌Je godoro lako linaharibika Kwa mkojo/ kojo? 📌Waterproof bedcover inahakikisha usafi na usalama wa godoro lako Kwa kutopitisha maji/ mkojo Futi 5x6-40k Futi 6x6-43k 0755693113 📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma
16
63
3
64
7,183
Je uko tayari? 👀 Mfululizo wa vipindi vya moja kwa moja uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu hatimaye umefika! Tukiendelea kujenga mazingira salama ambapo vijana wanapata taarifa sahihi, muhimu na kwa wakati, @ElimikaWikiendi inazindua mfululizo mpya wa vipindi uitwao “Real Talk.”
1
16
1
23
1,225